wisdom intelligence
Member
- Feb 27, 2023
- 13
- 18
Mungu na serikali wapi na wapi?
Unahitajika kuwa na akili gani kumjua Mungu mkuu?
Kwani Mungu kaumba na kuweka limitation za
Wanao pinga kwamba eti Mungu hayupo. Lakini kiukweli, hajui hata wanae mtafuta, ndicho nilicho gundua wengi wamtafuta kamavile ni ni mtu wakati Mungu si mtu. Pili njia mnayo itumia kumtafuta tatu mnachokitafuta kwake hamkijui ndiyo maana itimisho. Mnaishia kusema hakuna Mungu, namakejeli mengi Mimi huwa naishia kuanglia.Ume quote watu wawili
Umemlenga nani mkuu?
Wewe mwenye Akili timamu Thibitisha huyo Mungu Yupo.Hizo ni akili za kitoto tu utakuja Mungu wakati hata serikali yako ina kushinda iwe Mungu umjue kwa akili za kipumbavu na kitoto hizo acha kusumbua watu bahq
Mateso na adha azipatazo mwanadamu yanafikirisha mno.Ingawaje umewasilisha ktk lugha ya ghadhabu na hasira, Lakini una jambo zito tatanishi.Ni vema anayewiwa kujibu ajiibu kwa hoja isiyo na ghadhabu wala hasira, matusi wala vitisho.Ndio ushangae sasa huyu Mungu kwanini aoteshe mibangi
Mwezi uliopita nilikua Muhimbili wodi za watoto wa saratani
Yaani niliwaangalia wale watoto wadogo kweli jinsi wanavyopata tabu ya kansa na matibabu yake
Machozi yalinilenga aisee, unabaki unajiuliza kuhusu Mungu unakosa majibu
Mungu ana tafutwa, Kwani kapotea?Wanao pinga kwamba eti Mungu hayupo. Lakini kiukweli, hajui hata wanae mtafuta, ndicho nilicho gundua wengi wamtafuta kamavile ni ni mtu wakati Mungu si mtu. Pili njia mnayo itumia kumtafuta tatu mnachokitafuta kwake hamkijui ndiyo maana itimisho. Mnaishia kusema hakuna Mungu, namakejeli mengi Mimi huwa naishia kuanglia.
Hapo ni uthibitisho tosha kwamba,Ndio ushangae sasa huyu Mungu kwanini aoteshe mibangi
Mwezi uliopita nilikua Muhimbili wodi za watoto wa saratani
Yaani niliwaangalia wale watoto wadogo kweli jinsi wanavyopata tabu ya kansa na matibabu yake
Machozi yalinilenga aisee, unabaki unajiuliza kuhusu Mungu unakosa majibu
Mpumbavu husema moyoni mwake Kuna Mungu, Atheism (12:4)Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible
Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
Binadamu ukianzia milango yake ya fahamu na mifumo ya dunia yote ni dhaifu.Mpumbavu husema moyoni mwake Kuna Mungu, Atheism (12:4)
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kusikika, kuhisika au kushikika.
At least, Hewa ipo kwa namna fulani ya kuhisika tunapo ivuta.
Upepo upo kwa kusikika ukivuma, na kutambulika upo.
Sasa Mungu hayupo kwa namna yoyote ile Haonekani, Hasikiki, Hashikiki, Haisiki, Zaidi ni mawazo ya kufikirika tu imaginations just an illusion.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana za kufikirika na kusadikika tu. (Fictions)
Ulichokiandika ulipata wapi hiyo nafasi?Watu kama nyie nawapenda. Sana sema, tu nafasi nakosa tu watu kama nyinyi niwepesi sana kuwajibu mkuu sioni, hoja hapo ya kujibu ni uchafu tu
Hiyo sio hoja kwamba Mung hayupo labda upande huo ndio ndio una maelezo yanashindwa kueleza uungu huo.Mkuu mimi sijui maana ya Yesu kujaribiwa mara tatu, nipe darasa
Sana sana mi na shangaa tu inakuaje Mungu(Yesu) aliye muumba shetani halafu shetani amjaribu Mungu aliyemuumba
Umeandika sana ila hakuna cha maana yaani wewe ni hayawani.. umekufuru Mungu na siku yako ya taabu yaja tulia hivyo hivyo dawa ya uchungu utaielewa..Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kuua watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Hiyo pumzi unayovuta na ufahamu uliokufanya kuandika haya mauchafu yako alikupa nani? PumbavuKwanza Thibitisha kwamba Mungu yupo.
Kisha ndio ueleze sababu za
kuto kufuriwa?
Mungu hayupo.
Mungu ni dhana ya kufikirika, Haipo katika uhalisia.Uthibitisho wa kwanza Mungu yupo ni wa kiasilia wala hakuna haja ya kupiga kelele.
Ipo hivi ,jamii zetu kihistoria hata uende kwa wahadzabe wanaoishi porini kuna kitu wanaabudu ambacho ni imagery yaani kinabaki kama imani ya moyoni ,wanaweza kuabudu hata mti kwa sababu mambo yanayotokea dunia hakuna kiumbe hai (anayeonekana anaratibu hayo mambo) kama magonjw ,vifo ,ulemavu ,watu kuzaliwa na jinsia tofuati & watu kuzaliwa na kasoro....Mfumo mzima wa maisha ya binadamu hakua ajuaje kesho ina maana akili ya binadamu hata yule primitive kabisa kama mnavyosoma alikuwa anaabudu kitu ambacho kipo kweny ulimwengu wa kiroho.
Binadamu wa zamani walikuwa na upeo mkubwa sana wa mambo ndio maana waliweza kuabudu hata miti na mizimu kwa sababu walijua binadamu halisi hana achojua kuhusu kesho yake ,kama laiti angejue angekuwa mtu wa kuhairisha mambo (procrastinating ) ...Nina maana gani kama mtu leo anajua anaenda kupata ajali basi asingeenda hiyo safari wala kupanda hiko kipando (gari, pikipiki,baiskeli)
Maisha ya binadamu ni fumbo hata yule Hawking na kejele zote ila kaishia kuwa zombie(paralyzed) hajielewi yaani yeye pia na akili zote hajui kesho yake ,je kapenda kuwa vile wakati alihangaika kujibu ikashindikana mpaka kama kama zombie mpaka umauti unamfika..
Wanakuja wazungu na wanasayansi nguli[emoji3578][emoji3578]
Mapema kabisa wanadamu anapoanza kufanya ugunduzi anakujw kugundua kila kinatokea katika "muunganiko wa hatua na force zinawezesha hilo jambo kufanyika" finally wanakuja kukubali kila kitu kinaendeshwa na "mechanism" ina maana kutokea kwa kila kitu kuna sababu...
Mbegu lazima ipande kweny ardhi kama sio lazima labda maabara basi lazima ipate mwanga na oxygen ,mtoto lazima patokee muingiliano wazazi kama ni surrogance lazimq mbegu za wazazi zikutane ...
Ina maana hata utengenezaji wa vitu dunia mpaka ndege na magari ,wataalum walitumbia formular ya mechanism na kufanya kitu fulani kifanye hivi kama ni gari itembee ,kama mashine izalishe .
Je ulimwengu huu hauna mechanism?[emoji3578] Na kama zipo je ni nn kipo chum ya mechanism hzi zinazoleta usiku na mchana ,kuzama kwa jua,kupata majria mbalimbali ya mwaka...kama mvua hutokana na miti mbona jangwani inayesha japo kwa uchache ..
Kuna binadamu anapenda kuzaa mtoto chizi ? Kuna binadamu anapenda kufeli mitihani yake ya kimasomo ? Kwa nn wengine wapo vizuri darsani na wengine la basi tuseme ni genetic zq ukoo na familia ila ipo familia ina vipanga na bado kuna mwamba anakuja kulamba zero kutoka familia hiyo hiyo.
What if kama binadamu wasingekuwa tofauti yaani wote wapo sawa ni wazima(hamna mgonjwa) ,wote wana pesa, wote weupe ,wote jinsia moja .
..
Ni kwamba tusingekuwa na mfumo wa kiutawala kwanza baina yetu na pia isingekuwa dunia hii tunaoishi.
Je kitu hicho kinacho abudiwa bila kuonekana kimeleta matokeo gani chanya yaliyo msaidia binadamu?Binadamu ukianzia milango yake ya fahamu na mifumo ya dunia yote ni dhaifu.
Ndo maana hauwezi kusikia sauti ya mtu aliyopo kms 10 mpaka utumie simu (escorting aid) ..Ukizungumzia milango ya fahamu kuhisi ,kusikia, kuonja ,kuona mengi hata kuna watu wanazaliwa vipofu kabisa..
Waafrica hata wazungu wanaabudu mizimu hapa sitakueleza zaidi ni vip wazungu wanaabudu? wazungu kama unabisha kawaulize hata wanaokaa na wazungu wapo wenye imani za mizimu (sio kama ya Africa) ila ndo hivyo wanaabudu kitu hawakioni.
Kama una akili timamu maziko ya Queen Elizabeth yamefanyika kimatambiko na imani kuna vitu walificha ,plus kusimikwa mfamle mpya pia walifanya kama waafrica ..
Uhusiano wa Mungu na mwanadamu upo kiroho sio kuhisiwa kwenye milango ya fahamu ,leo uki-paralyze mwili mzima unaweza usifanye kazi kwa kukosa ushirikiano ila unakuwa upo hai kutokana na roho yako ipo hai..
😂😂😂Basi isingekuwepoMungu ni dhana ya kufikirika, Haipo katika uhalisia.
Uthibitisho wa kwanza Mungu yupo ni wa kiasilia wala hakuna haja ya kupiga kelele.
Ipo hivi ,jamii zetu kihistoria hata uende kwa wahadzabe wanaoishi porini kuna kitu wanaabudu ambacho ni imagery yaani kinabaki kama imani ya moyoni ,wanaweza kuabudu hata mti kwa sababu mambo yanayotokea dunia hakuna kiumbe hai (anayeonekana anaratibu hayo mambo) kama magonjw ,vifo ,ulemavu ,watu kuzaliwa na jinsia tofuati & watu kuzaliwa na kasoro....Mfumo mzima wa maisha ya binadamu hakua ajuaje kesho ina maana akili ya binadamu hata yule primitive kabisa kama mnavyosoma alikuwa anaabudu kitu ambacho kipo kweny ulimwengu wa kiroho.
Binadamu wa zamani walikuwa na upeo mkubwa sana wa mambo ndio maana waliweza kuabudu hata miti na mizimu kwa sababu walijua binadamu halisi hana achojua kuhusu kesho yake ,kama laiti angejue angekuwa mtu wa kuhairisha mambo (procrastinating ) ...Nina maana gani kama mtu leo anajua anaenda kupata ajali basi asingeenda hiyo safari wala kupanda hiko kipando (gari, pikipiki,baiskeli)
Maisha ya binadamu ni fumbo hata yule Hawking na kejele zote ila kaishia kuwa zombie(paralyzed) hajielewi yaani yeye pia na akili zote hajui kesho yake ,je kapenda kuwa vile wakati alihangaika kujibu ikashindikana mpaka kama kama zombie mpaka umauti unamfika..
Wanakuja wazungu na wanasayansi nguli[emoji3578][emoji3578]
Mapema kabisa wanadamu anapoanza kufanya ugunduzi anakujw kugundua kila kinatokea katika "muunganiko wa hatua na force zinawezesha hilo jambo kufanyika" finally wanakuja kukubali kila kitu kinaendeshwa na "mechanism" ina maana kutokea kwa kila kitu kuna sababu...
Mbegu lazima ipande kweny ardhi kama sio lazima labda maabara basi lazima ipate mwanga na oxygen ,mtoto lazima patokee muingiliano wazazi kama ni surrogance lazimq mbegu za wazazi zikutane ...
Ina maana hata utengenezaji wa vitu dunia mpaka ndege na magari ,wataalum walitumbia formular ya mechanism na kufanya kitu fulani kifanye hivi kama ni gari itembee ,kama mashine izalishe .
Je ulimwengu huu hauna mechanism?[emoji3578] Na kama zipo je ni nn kipo chum ya mechanism hzi zinazoleta usiku na mchana ,kuzama kwa jua,kupata majria mbalimbali ya mwaka...kama mvua hutokana na miti mbona jangwani inayesha japo kwa uchache ..
Kuna binadamu anapenda kuzaa mtoto chizi ? Kuna binadamu anapenda kufeli mitihani yake ya kimasomo ? Kwa nn wengine wapo vizuri darsani na wengine la basi tuseme ni genetic zq ukoo na familia ila ipo familia ina vipanga na bado kuna mwamba anakuja kulamba zero kutoka familia hiyo hiyo.
What if kama binadamu wasingekuwa tofauti yaani wote wapo sawa ni wazima(hamna mgonjwa) ,wote wana pesa, wote weupe ,wote jinsia moja .
..
Ni kwamba tusingekuwa na mfumo wa kiutawala kwanza baina yetu na pia isingekuwa dunia hii tunaoishi.
Hakuna aliyenipa ufahamu wala pumzi ninayo ivuta.Hiyo pumzi unayovuta na ufahamu uliokufanya kuandika haya mauchafu yako alikupa nani? Pumbavu
Si ndio hayupo kwenye uhalisia.[emoji23][emoji23][emoji23]Basi isingekuwepo