Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kiboko aiseeNilikua kilimanjaro juzi kati..yani kule ni hurumaaa..kuna kijana wa kazi toka nimefika mpk naondoka kichwa chake kimejaa pombe muda wote..sijui anakunywa saa ngapi...
Na kazi anapiga tuu ila kazeekaHuyo kiboko aisee
Na kazi anapiga tuu ila kazeeka
🤣 🤣Hao wanasemaga Inakuwa tu kichwani Yani akipigwa na jua tu inaamka 😂😂😂
Kabisa kunamtu akiamka tu Yuko tungi unsjiuliza kanywa wapi na bar hawajafungua 😂😂
Ungempa mbususu atoe kimoja pombe yote ingeisha huyo yupo frustratedNilikua kilimanjaro juzi kati..yani kule ni hurumaaa..kuna kijana wa kazi toka nimefika mpk naondoka kichwa chake kimejaa pombe muda wote..sijui anakunywa saa ngapi...
Mbaya zaidi energy drink inachanganywa na pombeUmejuaje pombe ndio chanzo?
Vidababishi vingine
-Chumvi kupiga kiasi
-kukaa na mkojo muda mrefu
-energy drink
- High blood pressure
-Drug abuse
-Herbal medicine
-kutokunywa maji Lita 3
-pombe na sigara
Mpe mkeo...Ungempa mbususu atoe kimoja pombe yote ingeisha huyo yupo frustrated
😂😂😂DahUnataka ufe na figo nzima ili ukamringishie nani huko mbinguni.
DuhMpe mkeo...
Na ukizidisha sana asubuhi unaamka na homa nyemeleziPombe chafu ndio tatzo mkuu