Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Habari wakuuu,

Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.

Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.

Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.

Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.

Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.

Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
 
Habari wakuuu......

Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale.....
Misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano........

Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.......

Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.......

Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake....... baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha......(Sikumsamehe)

Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa kihehe....mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.....

Je wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi.......????

Ngoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
 
kile kidada kiongo sana kiliniambia siku aliyozaliwa vile alivyokuwa analia ati alikuwa ananililia mimi!!..
sasahivi mimi ndo nalia sasa walimwengu sio watu wanakuhadaa halafu wanakuja kukuacha solemba!.
 
Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
😄😄
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
Dah!!
Kweli hili kapu la mapenzi nadhani uongo ni kiungo muhimu sana....🤣🤣🤣🤣
 
Habari wakuuu,

Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.

Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.

Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.

Pia soma:
Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.

Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.

Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
Aliniambia yupo single ana mtoto 1, mtoto anaishi na mzazi mwenzie kumbe mume wa mtu, mkewe alikuwa na ujauzito wa mtoto wao wa pili. Nilitoka nduki sikugeuka
 
Patakuwa hapatoshi hapa....ngoja tuongeze viti na mikeka.....
1002299884.jpg
 
Back
Top Bottom