Uonevu dhidi ya Lissu: Watanzania hatuwezi kuendelea kuitwa taifa lenye akili halafu tukanyamazie ujinga wa mamlaka

Ngoja nikukumbushe jambo kiongozi, mwenye uwezo wa kusema hili ni kosa la jinai ni Mahakama pekee. Sasa DPP na NPS kwa ujumla wao hawana mamlaka wala uwezo wa kutafsiri ushahidi na kusema huyu katenda kosa la jinai, hiyo ni kazi ya Mahakama

Sasa nini kinafanyika ikiwa NPS wanaona kama kuna mapengo kwenye jalada la upelelezi, wao wanarudisha jalada kwa mpelelezi ili akamilishe upelelezi wake. Sasa ikiwa upelelezi umekamilika wao wanabeba jalada wanaenda zao Mahakamani kupambana kuishawishi Mahakama ione kuna jinai imetendeka na imtie mtuhumiwa hatiani.

NPS hawakamati mtu na ndio hapo wanapochomikea kwenye mazingira haya na hata ukitaka kuwashtaki utawashitaki Jamhuri kuwa wamekushitaki kwa hila ovu wala hautawashtaki NPS sababu wao ni Mawakili tu waserikali na sio sehemu ya mgogoro sababu mgogoro wa jinai ni kati ya mtuhumiwa na Jamhuri.

DPP na NPS ni sawa tu na mawakili wa upande wa utetezi.

Ila yule Afisa wa polisi ninawaza yete alitoa wapi mamlaka ya kutamka kuwa tukio lile ni jinai na akaja kutoa ushahidi hivyo hivyo, nadhani hili litakuwa moja ya maswali atakayoulizwa akikumbushwa wajibu na majukumu yake.
 
Mahakama itachambua mbivu ma mbichi, lakini isingewezekana kuifumbia macho kauli ya Tundu
Isingewezeka kuifumbia kauli ya Tundu Lissu ila inawezekana kuifumbia kauli ya makalla!!! Double standard

No reforms no election
 
Ngoja Tundu ajifunze kutumia ulimi wake vizuri. Maana huwa anajiropokea tu. Ninaamini akitoka huko atakuwa amejifunza kitu.

Waswahili walisema "asiyefunzwa na mamaye, hugunzwa na ulimwengu". Hii sasa ndiyo shule kwa Tundu
Isingewezeka kuifumbia kauli ya Tundu Lissu ila inawezekana kuifumbia kauli ya makalla!!! Double standard
Maovu 2 hayasababishi jema moja. Kila mtu ahukumiwe kwa wakati wake
 
Wewe unaamini Lissu ni muhaini?
 
Anaropoka au anaongea ukweli. ? Mbona chawa mna 💩💩 kichwani. Tupe kosa lake na kifungu alicho vunja kwenye sheria za JMT
 
Anaropoka au anaongea ukweli. ? Mbona chawa mna 💩💩 kichwani. Tupe kosa lake na kifungu alicho vunja kwenye sheria za JMT
July 1, 2025 wahi kiti cha mbele Mahakama ya Kisutu utalisikia shtaka lake likisomwa na ofisa wa NPS.

Tusitoleane mapovu bure humu
 
Umeongea vizuri na Kwa uchungu, tunaenda mahakama ipi kama hihii?
 
Asante sana kwa elimu nzuri...

Haina shaka kuwa watamwachia very soon...

Na kama ulivyoshauri, ni kweli THIS IS TOO MUCH..

Watawala wanatumia mamlaka yao vibaya kuonea watu...

Kama kuna mwanya wa kisheria kuwafungulia mashitaka hawa wahaini wa kisheria, basi tuutumie ipasavyo...

Wameonea watu wengi sana. Sasa tuseme wote kuwa ENOUGH IS ENOUGH...!!!
 
Hao uliowataja huoni miongoni mwao kuna waliowahi kuwa wanajeshi?

Askari ana access na silaha tofauti na raia asiye na umiliki hata wa kisu halafu unasema anataka kupindua nchi?
Umemjibu vyema,maana ya Chams pinzani sio kuiunga mkono serikali iliyopo madarakani!
 
We mbwa koko huu uchafu wako tafuta jukwaa la kuupeleka, this is rubbish! Subiri maamuzi ya mahakama, ni mwehu tu atasoma haya matope. We u nani kuzungumzia na kuitolea maamuzi shauri lililoko mahakamani?
 
Afande kalikoroga!
 
Is Usijifiche km msukule we kibaraka mwenza, huyo mpuuzi mwenzio atainyea ndoo mpk akili imrudi au nenda kamsaidie kunyea ndoo. Una bahati umejificha nyuma ya keyboard. Lissu alikuwa anajaribu kuhamasisha uasi, uhaini, uchochezi, chuki, ubaguzi hawezi kuvumiliwa, acha kubwabwaja we bwege siye tuna akili. Alivyokuwa anasema mwaka huu tutakinukisha ulielewa nini, Tanzania siyo Kenya huo upumbavu hauna nafasi hp kwetu
 
Tafuta nchi itakayokufaa we kibwengo
 
We Sema mimi ni juha we zombie, watanzania wanajielewa. Uwe na adabu. OKTOBA TUNATIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…