Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
 
Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.

Bibilia haijaandikwa na Mungu ndugu yangu imeandikwa na binadamu kama wewe


Kumfananisha “Mungu muweza wa yote” na upepo ni kumshushia heshima kwa mnao muamini
Upepo unasikika, upepo una uhisi, upepo unapimika, upepo unatengenezeka
Halikadhalika hewa inapimika, inatengenezeka nk nk
Mungu hayupo hivyo hakuna chochote kuhusu Mungu zaidi ya vitabuni
 
Kwahiyo msingida point yako niipi au baada ya kuandika hivi nini kifanyike. Kumbuka huu ubaya wote uliopo duniani ungekuwa mara dufu bila dini kwahiyo unataka kufumbia watu macho ili uhalifu oungezeke sio???

Kama dhumuni la Dini ilibuniwa ili kutisha watu wapunguze ubaya hapo tutakubaliana

Point yangu ni kwamba dhana Mungu muweza wa yote haina mantiki kabisa kwa akili za kawaida kabisa vinginevyo huyo Mungu ndio atakua katili zaidi ya hata sisi binaadamu

Hebu nenda Muhimbili hospitali ya watoto wadogo vichanga kabisa wenye saratani uone jinsi wanavyoteseka na saratani na 65% watakufa, watakaopona zaidi ya 50% hawataishi zaidi ya miaka 10 watakua wamekufa
Watakao pona kabisa watabaki na side effects zitakazo athiri mfumo wao wa maisha kabisa
What kind of God that allow such kind of things to happens to the Kids?

Ukiuliza unaambiwa kazi ya Shetani ambaye alikua malaika wa Mungu akakataa kumtii akamtupa duniani aje kutesa watu wake watoto wachanga wasio na hatia
Huyu Mungu wa ainaga jamani
Hivi inakuingia akilini kweli?
Kwanini Mungu asimalizane na huyu malaika wake muasi aache kutu hadaa?
 
Wanasemaga Mungu yupo kiroho kwa akili za kawaida huwezi kumjua..[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo “kiroho” si ingewekwa wazi na rahisi kwa watu wote kumjua huyu Mungu?

Hapo “kirohoni” ni kichaka kingine cha kumfichia Mungu

Yaani uki assume Mungu yupo halafu uanze kutafakari ukuu wake na yanayojiri hata wanao amini katika Mungu wenyewe wanaona kweli hai make sense
Ndio hapo sasa wanakuja na kichaka kingine eti kirohoni

Hiyo kirohoni yenyewe concept yake ni kama ya Mungu tu..... HAIPO
 
Zamani nikisikia kuna watu wataadhibiwa, nilijiuliza ni kina nani.
Kumbe wapo wengi
 
Wewe binafsi ulishawahi kutaka kumjua Mungu?

Nimezaliwa na kulelewa kidini
Niliamini kila kitu kuhusu Mungu toka nikiwa mdogo

Lakini kadiri nilivyokua nazidi kukua na akili kuzidi kupata ufahamu zaidi dhana nzima ya Mungu ikaanza kuwa inatia mashaka..... yaani maswali mengi majibu blah blah
Ikafika mahali dhana nzima ya Mungu ikakosa kabisa mantiki akilini mwangu


Nikaona nijishughulishe kumjua zaidi huyu Mungu nikiwa na AKILI ZANGU TIMAMU na sio kutishwa na viongozi wangu wa dini ambao nilipokua nawadadisi waliishia kunitisha NAKUFURU, mara shetani kaniingia, mara nimuombe sana Mungu, mara sijui nizame kiroho nk nk

Bandiko langu ni sehemu tu ya niliobaini kuhusu dhana ya Mungu
 
Umeandika kimasikhara ila una hoja.
 
Iyo akili unayoitumia sasa itakupeleka pabaya wew endelea kutokuamini uwepo wa aliyekuumba,
 
Sidhani kama kuna sehemu niliandika..."eti utakufuru dini"..!Mbona mimi sijakataa wala sijaeleza kuuchukia huo uuitao "upofu"?Cha ajabu haujaeleza ambacho sijui ni k

Watu kama nyie nawapenda. Sana sema, tu nafasi nakosa tu watu kama nyinyi niwepesi sana kuwajibu mkuu sioni, hoja hapo ya kujibu ni uchafu tu
 
Hizo ni akili za kitoto tu utakuja Mungu wakati hata serikali yako ina kushinda iwe Mungu umjue kwa akili za kipumbavu na kitoto hizo acha kusumbua watu bahq

Mungu na serikali wapi na wapi?

Unahitajika kuwa na akili gani kumjua Mungu mkuu?
Kwani Mungu kaumba na kuweka limitation za akili za kumjua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…