Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

Vinywaji vya sukari na vileo vya viwandani sio rafiki kwa afya ya binadamu. Sio vizuri kutumia mara kwa mara.
 
Duu
 
Duu
 
Hiyo ya unga ndio vumbi la congo ila kijana una balaa [emoji23] ukishamkamata mshangazi hapo kwisha habari yake
😆😆😆😆 acha nicheke kizungu yaani kumkamata mshangazi tena.
 
Sasa na wewe kwann uhangaike na mimi usihangaike na maisha yako?? Watu ka wewe mnakuaga mashoga mkijifanya hamtaki kuingiliwa mambo yenu
 
Ubize kwa madaktari umekwisha anza kitambo..juzi kati nilikuwa pale taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete..aiseee,asikuambie mtu..doctors wapo busy tangu saa kumi usiku wanaingia shift wengine wanatoka.

Watu wanaofanyiwa upasuaji ni zaidi ya 50 kwa siku..hali sio nzuri!
 
Hakuna tunachokula kilicho salama kwa sasa mkuu, hizo mbogamboga tu zina chemicals za kutosha. Ukisema tuache kula na kunywa chemicals labda wote turudi shamba tukalime wenyewe kwa mbolea ya mboji/samadi.
Kabisa mkuu..sio mboga mboga au matunda,vyote ni hovyo. Matunda yanavundikwa yakiwa machanga ili yaive.
 
vinywaji vyote ulivyotaja vimenyweka sana zamani, leo bado wapo.
 
Sasa na wewe kwann uhangaike na mimi usihangaike na maisha yako?? Watu ka wewe mnakuaga mashoga mkijifanya hamtaki kuingiliwa mambo yenu
Punguza kisirani Dogoo!!!kwa hiyo unalazimisha watu waamini upuuzi wako,,, kwani wakinywa wewe unapungukiwa au unadhurika na nini??acha roho ya kichawi,,,tumia hiyo fursa fungua grocery wauzie upige hela,,,Farlaahhh wee!!!
 
Ukweli siku zote unauma na watu hawako tayari kuupokea lakini ni ukweli kabisa vinywaji vingi sasa ni silent killer na sababu ni biashara za watu ukiongea hivi unapingwa ni jambo LA msingi kila mmoja awe makini kwa anacho kula na kunywa
 
Sasa mtu kashakwambia anajua, hajali.

Unataka kumlazimisha?
 
Ukweli siku zote unauma na watu hawako tayari kuupokea lakini ni ukweli kabisa vinywaji vingi sasa ni silent killer na sababu ni biashara za watu ukiongea hivi unapingwa ni jambo LA msingi kila mmoja awe makini kwa anacho kula na kunywa
Mtu anayetaka maisha mafupi lakini matamu naye utataka kumlazimisha asile na kunywa anachotaka wakati kashakwambia anajua, ila hajali?

Wewe una haki gani ya kumlazimisha mtu mwingine awe na maisha marefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…