alafu mashirika yote binfasi yakishaingia hasara hela za kuendesha wanatoa wap? wao sio serikali kwamba wanatoa huduma hawaangalii faida serikali inaweza kubypass profit na bado shirika likaendelea, kwa saaahv ukitoa precision ambayo inapumuliwa mashine, hakuna shirika lingine, precision sidhan kama itakuepo kwa mda mrefu kwa biashara kwa sababu parent company yake kenya airways nayo ni imekufa!
- kwenye situation kma hii mkono wa serikali unahitajika sana, msile story zenu za raia maskini maana sio kla anaishi tanzania ni maskini na sio watanzania peke yao wanapanda