Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Halafu kuna swali moja huwa najiulizaga kwani shetani alifanya kosa gani? Kwa mtu atakayenionyesha Kosa lake i think ntatoa zawadi hata milioni
 
Aaah Mayu aka Nkima waza na bhupe.
 
Alizaliwa hivyo hivyo na condition yake labda kama alikufuru akiwa tumboni 🤣🤣🙏

Kazaliwa mzima huyo na picha zake akiwa mzima zipo mpaka miaka 21 ndio akawa hivyo😂😂...Hata yeye haelewi halafu anatuaminisha hamna Mungu.

 
We mjamaa wewe hufai ati.
 
Ni kweli hakuna majibu, lakini kutokuwepo kwa majibu hayo sio kigezo cha kusema na kuthibitisha kwamba Mungu ndio muumbaji.
 
Gesi ya oxygen ipo?
Ipo kwa kusikika na kuhisika, Hivyo angalau Gesi ya Oxygen ipo kwa namna moja ya kusikika na kuhisika.

Upepo unasikika ukivuma ambapo ndani yake kuna hiyo Oxygen.

Oxygen huweza hata kujazwa kwenye mitungi, na kutumika mahospitalini. Kwa vile ipo.

Sasa, Mungu hayupo kwa namna yoyote ile Haonekani, Hasikiki wala Hashikiki.

Ila ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
 
View attachment 2744882


Huyu alikuwa mzima😂😂na alisema hamna Mungu ,hajui kesho yake hatimae kawa zombie mpaka anakufa😂.

Mungu yupo hata wewe hujui kesho yako ..Hujafa hajaumbika.
Point yako hii ya ulemavu wa
"Stephen Hawking" wala haina mantiki yeyote kuonesha uwepo wa Mungu,

Ngoja nikuulize..👇

Watoto wachanga wanao zaliwa na matatizo ya ulemavu kama vichwa vikubwa, unjiti, uchizi na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili,

Je na wao wanakuwa wamesema kwamba Mungu hayupo ndio maana wana zaliwa hivyo?

Kama hata watoto wachanga wasio na ufahamu wowote ule, wanazaliwa na matatizo haya, Ujue Huyo Mungu unaye dai ni muumbaji HAYUPO.
 
Alizaliwa hivyo hivyo na condition yake labda kama alikufuru akiwa tumboni 🤣🤣🙏
Watoto wote wachanga wanao zaliwa na ulemavu kama unjiti, vichwa vikubwa, uchizi na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili..

Je na wao wanakuwa wame mkufuru Mungu, mpaka wazaliwe hivyo?

Tembelea mahospitalini kama Muhimbili, Bugando, KCMC au popote pale wodi za watoto ujionee wanavyo teseka japo hawana Hatia yeyote ile ya kuteseka kwao, Maana hawana hata ufahamu wa kujitambua.

Lakini Mungu mnayesema ni mwema sana, mwenye upendo na huruma Kashindwa kuwafanya wasiteseke.
 
Eeh!!unakuja sasa hayo matatizo yote hakuna anayependa ila ni maajaliwa ya Mungu ..

Sijasema kama Stephen Hawking kapata laana ya Mungu ila point yangu👉👉hata yeye na ujuaji wake wote alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile pia kashindwa kulilitatuq tatizo hata madaktari wanaomzunguka .

Ndio maana hata wewe leo kwa pesa huwezi kumfikia hata Diamond sio kama umependa ila yule kapangiwa japo wanaopambana kama yeye wapo wengi na walikuwepo ,hizi ni neema ila kupambana ili kutafuta neema na riziki ni lazima except kuwa tajiri au maskini ni neema pia maana hakuna mtu anapata vile anapenda jpo wachache wanapata.
 
Kazaliwa mzima huyo na picha zake akiwa mzima zipo mpaka miaka 21 ndio akawa hivyo😂😂...Hata yeye haelewi halafu anatuaminisha hamna Mungu.

View attachment 2744890

Nakubaliana na wwe kabisa kwmba Steven Hawking Alipata ugonjwa huo mwaka 1963 akiwa na miaka 21 uko sahihi kabisa....

Sasa na hakuna mahali popote Steven Hawking Amewahi kukana moja kwa moja Uwepo wa Mungu...

#FACTS CHECK
Ngoja nikuelimishe kuhusu ugonjwa alioumwa kwanza kabla sijaenda kwenye hoja ya ya UMungu....

Ugonjwa alioumwa Hawking kitalaam unaitwa Amyotrophic Lateral Screlosis (ALS) Au kwa kimjini mjini unaitwa Lou gehrig's Disease sasa kama ulivyopost ni ugonjwa unaoleta Neurodegeneration disorder,

Sasa huu ugonjwa uko katika Aina mbili Sporadic (Non genetic) pamoja na Non Sporadic (familial's one au genetic)....
Sasa Kwa upande wa Steve Hawking Ilikuwa ni Non sporadic au Ni ALS ya Genetic au familial kwa sababu alipopimwa aligundulika kuwa ana mutated gene C9orf72 ambazo ni moja kati ya gene tatu maarufu za Familial ALS au ALS ya kurithi (C9orf72, SOD1, na FUS)

Kwahyo ugonjwa wa S.Hawking ulikuwa ni wa kurithi, na ukisema ulitokana na dhambi zake kidogo unanifanya niwaze kuhusu wale wenye sickle
cells,Haemophilia,Albinism etc..wamemkosea Mungu kwa maana ugonjwa wake hauna tofauti na hayo magonjwa...
HOJA YA PILI HAWKING KUPINGA UWEPO WA MUNGU NDO KULIMFNYA KUWA HIVYO....?
Hii ni hoja dhaifu sana Japo sio tu kwamba haina facts ila ni ya kitoto kwa ulimwengu wa kisayansi...
hoja kuhusu ugonjwa nimeongelea naomba niongelee na niseme kuwa Hawking alipublish kitabu chake cha kilicholeta utata na kutafsiriwa kuwa kinapinga uwepo wa Mungu kinachoitwa "A Brief history of time" kilitoka mwaka 1988 kakitafute usome...
humo ndani Hawking alijaribu kuadithia Mwanzo wa ulimwengu na Original ya cosmos yetu..alitoa sababu nyingi za kisayansi kipande ambacho wengi wanakitafsiri kuwa ni kusema kuwa hakuna Mungu kwenye kitabu hicho ni hiki

"Because there is a law such as gravity, the universe can and will create itself from nothing. Spontaneous creation is the reason there is something rather than nothing, why the universe exists, why we exist. It is not necessary to invoke God to light the blue touch paper and set the universe going."
sasa wewe utachagua kuamini kwamba kapinga au kaswmaje
 
Najia hicho ulichosema mkuu mimi nilikuwa namjibu yeye anayesema kwamba alikufuru ndo akapata ugonjwa
 
Sijasema kapata laana ya kumpinga Mungu ! Point yangu ni kwamba hata yeye alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile yote yale ni mambo yapo nje wa uwezo wa binadamu ...who is managing all these uncertainty?

Hapo ndio tunasema ni mpango wa Mungu sio laana maana hata yeye hajui kesho,sisi yeye tu hata mimi na wewe.
 
Kashindwa kulitatua vipi wakati kapata akiwa na umri wa miaka 21 na vitabu vyake vingi vimeanza kutoka akiwa na umri kuanzia 40s mpaka alipokufa akiwa na umri wa miaka 76 pengine hata babu yako hakufikisha au hata mtu ambaye anaomba msikitini au kanisani hakuwahi kuifikisha hiyo
 
HAM SIO BABA WA WAAFRIKA. HAPO NDIO UNAKOSEA. THEY TWIST STUFF KUKUKAMATA AKILI WEWE. NA HAM HAKULAANIWA. ANZIA NA MWANZO 13:1 KJV UONE ABRAHAM ALIPEWA ARDHI GANI.
 
Sasa zombie yule wa nn tena ?

Babu yangu ana miaka 90 na kitu na anaelekea 100 sio zombie na huyo jamaa yako ambaye tafiti zake ni za kizamani labda anwashikia akili ukoo wenu na phd yako ambayo hujagundua hata kiberiti.

Wewe unamsikiliza mtu ambaye ana nadhari za kizamani yaani , hiyo elimu yako ya kumsoma Hawking ndio umekuja kuwa mjinga unayevaa suti ila huwezi kufikria hata Hawking ambaye kashindwa kutatua tatizo lake akikuambiwa wanaume wanaoana unawezq kukubali kuolewa sio?😂
 
Hatuwezi kujua Tusicho kijua.

Kutokujua kesho yako, Haimaanishi kwamba Mungu yupo.

Una thibitishaje kwamba mimi au mtu yeyote yule hawezi kumfikia Diamond kwa pesa?

Je Diamond hawezi kumfikia Mo Dewji kwa pesa aki pambana?

Kwa nini jarida la Matajiri duniani Forbes, Orodha yake ina badilika badilika kila mara?

Kama mtu akiwa na pesa au utajiri hawezi kufikiwa, Mbona tajiri Elon musk alishuka nafasi ya kwanza ya kuwa tajiri na kuwa nafasi ya pili.

Diamond anafikiwa na amepitwa kwa pesa na watu wengi sana hapa hapa Tanzania.
 
Hakuna cha research hapo. Waarabu wanawaita Hao Hao Manabii ambao Wazungu wanasema walikuwa Wazungu kuwa walikuwa waarabu. They are all liers.
Waarabu na Wazungu ni ndugu na ndio maana wote walifanya kitu kimoja ambacho wanakipenda UTUMWA. Na sababu wote hawatupendi basi ndio hivyo.
Ushajiuliza swali why HAWATUPENDI..???
 
Ndio siwezi kupinga kesho unaweza kuja kumpita Diamond ,siwezi kudharau kiumbe kilicho hai na kinajitafutia hata kidogo maana kesho yako na yangu hatujui.

Hata mimi sijui kesho naweza nikawa hata mlemavu so lolote fresh tu ni mpango wa Mungu.

Mungu ndio anapanga ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…