Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

Hatari sana
 
Mimi nilitegemea hili kwakuwa sikuwa na imani hata chembe na jamaa yule, poleni sana wanyonge mlidanganywa Kama watoto
 
hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
Ishu hata sio shirika kupata hasara ishu ni kile tulichokuwa tukiamnishwa kuwa lilikuwa linaingiza faida, hapo hapo "msema kweli ni mpenz wa Mungu ndo kauli" hii ilikuwa msemo mkubwa
 
Propaganda sasa basi!!!!
 
Mkuu biashara ya ndege sio ya kufanya na pesa za uma , huko duniani biashara hii haifanywi na serikali.
Ajira za urubani zitakuwepo tu, mbona fast jet aliajiri marubani wa kitanzania!

sasa fastjet huezi sitisha huduma zao kwa ajili ya matakwa ya kiserikali, mfano kwenda kuwachukua watanzania waliokwama kona yoyote ya dunia kumbuka wao wanaendesha biashara sio utaifa
 
Ukiona mtu anaficha taarifa zinazotakiwa kuwafikia wananchi kwa kuminya uhuru wa habari na kujieleza, basi ujue kuna jambo si bure.
 
Ishu hata sio shirika kupata hasara ishu ni kile tulichokuwa tukiamnishwa kuwa lilikuwa linaingiza faida, hapo hapo "msema kweli ni mpenz wa Mungu ndo kauli" hii ilikuwa msemo mkubwa

siwezi jua alikua na lengo gan but an airline is very important hasa iki kipindi ambapo covid ni tatizo na watanzania wamezuiwa kusafiri mfano kurudi nyumbani
 
kama hujui importance ya airlines huezi jua kwann nchi zingine znakumbatia ingawa znamake loss pia
Huwezi kukumbatia Hasara ya mabilioni kisa tu na wengine wanapata hiyo hasara ya the same business! ni ujuha!

Hata wale economic consultant s walipuuzwa na kuambiwa si wazalendo kumbe wahuni wachache ukiwa mmojawapo mkivimbiwa na pesa za walalahoi kupitia hiyo mijidege.

pity!
 
Matazamio yake ni ya miaka mingapi? na kwanini tulikuwa tunadanganywa kwamba kulikuwa na faida kubwa?

anaweza kujibu hayo maswali ni yeye mwenyewe but mm i think airlines ni muhimu sana, serikali inaweza kuikumbatia ATCL mpaka ikapata faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…