Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Ushaanza kujitetea hapa 🤣🤣🤣🤣😂😂sema babe bikra sio isue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaanza kujitetea hapa 🤣🤣🤣🤣😂😂sema babe bikra sio isue
😂😂😂haisaidii kitu afu wapo dull 6*6Ushaanza kujitetea hapa 🤣🤣🤣🤣
Aiseee we mwanamke wewe 😋😋😂😂😂😂😂haisaidii kitu afu wapo dull 6*6
😂😂😂🤣🤣🤪Aiseee we mwanamke wewe 😋😋😂😂
Sema tu niko mbali ningekuwa hapo daslamu daah😂😂😂🤣🤣🤪
Sipo dar babe 😍Sema tu niko mbali ningekuwa hapo daslamu daah
Wea a uSipo dar babe 😍
Andika afu futa uko wapiSipo dar babe 😍
🤣🤣🤣Nimefumania msg za michepuko yake, mwenyewe hajajua kama nimeziona. Ameshatembea na kila mfanyakazi wa ofisini kwao na mbaya zaidi kila siku yeye ndo anawasema wafanyakazi wenzake wa kike kuwa ni malaya na wanatumia miili yao kujitengenezea mazingira mazuri ofisini!!! Kifupi naishi na Muuza K!
🤣🤣🤣🤣🤣Niliwahi kudanganywa na binti mmoja enzi hizo kwamba ni bikra hajawahi kuguswa na dudu kojo
Na akawa anadai hawezi kukubali kunipa unyevu mpaka siku Ya ndoa... Ila kama ujuavyo hakunaga mkate mgumu mbele ya Chai ya maziwa siku ikafika akaingia kwenye 18 nikamvua chupi nikaingiza ikazama yote bila kugusa hata ukuta!
Eti baada ya mechi anajitetea eti aliwahi kuguswa mara moja tu zamani halafu aliyemgusa hakuingiza yote aligusa kwa kichwa tu!!!
Pumbaff kabisa huyu demu Yaani alinidanganya kwa kunionaje mimi? Mbaya zaidi nilipozunguka huko kwenye banda la uani nikakuta walishang'oa komeo kabisa Yaani ukienda unapitiliza ndani
Alafu uwage unaaga alaaaSipo dar babe 😍
Basi tu nikiboreka nakunywaImekuaje leo j5 katikati ya wiki kabisa 😀😀
Nipo babe ila nasinzia 🥰Alafu uwage unaaga alaaa
Mm n mpare na nilijiwekea siwezi kuwa na mpare mwenzangu.Nakuibia siri......
Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini wakiwa Wana tongoza ni wapare.......
View attachment 3105386
Umetapeliwa pole sana mkuuNimefumania msg za michepuko yake, mwenyewe hajajua kama nimeziona. Ameshatembea na kila mfanyakazi wa ofisini kwao na mbaya zaidi kila siku yeye ndo anawasema wafanyakazi wenzake wa kike kuwa ni malaya na wanatumia miili yao kujitengenezea mazingira mazuri ofisini!!! Kifupi naishi na Muuza K!
Duuuh kitambo sanaMwaka 2016 alinidanganya ana mimba, nmelea mimba mpaka kazaa siku wah kumuona, kaja kasema mtoto kafa, nakuja kuambiwa kumbe hakufa. Kwa ufupi alinipiga matukio had na mtoto nikamwachia
Ni mbwa au sio!ERoni alinidanganya ana migodi ya dhahabu, nikajisemea nimejiokotea sonko langu. Bwana bwana, kuja kugundua yule mpare hana hata baiskeli. Wapare sio watu.
Ila alifanikiwa kula?Aliniambia yupo single ana mtoto 1, mtoto anaishi na mzazi mwenzie kumbe mume wa mtu, mkewe alikuwa na ujauzito wa mtoto wao wa pili. Nilitoka nduki sikugeuka