Ingekuwa pamoja na mihangaiko yote na kujidai kwa mwanaume plus mauongo yote hadi fleeting, false success yao, hatimaye second party ndiye ana-incur expenses zote, angalau UONGO wake ungepewa sifa za ushujaa na kuthubutu.
Lakini licha ya majidai yote hayo, mwisho mwanaume, kwa sehemu kubwa, ndiye anagharamika! Sasa nani mwenye akili hapo? Ndiyo maana hata mauongo ya mwanaume yanahesabiwa kama credits kwa second party, because in the end....
Hii ni kusema kwamba second party anaweza kuwa yuko willing hata before hajakuona, ila akaamua tu kucheza na akili yako finyu.
Among all creatures, men, I surmise, ndio wanaopaswa kuhurumiwa na kuharadhiwa (pitied).
The intelligence of a woman lies on her ability and capability to behave, before unsuspecting man, as though she were just a weak, valueless vessel.