DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Halafu kuna swali moja huwa najiulizaga kwani shetani alifanya kosa gani? Kwa mtu atakayenionyesha Kosa lake i think ntatoa zawadi hata milioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizaliwa hivyo hivyo na condition yake labda kama alikufuru akiwa tumboni 🤣🤣🙏View attachment 2744882
Huyu alikuwa mzima😂😂na alisema hamna Mungu ,hajui kesho yake hatimae kawa zombie mpaka anakufa😂.
Mungu yupo hata wewe hujui kesho yako ..Hujafa hajaumbika.
Aaah Mayu aka Nkima waza na bhupe.Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Alizaliwa hivyo hivyo na condition yake labda kama alikufuru akiwa tumboni 🤣🤣🙏
We mjamaa wewe hufai ati.Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Ni kweli hakuna majibu, lakini kutokuwepo kwa majibu hayo sio kigezo cha kusema na kuthibitisha kwamba Mungu ndio muumbaji.Sayansi hakuna ilichogundua kipya...maana hakuna kipya ila imefanya yasiyofahamika vema kwa binadam yafahamike...mfano: viumbe hai na mifumo yake, hewa, umeme, anga na sayari zake ipo tangu hapo... sayansi hijagundua isipokuwa imeleta utambuzi wa kujua jinsi inavyofanya kazi, ambapo hata hivyo hajajulikana kabisa ndio maana bado changamoto zake ni nyingi....tukija kwenye technology ni copy, replicate and paste....mfano, gari ,ndegeni copy ya movement ya viumbe wengine, memoy copy ya ubongo, camera copy ya jicho na vingine vingi....hiyo sayansi isiwadanganye mkajaa kiburi cha uzima...wakati hata majibu ya ulimwengu ulitokeaje na ikawaje tufe kubwa kama dunia na mengine mengi kuelea pasipo kushikwa na chochote mpaka leo hakuna majibu.
Ipo kwa kusikika na kuhisika, Hivyo angalau Gesi ya Oxygen ipo kwa namna moja ya kusikika na kuhisika.Gesi ya oxygen ipo?
Point yako hii ya ulemavu waView attachment 2744882
Huyu alikuwa mzima😂😂na alisema hamna Mungu ,hajui kesho yake hatimae kawa zombie mpaka anakufa😂.
Mungu yupo hata wewe hujui kesho yako ..Hujafa hajaumbika.
Watoto wote wachanga wanao zaliwa na ulemavu kama unjiti, vichwa vikubwa, uchizi na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili..Alizaliwa hivyo hivyo na condition yake labda kama alikufuru akiwa tumboni 🤣🤣🙏
Eeh!!unakuja sasa hayo matatizo yote hakuna anayependa ila ni maajaliwa ya Mungu ..Point yako hii ya ulemavu wa
"Stephen Hawking" wala haina mantiki yeyote kuonesha uwepo wa Mungu,
Ngoja nikuulize..👇
Watoto wachanga wanao zaliwa na matatizo ya ulemavu kama vichwa vikubwa, unjiti, uchizi na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili,
Je na wao wanakuwa wamesema kwamba Mungu hayupo ndio maana wana zaliwa hivyo?
Kama hata watoto wachanga wasio na ufahamu wowote ule, wanazaliwa na matatizo haya, Ujue Huyo Mungu unaye dai ni muumbaji HAYUPO.
Kazaliwa mzima huyo na picha zake akiwa mzima zipo mpaka miaka 21 ndio akawa hivyo😂😂...Hata yeye haelewi halafu anatuaminisha hamna Mungu.
View attachment 2744890
Najia hicho ulichosema mkuu mimi nilikuwa namjibu yeye anayesema kwamba alikufuru ndo akapata ugonjwaWatoto wote wachanga wanao zaliwa na ulemavu kama unjiti, vichwa vikubwa, uchizi na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili..
Je na wao wanakuwa wame mkufuru Mungu, mpaka wazaliwe hivyo?
Tembelea mahospitalini kama Muhimbili, Bugando, KCMC au popote pale wodi za watoto ujionee wanavyo teseka japo hawana Hatia yeyote ile ya kuteseka kwao, Maana hawana hata ufahamu wa kujitambua.
Lakini Mungu mnayesema ni mwema sana, mwenye upendo na huruma Kashindwa kuwafanya wasiteseke.
Sijasema kapata laana ya kumpinga Mungu ! Point yangu ni kwamba hata yeye alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile yote yale ni mambo yapo nje wa uwezo wa binadamu ...who is managing all these uncertainty?Nakubaliana na wwe kabisa kwmba Steven Hawking Alipata ugonjwa huo mwaka 1963 akiwa na miaka 21 uko sahihi kabisa....
Sasa na hakuna mahali popote Steven Hawking Amewahi kukana moja kwa moja Uwepo wa Mungu...
#FACTS CHECK
Ngoja nikuelimishe kuhusu ugonjwa alioumwa kwanza kabla sijaenda kwenye hoja ya ya UMungu....
Ugonjwa alioumwa Hawking kitalaam unaitwa Amyotrophic Lateral Screlosis (ALS) Au kwa kimjini mjini unaitwa Lou gehrig's Disease sasa kama ulivyopost ni ugonjwa unaoleta Neurodegeneration disorder,
Sasa huu ugonjwa uko katika Aina mbili Sporadic (Non genetic) pamoja na Non Sporadic (familial's one au genetic)....
Sasa Kwa upande wa Steve Hawking Ilikuwa ni Non sporadic au Ni ALS ya Genetic au familial kwa sababu alipopimwa aligundulika kuwa ana mutated gene C9orf72 ambazo ni moja kati ya gene tatu maarufu za Familial ALS au ALS ya kurithi (C9orf72, SOD1, na FUS)
Kwahyo ugonjwa wa S.Hawking ulikuwa ni wa kurithi, na ukisema ulitokana na dhambi zake kidogo unanifanya niwaze kuhusu wale wenye sickle
cells,Haemophilia,Albinism etc..wamemkosea Mungu kwa maana ugonjwa wake hauna tofauti na hayo magonjwa...
HOJA YA PILI HAWKING KUPINGA UWEPO WA MUNGU NDO KULIMFNYA KUWA HIVYO....?
Hii ni hoja dhaifu sana Japo sio tu kwamba haina facts ila ni ya kitoto kwa ulimwengu wa kisayansi...
hoja kuhusu ugonjwa nimeongelea naomba niongelee na niseme kuwa Hawking alipublish kitabu chake cha kilicholeta utata na kutafsiriwa kuwa kinapinga uwepo wa Mungu kinachoitwa "A Brief history of time" kilitoka mwaka 1988 kakitafute usome...
humo ndani Hawking alijaribu kuadithia Mwanzo wa ulimwengu na Original ya cosmos yetu..alitoa sababu nyingi za kisayansi kipande ambacho wengi wanakitafsiri kuwa ni kusema kuwa hakuna Mungu kwenye kitabu hicho ni hiki
"Because there is a law such as gravity, the universe can and will create itself from nothing. Spontaneous creation is the reason there is something rather than nothing, why the universe exists, why we exist. It is not necessary to invoke God to light the blue touch paper and set the universe going."
sasa wewe utachagua kuamini kwamba kapinga au kaswmaje
Kashindwa kulitatua vipi wakati kapata akiwa na umri wa miaka 21 na vitabu vyake vingi vimeanza kutoka akiwa na umri kuanzia 40s mpaka alipokufa akiwa na umri wa miaka 76 pengine hata babu yako hakufikisha au hata mtu ambaye anaomba msikitini au kanisani hakuwahi kuifikisha hiyoEeh!!unakuja sasa hayo matatizo yote hakuna anayependa ila ni maajaliwa ya Mungu ..
Sijasema kama Stephen Hawking kapata laana ya Mungu ila point yangu👉👉hata yeye na ujuaji wake wote alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile pia kashindwa kulilitatuq tatizo hata madaktari wanaomzunguka .
Ndio maana hata wewe leo kwa pesa huwezi kumfikia hata Diamond sio kama umependa ila yule kapangiwa japo wanaopambana kama yeye wapo wengi na walikuwepo ,hizi ni neema ila kupambana ili kutafuta neema na riziki ni lazima except kuwa tajiri au maskini ni neema pia maana hakuna mtu anapata vile anapenda jpo wachache wanapata.
HAM SIO BABA WA WAAFRIKA. HAPO NDIO UNAKOSEA. THEY TWIST STUFF KUKUKAMATA AKILI WEWE. NA HAM HAKULAANIWA. ANZIA NA MWANZO 13:1 KJV UONE ABRAHAM ALIPEWA ARDHI GANI.Si kila maji ni ya kunywa na si kila dini ni ya kihuni, usipite kwenye njia za mkato katika kuhukumu kitu, kwanza pata maarifa ya kina kuhusu jambo halafu ndiyo uweze kutetea msimamo wako. Tofautisha kati ya dini na wafuasi wa dini. Wazungu walitudharau waafrika kutokana na mafundisho ya Biblia kuwa Ham mtoto wa Noah alilaaniwa na baba yake kwa kuwa alimcheka pindi alipolewa na kuwa uchi (soma Genesis 9:20-27), na Ham ndiyo baba wa waafrika, na ndiyo miongoni mwa sababu waliyoipata hao wazungu kutufanya watumwa na kututawala. Waarabu wamesambaza dini si kwa ajili ya kiuchumi bali ni kwa ajili ya kuwalingania wanadamu katika kumuabudu Mungu Mmoja. Hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye kutegemea uchumi wake kutoka nchi za Afrika. Na hakuna imamu mwenye msikiti wake, misikiti si mali ya watu, mtu anaweza akajenga msikiti na akauendesha kwa pesa zake au kwa michango ya waumini. Dini ni neno lenye tafsiri pana sana, itabidi ufanye utafiti ili kujua kwanza nini maana ya dini.
Sasa zombie yule wa nn tena ?Kashindwa kulitatua vipi wakati kapata akiwa na umri wa miaka 21 na vitabu vyake vingi vimeanza kutoka akiwa na umri kuanzia 40s mpaka alipokufa akiwa na umri wa miaka 76 pengine hata babu yako hakufikisha au hata mtu ambaye anaomba msikitini au kanisani hakuwahi kuifikisha hiyo
Hatuwezi kujua Tusicho kijua.Eeh!!unakuja sasa hayo matatizo yote hakuna anayependa ila ni maajaliwa ya Mungu ..
Sijasema kama Stephen Hawking kapata laana ya Mungu ila point yangu👉👉hata yeye na ujuaji wake wote alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile pia kashindwa kulilitatuq tatizo hata madaktari wanaomzunguka .
Ndio maana hata wewe leo kwa pesa huwezi kumfikia hata Diamond sio kama umependa ila yule kapangiwa japo wanaopambana kama yeye wapo wengi na walikuwepo ,hizi ni neema ila kupambana ili kutafuta neema na riziki ni lazima except kuwa tajiri au maskini ni neema pia maana hakuna mtu anapata vile anapenda jpo wachache wanapata.
Hakuna cha research hapo. Waarabu wanawaita Hao Hao Manabii ambao Wazungu wanasema walikuwa Wazungu kuwa walikuwa waarabu. They are all liers.Si kila maji ni ya kunywa na si kila dini ni ya kihuni, usipite kwenye njia za mkato katika kuhukumu kitu, kwanza pata maarifa ya kina kuhusu jambo halafu ndiyo uweze kutetea msimamo wako. Tofautisha kati ya dini na wafuasi wa dini. Wazungu walitudharau waafrika kutokana na mafundisho ya Biblia kuwa Ham mtoto wa Noah alilaaniwa na baba yake kwa kuwa alimcheka pindi alipolewa na kuwa uchi (soma Genesis 9:20-27), na Ham ndiyo baba wa waafrika, na ndiyo miongoni mwa sababu waliyoipata hao wazungu kutufanya watumwa na kututawala. Waarabu wamesambaza dini si kwa ajili ya kiuchumi bali ni kwa ajili ya kuwalingania wanadamu katika kumuabudu Mungu Mmoja. Hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye kutegemea uchumi wake kutoka nchi za Afrika. Na hakuna imamu mwenye msikiti wake, misikiti si mali ya watu, mtu anaweza akajenga msikiti na akauendesha kwa pesa zake au kwa michango ya waumini. Dini ni neno lenye tafsiri pana sana, itabidi ufanye utafiti ili kujua kwanza nini maana ya dini.
Ndio siwezi kupinga kesho unaweza kuja kumpita Diamond ,siwezi kudharau kiumbe kilicho hai na kinajitafutia hata kidogo maana kesho yako na yangu hatujui.Hatuwezi kujua Tusicho kijua.
Kutokujua kesho yako, Haimaanishi kwamba Mungu yupo.
Una thibitishaje kwamba mimi au mtu yeyote yule hawezi kumfikia Diamond kwa pesa?
Je Diamond hawezi kumfikia Mo Dewji kwa pesa aki pambana?
Kwa nini jarida la Matajiri duniani Forbes, Orodha yake ina badilika badilika kila mara?
Kama mtu akiwa na pesa au utajiri hawezi kufikiwa, Mbona tajiri Elon musk alishuka nafasi ya kwanza ya kuwa tajiri na kuwa nafasi ya pili.
Diamond anafikiwa na amepitwa kwa pesa na watu wengi sana hapa hapa Tanzania.