Unywaji wa pombe na tatizo la Figo

Unywaji wa pombe na tatizo la Figo

Mimi nilishaapa, nyapu ndio itaniua sio ujinga mwingine wowote.

Na nikifia kwenye nyapu ni sawa na nzi kufikia kwenye kidonda, ni raha mustarehe.

Mwanaume kufia kwenye eneo la vita you die with dignity.

Mwanaume unauawaje na pombe kama sio utaahira? Mimi hayo madude(figo, moyo, ini, utumbo nk) yakishindwa kazi yashindwe kwa sababu zao wenyewe ila sio kwa sababu ya pombe ama nimeyajaza sumu ya aina yoyote.
 
Back
Top Bottom