stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Kama amendanganya hapa je nimangapi atakuwa ametudanganya?
mangapi mengine amedanganya maana inaonekana we mjuaji sana, tuambie mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amendanganya hapa je nimangapi atakuwa ametudanganya?
masalia ya mwendazake bado mpo?!hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
kwani lazima uhalalishe uwepo wa ndege kwa kudanganya kwamba tunapata faida tu? kwani ukisema ukweli ili turekebishe na ndege ziwepo zile tu tunazoweza kuziendesha shida iko wapi?
masalia ya mwendazake bado mpo?!
Tupe mengi ya huko Lumumba VUTA-NKUVUTEMambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu.
CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara ya mabilioni ya shilingi za kitanzania kwa miaka mitano sasa. Lakini Mwendazake na wenzake wamekuwa wakituamisha kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa faida. Katika kuchagiza hilo, ATCL imekuwa ikitoa hadi gawio kwa Serikali. Tulikuwa tukidanganywa.
Serikali ya Mwendazake ilijaa propaganda na uongo mkubwa. Tumeanza kuona upande wa pili wa tulichokuwa tukiambiwa. Ukweli unaupiga kumbo uongo uliotaka kudumu kwa muongo mzima. Amini nawaambia, hilo ni tone tu kwenye bahari ya propaganda zilizokuwa zikiendelea wakati wa uongozi wa Mwendazake. Mengi yanafuata baada ya tuta.
Ndugu yangu Kichere, angekuwepo Mwendazake ungeiwasilisha Ripoti ile inayoanika ATCL na hasara zake?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kwa hasara hii bado unataka serikali endelee kuikumbatia ATCL,
Mkuu haupo serious,kama upo serious basi utakuwa na matatizo ya akili sio bureView attachment 1737744
Akili walimkabizi mwendazake kaondoka nazo vichwa vimebaki emptyMkuu kuna akili na akiliccm ambazo hazijawahi kuwa akili ndio maana wenye akili wakikosoa au kushauri "huwa si wenzao au wametumwa na mabeberu"
Mungu atunusuru...
Route zilikuwa anapanga mwanasiasa, sasa nataka route ya Mpanda, mara twende Chato Mwanza kwa bei rahisi.Tulinunua ndege bila kuwa na business plan.
mazuri hatuyapingi bali tuna yapongeza. ila masalia ya mwendazake mlikua ni NDIO MZEE, hv hamkuwaza kuwa jamaa alikua ni binaadam?wapingaji bado mpo? mnaendeleaje uko mlipo? mmeshapokea malipo ya february kwenye kazi yenu ya kupinga?
mazuri hatuyapingi bali tuna yapongeza. ila masalia ya mwendazake mlikua ni NDIO MZEE, hv hamkuwaza kuwa jamaa alikua ni binaadam?wapingaji bado mpo? mnaendeleaje uko mlipo? mmeshapokea malipo ya february kwenye kazi yenu ya kupinga?
Kila zama na kitabu chake, wajaribu tuone, hata supika hilo analijua kwamba zama za kufinyanga bunge zimekwisha.Si ajabu ripoti hiyo ikapigwa chini Bungeni na CAG akaonekana kuwa ni mzushi. Unakumbuka ishu ya 1.5t?
mazuri hatuyapingi bali tuna yapongeza. ila masalia ya mwendazake mlikua ni NDIO MZEE, hv hamkuwaza kuwa jamaa alikua ni binaadam?
Umuhimu wake uko wapi wakati tunapata hasara? Kwanini izo pesa tusizipeleke kwenye miradi ambayo italeta faida kwa wananchi wote,sasa kama hujuii umuhimu na national carier unataka nkupe info gan? national airline tunapoelekea inatakiwa iwepo by default if the world politics zkiendelea ivi, profit and loss ni makaratasi ambayo hayakujaa, kuna umhimu sana wa national airline
Hapo nimekuelewa. Kwamba kuna kosa lilifanyika kwa kuwa na mandege mengi kuliko uwezo wa kuyahudumia kwa faida. Tungeanza na chache halafu tukawa tunaongeza kadiri ya faida tuipatayo.thats a nistake ofcourse, but ni marehem tayar sasa mnapoteza mda kushambuliana na marehem
Hivi fedha wanazokula Covid-19 kama wabunge ni zetu au za Ndugai?Huyu babu mi namchukia sana, yani nikimuona kwenye t.v naona kama nimeona kinyesi, anatakiwa akimaliza muda wake wa Uspeaker, afutiwe kinga ya kushtakiwa aliopewa na marehemu. Halafu anyongwe kwa kuendekeza tumbo lake huku nchi ikiharibiwa.
Hasa kwa ushenzi wa;
1) kujifanya ana msimamo wa kukataa Report Ya CAG aliopita, kisa CAG aligoma kupelekeshwa na Marehemu ili atudanganye ATCL na TCCL zinaendeshwa kwa faida. CAG aliona mbali, akaona bora afukuzwe kazi kuliko kuungana na Marehemu na Speaker kudanganya watanzania. Sasa mungu amewaumbua na atawaumbua zaidi.
2) Kuapisha wabunge hewa bila uchaguzi na kuwaapisha hao Covid 19.