Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwaka 2016 alinidanganya ana mimba, nmelea mimba mpaka kazaa siku wah kumuona, kaja kasema mtoto kafa, nakuja kuambiwa kumbe hakufa. Kwa ufupi alinipiga matukio had na mtoto nikamwachia
 
Attachments

  • Screenshot_20161019-003434.png
    369.5 KB · Views: 12
Nakuibia siri......
Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini wakiwa Wana tongoza ni wapare.......
View attachment 3105386
Mm n mpare na nilijiwekea siwezi kuwa na mpare mwenzangu.
Mara paaaap kuna single mother mpare hv Tena pisi kali kabisa akautengeneza moyo wangu mpaka nikampenda sana hadi kupitiliza na kumuamini kwa kila ahadi aliyonipa.
Ila baada ya yeye kupata alichokuwa anakitafuta kwangu na kuona siwezi kumpa tena akaniacha kwa dharau sana.
 
Umetapeliwa pole sana mkuu
 
Mwaka 2016 alinidanganya ana mimba, nmelea mimba mpaka kazaa siku wah kumuona, kaja kasema mtoto kafa, nakuja kuambiwa kumbe hakufa. Kwa ufupi alinipiga matukio had na mtoto nikamwachia
Duuuh kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…