Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Hivi vitabu mbona vinatofautiana kuhusu huyo Mungu
 
Wewe hata mtoto wako akufanyaje huwezi mchoma Moto Tena milele. Imagine this mtoto wako hajawahi kukuona hajawahi kukuskia isipokuwa kwa watu afu baadae ukutane nae umchome kisa hajaamini upo si utaonekana kichaa

Mkuu binafsi baada ya tafakuri ya kina kuhusu Mungu basi picha inaojengeka kupitia “maneno yake” ni kuwa Mungu ni kiumbe fulani MKATILI SANA na wala sioni huo upendo anaompenda binadamu kama mboni ya jicho lake
 
Mkuu binafsi baada ya tafakuri ya kina kuhusu Mungu basi picha inaojengeka kupitia “maneno yake” ni kuwa Mungu ni kiumbe fulani MKATILI SANA na wala sioni huo upendo anaompenda binadamu kama mboni ya jicho lake
😂Si kila kitabu kinasema god is love cjui after chapter kadhaa unaskia kill all unbelievers
 
You Appeal to tradition.

Na hilo haithibitishi kivyovyote kuwa kuna Mungu.
 
Hiyo pumzi unayovuta na ufahamu uliokufanya kuandika haya mauchafu yako alikupa nani? Pumbavu
Mungu yupo kwako kwasababu hujui mambo tu.

Kwanini unahisi hiyo pumzi alipewa na kitu?

Kwanini unauliza nani?

Je unalenga uambiwe Mungu?
 
Alikufa kwa ajili ya dhambi ipi wakati bado natenda dhambi

Just imagine mkuu
Mungu kamtupa shetani duniani amuhadae binadamu afanye dhambi
Halafu tena Mungu akamleta mwanae Mungu Yesu afe kwaajili ya hizo dhambi
Halafu shetani bado yupo na dhambi bado zipo palepale

Inabidi ujitoe ufahamu kuamini hizi tales
 
😂Asa hapa si umeprove ni dhana coz naweza tengeneza sanamu nikaomba mvua ikanyesha so sanamu yule ndo Mungu au...na mwingine hajaomba ila mvua imemnyeshea pia...
Elewa uwepo wa Mungu ambao ni kitu nje ya uwezo wa binadamu ...Hata wewe hujui kesho yako yanaweza kutokea yasiyokupendezea nan anafanya hivyo ?sio akili yako wala uwezo wako.!!
 
😂Soma torati na walawi na Quran afu usome hukumu zake naona unajikosha
Tunaongelea Mungu hapa kama unataka dini kwa maandiko niambie?

Sitaki kukupeleka kweny maandiko maana hauamini sasa twende kiakili tu.

Unafikiria yule jamaa wa Titanic alivyosema Mungu hawezi kuzamisha meli alijiona ana uwezo zaidi 😅😅.
 
Nk
You Appeal to tradition.

Na hilo haithibitishi kivyovyote kuwa kuna Mungu.
Nakuonyesha kiuhalisia binadamu yeyote anatambua uwezo wa Mungu hata wanaoishi porini lazimq kuna kitu wanaabudu...Jaribu kusoma documentary ndio utajua.

Usiwe mbishi kwa kitu hujui ,hakuna jamii ambayo haiabudu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
 
😂😂😂Ubongo upo hai pia...sio roho ..soma Sayansi dogo acha kujikosha...hujaprove chochote hapa.. umeprove tu duniani Kuna wajinga wengi bac
Sayansi ipo huyo Stephen Hawking kafa kama zombie 😀😀na alikuwa anaprove sio wewe unayekariri hata theory moja hauna.

Dogo we fanya kucopy hata ukiambiwa binadamu alikwua nyani fuata maana hauna akili zaidi ya hapo ,wanaondika ni binadamu kama wewe ambao hawajui kesho yao.

Wapo watu wana matatizo ya ubongo na wanaishi .

Na roho ya binadamu ipo sehemu yeyote ile ya mwili sio kooni kama unavyofiria,ndio mqana binadamu anahisi maumivu sehemu yeyote ile unaweza kukatika mkono ukavuja damu mpaka ukafa sio lazima ukatwe kichwa.
 
Umesahau kuwa tumeaminishwa kuwa ni mmiliki wa vyote vilivyomo ulimwenguni, na pia ni mwenye ukwasi wa kutosha. Cha ajabu michango nyumba za ibada haiishi kila kukicha.
Imefika hatua hakuna tofauti ya nyumba za ibada na TRA kwenye kukusanya mapato.
Huwa najiuliza kama mimi mshahara wangu huo huo natumia kusomesha, kulipa kodi, kujengea n.k.
Lakini unatoa sadaka na zaka kwenye nyumba za ibada lakini linapokuja suala la ujenzi, kuchangia wenye mahitaji maalum unaanzishwa mchango mpya kwaajili ya jambo lililoibuka.
Najiuliza kwanini mapato ya nyumba za ibada yasitumike kugharamia mambo mengine yahusuyo imani mpaka waturundikie michango lukuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…