Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Mimi nimetaja kisukari? Au insulin pengine?Taja sababu kuu ya kisukari nione kama kweli unajua unacho andika
Well done bro.... ila tunakuamba ufe kifo cha ghafla sio kututia simanzi tukuchangie upelekwe india kubadilishwa vigo sijui ubongoHao madokta wenu wa kisabato watawaua kwa hofu
Binadamu wa zamani walishindia matunda na nyama mbichi lakini wako wapi? wamekufa wote
We achana na sisi kufa kupo tu
As long as tunaenjoy
Tusitishane.
Niko napata coka,supu ya makongoro na chapati nne hapa . Alaaah
Usichambe kabla ya kunya..... hajasema usipokunywa hufi... ngoja nipoteze mda kukuelewesha.... ni hivi ulitumia saana kama wanavyo fanya hao wanywaji baadae watapata changamoto za kiafya ambazo zitawagharimu saana kiuchumi na hat kifo.... ukinielewa kunya sasa ndo uchambeWasipokunywa wataishi milele?
Hahahahaa, kakamamatwa korodani!Taja sababu kuu ya kisukari nione kama kweli unajua unacho andika
Huyu carracaso ndo coca?[emoji23] Ebu nijibu basi unakimbia kama kawaida yako
Hiyo ya unga ndio vumbi la congo ila kijana una balaa [emoji23] ukishamkamata mshangazi hapo kwisha habari yake
Maji, Redbull, Ndom, Putururu(mukongo)
Hata kuishi ni hatari, hasa nchi zetu hiziHoja yako haifichi ukweli kwamba unywaji wa soda,na sukari ni hatari kwa afya yako.
Haijalishi tutakufa,walikufa na watakufa,Ila sukari bila kujalisha ya energy au soda au ya kawaida ni mbaya na haifai kwa matumizi ya binadamu.
Mnatengeneza vitambi,vidonda kuchelewa kupona,mchubuko mdogo tu kidonda hiko!! Mashine kuwa ndogo na kusinyaa(kwa wanaume) na matatizo mengine mengi tu.
Soda na energy siyo chakula. Usifananishe na matunda na nyama mbichi walizokula wazee wetu huko Zama za mawe.
Naona amekimbia awa wasabato bhnaHahahahaa, kakamamatwa korodani!
Diabetes ileeeeeeMiji mingi yenye hali ya hewa ya joto wengi tumeshuhudia. Matumizi makubwa ya soda na vinywaji vya energy. Baadhi ya watu hutumia soda hadi tatu kwa siku pamoja na vinywaji vya energy, na wengi wao wanakuambia hawawezi maliza siku bila kunywa soda/energy
Wengi wa wanaofanya kazi juani muda mrefu mfano mzuri Ni mafundi ujenzi. Vijana wa boda boda, wamachinga Nk. Ndio watumiaji wakubwa wa aina hii ya vinywaji tajwa hapo juu kila siku na Kwa. Maelezo yao ni. Kuwa. Vinywaji hivo hukata kabisa kiu haraka.
Unywaji wa aina hii hauna madhara yoyote kwa badae?
=====
Pia soma: Vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinamaliza nguvu kazi za Taifa
Nimesema umetaja au nimekuuliza swali? Kuwa making kijanaWapi Mimi nimetaja kisukari? Au insulin pengine?
Acha kukurupuka.
Hakuna kitu kama hicho iyo mechanism ya vinywaji na hayo magojwa sio kirahisi hivyo acheni kushikiwa akili! Na wauza mitishambaWell done bro.... ila tunakuamba ufe kifo cha ghafla sio kututia simanzi tukuchangie upelekwe india kubadilishwa vigo sijui ubongo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku lazima pepsi moja ishuke, tutajua huko huko.
Na uzee huu nishatosheka mkuu, hizi nguvu zilizopo zitamalizia ngwe..haha![emoji23][emoji23][emoji23]
Pepsi wanasema inapunguza nguvu.
Piga Azam energy utakuja kushukuru baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitafute mume mwenza mapema kabla mambo hayajawa mengi🙆🙆🙆Kila siku lazima pepsi moja ishuke, tutajua huko huko.