Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Punguza ubishi jombaa mchicha, mnafu, spinach au tembele hata kama vina chemicals huwezi kuzilinganisha na energy drinks. Mbogamboga kwanza zina fibers ambazo ni muhimu sana, achilia mbali vitamins.Hakuna tunachokula kilicho salama kwa sasa mkuu, hizo mbogamboga tu zina chemicals za kutosha. Ukisema tuache kula na kunywa chemicals labda wote turudi shamba tukalime wenyewe kwa mbolea ya mboji/samadi.