Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

Sasa kwa Nini tulidanganywa kwamba inamake profit na gawio juu. Hivi jpm asingekufa jamani hii nchi si ingekuwa kituko Cha Karne. Shida walimpa urais wakati Hana uwezo nao. Mama Samia angekuwa rais halafu yeye akawa makamu wake ili awe under control.

hio ni hoja tayar lakini pia waliolilia hizi ndege ni wapinzani wenyewe, walipiga kelele sana bungeni shirika likiwa na ndege moja sasa ndege zmekua za kutosha loss imetkea kelele nyingi
 
pole sana dogo na cheza chini, nadhan tafuta wafanya biashara angalau wawili watakwambia jinsi biashara zao zilivo anza kumake profit.
 
Wewe kweli huna akili unafananisha ndege na hospital?

Wananchi wangapi wanafaidika na izo ndege?

Hospital inatoa huduma ya afya kwa wananchi wote sana sana nyie mnaojiita wanyonge,
 
hio ni mistake, hata apa unaweza shangaa mwakani ukaambiwa inatengeneza faida, tuchukue lipi tuache lipi
 
Wewe kweli huna akili unafananisha ndege na hospital?

Wananchi wangapi wanafaidika na izo ndege?

Hospital inatoa huduma ya afya kwa wananchi wote sana sana nyie mnaojiita wanyonge,

kwan unadhan wananchi wote ni maskini? kama wewe uwezo wako bado cheza chini panda unachoweza kuafford.
 
Simba wanamtangazia Mo biashara ndo faida Mo anayopata kwa simba,

Ndugu wewe huna akili na ujawai kufanya biashara yoyote so ujui unachokiongea
 
hio ni hoja tayar lakini pia waliolilia hizi ndege ni wapinzani wenyewe, walipiga kelele sana bungeni shirika likiwa na ndege moja sasa ndege zmekua za kutosha loss imetkea kelele nyingi
Kwa nchi zenye akili shirika la ndege linaendwshwa na private companies halafu serikali inachukua Kodi tu lakini siyo serikali kuji involve jumla. Kumbuka serikali ikifanya biashara hakuna efficiency zaidi ya hasara. Shida tulimpa mshamba nchi.
 
Bro nahisi ndo unaamka nw kutoka usingizini aisee ulilala miaka 6 nyuma,wakati magu analeta hii mindege yake watu walitoa ushauri sana ila walipuuzwa wakaonekana sio wazalendo,so kaa kimya usianze kuleta utetezi wako wa ajabu hapa,kama mlijua inatakiwa iunganishe sector ya utalii kwann hamkulitambua hilo mapema na kuanzisha internatiol route duniani huko ili zilete watalii moja kwa moja mnakazania kuanzisha route za kwenda mpanda?
 
Simba wanamtangazia Mo biashara ndo faida Mo anayopata kwa simba,

Ndugu wewe huna akili na ujawai kufanya biashara yoyote so ujui unachokiongea

si unaona jinsi ulivo ulezi nmekuuliza mo ama nkuuliza simba? swali nmekuuliza je unajua simba ni loss making institution, kadhalika na yanga ivo ivo?? je sasa kama znapata hasara izi club zifungwe???

- so my point nkasema lazima inovative ideas zije kunusuru ATCL lakini kwa saaahv lazima ziendelee kuwepo, same kwa simba, same to jamii forum, youtube, zote izi ni loss making but they are needed.

- we comment ya kwanza tayar nshajua biashara hujawahi fanya na hujawahi toka nje ya nchi kama umeenda sana basi east africa mwisho kwa sababu loss making ni kitu cha kawaida na losses haimaanishi biashara ifungwe, kwa kifupi we cheza chini tuliza meno watu wengine wapo wanaotoa michango mziuri
 
kwan unadhan wananchi wote ni maskini? kama wewe uwezo wako bado cheza chini panda unachoweza kuafford.
FYI mimi uwezo wa kupanda ndege ninao

Wewe unaweza kufanya biashara kwa miaka mitano bila kupata faida na bado ukaendelea kuifanya iyo biashara?
 
Kwa nchi zenye akili shirika la ndege linaendwshwa na private companies halafu serikali inachukua Kodi tu lakini siyo serikali kuji involve jumla. Kumbuka serikali ikifanya biashara hakuna efficiency zaidi ya hasara. Shida tulimpa mshamba nchi.
Waliikimbiza fast jet nchini wakiogopa ushindani matokeo yake wameshindwa kufanya biashara,kipindi cha fast jet nauli ilikuwa afadhali kuliko wao afu Leo hii wanatetea ujinga
 
Hapa naogea na wewe nipo mbali sana wala sipo Tz,

We endelea kukaa kwa shemeji mpaka wajomba zako waanze kukuita aunty
 
Picha ya kwenye dp yako inasadifu uelewa wako
 
- ilo ni wazo nmetoa sjasema shirika linatakiwa kuendeshwa kwa mawazo hayo, ingawa mawazo ni mengi zaidi ya hayo! but you cant downplay the importance of an airline especially a national airline

  • privatisation duniani ilishafeli kitambo sana, serikali saaahv haziwezi kuchukua mashirika from the investors again na haiwezi kufanya ubia tena.
  • lengo kuu la serikali sio kupata faida but ni kuwanyanyua wananchi, ipo miradi mingi sana ya serikali haiingizi faida mpaka leo lakini for service sake hauwezi kuifunga. mkapa alijaribu, akaja kuconfess it was a bad move

  • the US tried, shirika linalohusiana na kuchapisha dola ya marekani (THE FEDERAL RESERVE) ilibinafsishwa and today the federal reserve is prinitng more than $300M everyday
  • Kenya airways tried saaaahv serikali imebaki na ndege mbili ambazo nazo ni mbovu
  • safaricom tried, na saa wanalalamika hawana usd za kuwalipa wawekezaji wachukue tu ksh

nkianza kutaja mifano apa ni mingi google ipo fanya research:
ya mwisho kabisa ukiprivatize company kelele za bei iko juu sahau kupunguziwa
 
Picha ya kwenye dp yako inasadifu uelewa wako

cheza chini nmekwambia huna chochote cha maaana umecomment toka nimeanza soma post zako hii thread, pitia wengine ambao wanaoppose lakini wanatoa advantage ya uwepo uelewe
 
Hapa naogea na wewe nipo mbali sana wala sipo Tz,

We endelea kukaa kwa shemeji mpaka wajomba zako waanze kukuita aunty

haiwezekani mtu amekaa kwenye capitalist nation na anashangaa loss au anashangaa biashara ya hasara kwa miaka 10! so we katafute ugali wako magomeni usije kufa njaa
 
hio ni mistake, hata apa unaweza shangaa mwakani ukaambiwa inatengeneza faida, tuchukue lipi tuache lipi
Kwa hiyo tusishabikie sana haya mambo ya wanasiasa wanaokua na keki mdomoni, kwa sababu wanakua wanajitahidi kuongea uongo ili keki isiwatoke, halafu kina mimi na wewe tunaunga tela kwenye jambo lao.
 
haiwezekani mtu amekaa kwenye capitalist nation na anashangaa loss au anashangaa biashara ya hasara kwa miaka 10! so we katafute ugali wako magomeni usije kufa njaa
Asante ndugu yangu acha nikatafute ugali

Nakutakia siku njema kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…