Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

my point is bado ni mapema sana kufanya maamuzi magumu yoyote kwenye hili shirika
Tufanye business zingine zinazolipa kwanza, hiyo misifa ya midege siyo muda wake. Nchi hii ina zaidi ya miaka 50 tangu ipate Uhuru, siyo kufanya majaribio ya hasara. Tuna mahitaji mengi ya kufanya kwa wananchi wetu siyo midege. Juzi hapa Naibu waziri Silinde alikuta shule moja ya msngi huko Lindi ina choo cha nyasi na wanafunzi wanasoma chini ya mti mkorosho. Hizi sifa za ndege tusubiri kwanza.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu.

CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara ya mabilioni ya shilingi za kitanzania kwa miaka mitano sasa. Lakini Mwendazake na wenzake wamekuwa wakituamisha kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa faida. Katika kuchagiza hilo, ATCL imekuwa ikitoa hadi gawio kwa Serikali. Tulikuwa tukidanganywa.

Serikali ya Mwendazake ilijaa propaganda na uongo mkubwa. Tumeanza kuona upande wa pili wa tulichokuwa tukiambiwa. Ukweli unaupiga kumbo uongo uliotaka kudumu kwa muongo mzima. Amini nawaambia, hilo ni tone tu kwenye bahari ya propaganda zilizokuwa zikiendelea wakati wa uongozi wa Mwendazake. Mengi yanafuata baada ya tuta.

Ndugu yangu Kichere, angekuwepo Mwendazake ungeiwasilisha Ripoti ile inayoanika ATCL na hasara zake?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Meko alikuwa muongo sanaaaa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
sasa kama hujuii umuhimu na national carier unataka nkupe info gan? national airline tunapoelekea inatakiwa iwepo by default if the world politics zkiendelea ivi, profit and loss ni makaratasi ambayo hayakujaa, kuna umhimu sana wa national airline
Yaani kuwachukua watz waliokwama nje ndo uone kuna umuhimu wa kuendelea kuwa na mindege inayoleta hasara kwa taifa? kweli tuna watu wa ajabu sana nchi hii
 
Yaani kuwachukua watz waliokwama nje ndo uone kuna umuhimu wa kuendelea kuwa na mindege inayoleta hasara kwa taifa? kweli tuna watu wa ajabu sana nchi hii
Kwa hasara kama hii lakini bado huyo jamaa anataka tuendelee kuwa na shirika kama ATCL,

JamiiForums1226559130.jpg
 
Yaani kuwachukua watz waliokwama nje ndo uone kuna umuhimu wa kuendelea kuwa na mindege inayoleta hasara kwa taifa? kweli tuna watu wa ajabu sana nchi hii

unapanda ndege mara ngap kwa wiki tuanzia apo
 
si mchezo: Halafu alifanya vote 20 kichaka chake.
Genji ilipigwa! Doto james come out! The tax payers are crying out for their USD 390,000,000. or 897,000,000,000 Tsh. Please please this is looting.
 
Tufanye business zingine zinazolipa kwanza, hiyo misifa ya midege siyo muda wake. Nchi hii ina zaidi ya miaka 50 tangu ipate Uhuru, siyo kufanya majaribio ya hasara. Tuna mahitaji mengi ya kufanya kwa wananchi wetu siyo midege. Juzi hapa Naibu waziri Silinde alikuta shule moja ya msngi huko Lindi ina choo cha nyasi na wanafunzi wanasoma chini ya mti mkorosho. Hizi sifa za ndege tusubiri kwanza.

hasara haimaiishi hio project ni failure, inamaanisha inahitaji innovative ideas nyingi zaidi, huezi downplay umuhimu wa ndege kwenye nchi hata chadema wenyewe mlipigia kelele sana hili bungeni sasa nan alaumiwe? badala ideas zitawale mnaanza majungu
 
Ebu niambie hospital ipi ya kata imeleta hasara kwa taifa kama ATCL?

Alafu ebu nitajie faida ya ATCL kwa taifa

aisee we kweli kichwa panzi, gained advantage ya atcl na hospitali za kata ni almost equal, hospital za kata haziingizi faida na wala hazitegemewi kuingiza faida hata mwendo kasi ni loss making project, but tuingoe??? kwa NASA ni profit making organisation? kenya airways je? wewe ni mwanachama wa chadema?
 
Kwa hasara kama hii lakini bado huyo jamaa anataka tuendelee kuwa na shirika kama ATCL,

View attachment 1737807
Yaani unasoma comment ya mtu mpk unawaza cjui anatumia ubongo gani kufikiri kwa kweli,hawa watu wanahitaji elimu kubwa sana ya mambo kabla ya kuanza kuchangia kwenye mijadala kama hii,mtu anafananisha mashirika mengin kupata hasara like Kenyan na Ethiopia ajui kwamba zile zinafanya international route so baada ya kufungwa kwa mipika ya nchi nyingi ndo hasara ikatokea,wao ndege zao ni local 2 kwenda Chato,mwanza n humu ndani hatukufunga mipaka,
 
ATCL kupata faida ni kama ndoto tu maana siasa ni nyingi katika uendeshaji. Kwa mfano safari za Chato kama zilikuwepo ni wazi zitakuwa zilikuwa za hasara tu. Sema ATCL inaweza kukumbatiwa kwa malengo ya kuleta faida indirectly. Kwa mfano ikileta watalii ambao labda wangepitia Nairobi nk. Lakini hiyo nayo lazima ipimwe kiutaalamu isije ikazidi kiwango.
Kwa mfano dukani unaweza kuweka pipi si kwa madhumuni ya kupata faida ya kuuza pipi bali kuwagawia watoto ili kila wakitumwa dukani waje kwako, maana yake faida ya pipi inaonekana kwa kuuza mfano mchele zaidi; lakini lazima uangalie isije faida yote ya mchele ikaliwa na pipi!

wazo zuri, mm pointi yangu ni kwamba hio project isitupwe maaana kuna vichwa maji kwenye hii thread kichefu chefu badala yake innovative ideas zitawale, tayari tanzania ni tourism hub africa nzima, izi ndege there must be a way zkatumika and zkaturn to a profit after all waliokua wanapiga kelele shirika lina ndege moja ni hawa hawa wapinzani
 
Sielewi umeandika vitu gani hapa! Yaani ununue ndege kibao then ufanye mchezo wa kubahatisha wa trial & error nyingi?
Kichwa yako itakuwa na tope kidogo.

sasa wewe ulidhan ukianzisha biashara unakua na uhakika lazima ilete profit? we ushawahi fanya biashara yoyote?? unayo mohammed dewji amebwaga bishara ngap mwaka jana ambazo ni loss making for years? simba yenyewe haitengenezi faidam ndo biashara zinavoenda, youtube yenyewe mpaka leo ni loss making, sasa unadhan ntakushangaa?
 
aisee we kweli kichwa panzi, gained advantage ya atcl na hospitali za kata ni almost equal, hospital za kata haziingizi faida na wala hazitegemewi kuingiza faida hata mwendo kasi ni loss making project, but tuingoe??? kwa NASA ni profit making organisation? kenya airways je? wewe ni mwanachama wa chadema?
We jamaa ni zero brain kwa kweli aisee,kujenga hospital ni hasara? Mwendo kasi ni hasara? hv unajua watu kukaa kwenye foleni muda mrefu tunapata hasara ya mamilioni kwa mwaka? Jifunze vitu ndo uje humu
 
Sasa kwa Nini tulidanganywa kwamba inamake profit na gawio juu. Hivi jpm asingekufa jamani hii nchi si ingekuwa kituko Cha Karne. Shida walimpa urais wakati Hana uwezo nao. Mama Samia angekuwa rais halafu yeye akawa makamu wake ili awe under control.
hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
 
Gawiwo linakikokotoo chake halihusiani na faida uliza ueleweshwe. Tatizo lenu you are overdoing hoja itakapojibiwa mtaaibika maana mnakubaliana na conclusive statements badala ya kutoa room of doubt. Haya endeleeni na sherehe.
Acha akili zako wewe. gawiwo lipo kama kutakuwa na faida tu. ambapo linagawiwa kwa watu au kampuni walio na hisa za asilimia fulani, kampuni haziwezi toa gawiwo kama inajiendesha kwa hasara hii iwe kwa Public sector, private sector au public-private cooperation company

Unataka kusemaje kuhusu gawiwo wanagawana hasara??
 
We jamaa ni zero brain kwa kweli aisee,kujenga hospital ni hasara? Mwendo kasi ni hasara? hv unajua watu kukaa kwenye foleni muda mrefu tunapata hasara ya mamilioni kwa mwaka? Jifunze vitu ndo uje humu

vp UDART ripoti yake ya mapato inasemaje? faida ama hasara? sasa ukishalijua hilo ndio tunatakiwa kutreat ATCL same minded, first tanzania ndio tourism hub ya afrika nzima, watu wakae chini ideas zije za nguvu tourism iunganishe na ATCL moja kwa moja there must be a way itamake profit, afterall biashara nyingi ni loss making duniani isiwe kama kitu kipya unless hujawahi kufanya biashara, hata jamii forum ni loss making hakuna profit ya moja moja inaoingia as cash but indiretly its mmaking money! we ukishakunywaga huo ulezi basi maisha yameishia apo
 
sasa wewe ulidhan ukianzisha biashara unakua na uhakika lazima ilete profit? we ushawahi fanya biashara yoyote?? unayo mohammed dewji amebwaga bishara ngap mwaka jana ambazo ni loss making for years? simba yenyewe haitengenezi faidam ndo biashara zinavoenda, youtube yenyewe mpaka leo ni loss making, sasa unadhan ntakushangaa?
Hahahahaha ebu hapo ulipo jipige kifuani Mara 3 jiambie mie ni hasara kwa taifa,yaani unaanzisha biashara 2 kabl ya kufanya research ya biashara yako?hata kama biashara ni kutake risk bt kuna vitu vya muhimu kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara aisee
 
Back
Top Bottom