ahzan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2022
- 288
- 452
Naomba unielezee jinsi ya kuipata io furaha ilio nje ya mapenzi tafadhaliHivi ni lini watu wataelewa duniani kuna furaha nje ya mapenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unielezee jinsi ya kuipata io furaha ilio nje ya mapenzi tafadhaliHivi ni lini watu wataelewa duniani kuna furaha nje ya mapenzi
Jamani mkuje na mawazo ya kuokoa jahazi huku, nipo na jamaa yangu grosary flan hivi! Alikuja mitaa hii kumtembelea manzi wake, kwa bahati mbaya hakumkuta akaamua kujisogeza hapo grosary kupata moja moto moja baridi,, akiwa hapo mara akaingia mtoto mmoja mzuri sana yan huyo demu wake anaweza ingia mara 10 hivi, uzalendo ukamshinda akaamua kuomba namba wakaanza kuchart mdogo mdogo!!
Wakati huo huo kulikuwa na mapaka kama matatu hivi yana kamua mvinyo kwa pembeni huku macho yote kwetu, mara jamaa akapigiwa simu na manzi wake akamuuliza yupo Wapi kwani alikuta missed calls zake, jamaa akadanganya yupo home kwake a naangalia sinema zetu.
Tumekaa kama masaa mawili hivi mara manzi wake huyu hapa nae alikuwa anakuja kupoza koo! Kizaa zaa kikaanzia hapo kwann amemdanganya?? Akatumia mbinu za kivita kumdanganya akaeleweka, na shemeji akajiunga nasi tukaanza kuburudika pamoja, aisee kumbe yale manyau yalikuwa yanausoma mchezo mzima si yakamtonya shem kuwa jamaa amechukua namba ya yule dada mkali!!
Sokomoko kikaanzia hapo shem katoka analia ovyo na kubwatuka kuwa anasalitiwa hadharani na jamaa amevurugwa mana hataki kuharibu na huyu mrembo mpya!!
Kifupi anawataka wote amebaki katumbua macho hapa kama kama gari mpya inayowasha taa ya check engine!! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jamani mkuje na mawazo ya kuokoa jahazi huku, nipo na jamaa yangu grosary flan hivi! Alikuja mitaa hii kumtembelea manzi wake, kwa bahati mbaya hakumkuta akaamua kujisogeza hapo grosary kupata moja moto moja baridi,, akiwa hapo mara akaingia mtoto mmoja mzuri sana yan huyo demu wake anaweza ingia mara 10 hivi, uzalendo ukamshinda akaamua kuomba namba wakaanza kuchart mdogo mdogo!!
Wakati huo huo kulikuwa na mapaka kama matatu hivi yana kamua mvinyo kwa pembeni huku macho yote kwetu, mara jamaa akapigiwa simu na manzi wake akamuuliza yupo Wapi kwani alikuta missed calls zake, jamaa akadanganya yupo home kwake a naangalia sinema zetu.
Tumekaa kama masaa mawili hivi mara manzi wake huyu hapa nae alikuwa anakuja kupoza koo! Kizaa zaa kikaanzia hapo kwann amemdanganya?? Akatumia mbinu za kivita kumdanganya akaeleweka, na shemeji akajiunga nasi tukaanza kuburudika pamoja, aisee kumbe yale manyau yalikuwa yanausoma mchezo mzima si yakamtonya shem kuwa jamaa amechukua namba ya yule dada mkali!!
Sokomoko kikaanzia hapo shem katoka analia ovyo na kubwatuka kuwa anasalitiwa hadharani na jamaa amevurugwa mana hataki kuharibu na huyu mrembo mpya!!
Kifupi anawataka wote amebaki katumbua macho hapa kama kama gari mpya inayowasha taa ya check engine!! 😅 😅 😅 😅
Imepitishwa lini hii?Kauli mbiu tumekubaliana mlete kwanza rafiki humu kabla haujaomba ushauri wowote.
Hawa marafiki mnawapa sana lawama ni vyema mkaweleta tuwape ushauri mujarabu kabisaa.
Tarehe 01/07/2022 haukuwepo kwenye huo mjadala ?Imepitishwa lini hii?
Sikuwepo bossTarehe 01/07/2022 haukuwepo kwenye huo mjadala ?
Basi tambua hilo kuanzia sasa uwe unawaleta wahusika ama kama ni wewe mwenyewe pia unaweka wazi.Sikuwepo boss