Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Basi Mungu huyo ni sawa na kujitekenya na kujicheka mwenyewe.Anajua akili zake ndio maana anampa mitihani kwa vile kampa akili[emoji1787].Hilo ndio jibu .!!
Sasa nijibu mara ngapi na hakuna hata swali langu moja umejibu...
Swali nalijibu unarudia
"God does not burden a soul beyond it can bear"Basi Mungu huyo ni sawa na kujitekenya na kujicheka mwenyewe.
Kwani huko mnakosema mbinguni wana ishije wao?"God does not burden a soul beyond it can bear"
Mfumo huo basi pasingekuwa na mitihani hata duniani🤣🤣..Akili yako ni hii uje duniani ukae tu ulale tu ,usiwe na njaa basi huu sio mfumo wala kusudio la Mungu .
Tunaongelea Mungu usikimbilie sijui mbinguni ...sikujakuambia kuhusu mbinguni hapa tunaongelea uwepo wa Mungu duniani katika hisia za binadamu.Kwani huko mnakosema mbinguni wana ishije wao?
Mfumo uleule wa maisha ya huko mbinguni, Alishindwaje ku apply hapa duniani?
Na yeye Mungu huyo huko mbinguni
Anakaa tu?
Analala tu?
Mfumo wa huko mbinguni kwani upoje? Na Alishindwaje ku apply hapa duniani, Mpaka atupe hiyo akili ya kuishi hapa duniani?
Kwamba Mungu huyo sasa anaishi tena duniani?Tunaongelea Mungu usikimbilie sijui mbinguni ...sikujakuambia kuhusu mbinguni hapa tunaongelea uwepo wa Mungu duniani katika hisia za binadamu.
Wapi nimeongelea kuhusu mbinguni au nimekuambia mtu akifa anaenda mbinguni?Kwamba Mungu huyo sasa anaishi tena duniani?
Usha anza changanya mafaili...
Ehee..!! Mungu huyo yupo duniani wapi huko?
Popote pale wapi?Wapi nimeongelea kuhusu mbinguni au nimekuambia mtu akifa anaenda mbinguni?
Kwa nn unajitungua maswali😁😁.
Mungu yupo popote pale .!!
Logical non sequiturKufa ni adhabu? Kifo sio adhabu wala majanga sio adhabu ndio maana kifo unaweza kupata kwa style yeyote ile sio lazima uumwe au upate ajali...Kifo ni mfumo tu kama kuzaliwa yaani kunq kuzaliwa na kufa na wala hamna guarantee ya kuishi miaka fulani kila mtu span of time ya kuishi dunia.
Sasa hapo unajibu madude gani🤣🤣🤣Vitu vipo vingi, tofauti na kiumbe ndio maana hata shule unapewa mtihani kulingana syllabus yaani kitu mlichosoma na kipo ndani ya uwezo wenu, ila bado wengine wanafeli.
Njoo uthibitishe wapi imesema Muhammad ni nabii feki ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bac bible inasema Yahweh ndo Mungu wa ukweli na ilitangaza manabii feki ambaye ndo alikuja Muhammad
Naam🤣Sawa, so jua usiku linaenda kuomba ruhsa.. sawa 😴umeshinda al kisai bin Rahman al Saud
Amesema nani hayo ? Mwanadamu alipewa kazi ya kufikisha ujumbe kwa wanaadamu wenzake.🤣Ushaambiwa binadamu hahitaji Mungu ila Mungu anahitaji binadamu kuexist...ndio maana vitabu vyote ni binadamu wameandika, makanisa misikiti hekalu zote ni binadamu wapo sio Mungu sio malaika ni binadamu ndo ujiulize 🤣 man created god in his own image
Rejea pale nilipo kujibu ulimtaja mzazi wapi ?Jaribu kufuatilia maswali yangu kwa mtiririko kisha uniambie kama sikumtaja mzazi.
Nimeyaquote hapo chini kama nilivyo kuuliza na kubold neno mzazi pale nilipo litumia.
Haya maswali nilishakujibu na hapa nakujibu tena.Jaribu kufuatilia maswali yangu kwa mtiririko kisha uniambie kama sikumtaja mzazi.
Nimeyaquote hapo chini kama nilivyo kuuliza na kubold neno mzazi pale nilipo litumia.
Anyway. Pengine hukuona. Pengine hukuelewa. Tusipoteze muda.
Naandika maswali yangu tena hapa chini.
Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?
Je, kitakua cha huruma au kitakua cha chuki?
Je, kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii?
Majibu tafadhali.
Sawa Sina hoja ili uonekane uko sahihi kosoa Nina chokiandika.Wewe huwezi kujenga hoja.
Kwa vile una egemea upande mmoja tu wa imani yako na kutetea dini yako ya uislamu.
Unapingana na Biblia ila unataka Quran yako hiyo ionekane ndio ya kweli?
Vivyo hivyo unge zaliwa na kufunzwa mafundisho ya kikristo na Biblia tangu utotoni mwako, Ungekuwa unasema Biblia ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.
Yaani wewe unatumia, Quran kuhalalisha mawazo yako na kuita Quran hiyo eti ndio uthibitisho.
Huwezi kufikiri kabisa wewe.
Achana na Quran na vitabu vya kidini fikiria kwa uhalisia kwa kichwa chako na ufahamu wako.
Maandiko ya kidini yote Biblia na Quran ni fictions stories na Haziwezi kuwa uthibitisho.
Quran hiyo ni kitabu kama vitabu vingine.
Huwa nacheka sana unapo nukuu nususi zetu sis Waislamu.Nakutaka usirudie kudanganya umma , unadanganya eti mtoto atafika peponi atakuzwa awe mkubwa ajaribiwe ,
Allah ameweka wazi kaumba wa motoni na WA peponi kabla hawajazaliwa na hakuna kitu unaweza Fanya kubadili ata uswali kwa sarakasi kama moto ni moto tu
Kwanini unatoa mfano ambao hauwezi kuiweka katika hiki tunachokijadili ?Logical non sequitur fallacy
Tatzo sio kujibu,
Je jibu hilo lina akili?
Angalia mfano huu.
Smotor : Kisai Kwanini unalia?
@Kisai :Naelekea sokoni kununua mboga
Ila mtu huyo nae atadai kajibu
Je jibu hilo ni sahihi hapo?
Hicho ndicho unachokifanya hapo.
Kujibu si tatzo je jibu lako linamantiki ya kuendana na ulichoulizwa!?
Huwezi kunijibu kama inavyotakiwa kwasababu hyo ni contradiction tu na huwezi kuitatua.
Naomba nrudie tena
Mungu mjuzi wa yote
Maana yake alijua kabisa kuwa kuna Smotor huyu nkimuumba hataniabudu.
Kwanini amuumbe Smotor ili aje kumchoma moto!?
Je Mungu huyu ni wa upendo wote kama anataka kuona kiumbe chake kikiteketea wakati alijua kitaenda tofauti nayeye!?
Kama lengo la kuumba ni ili watu wamuabudu, Kwanini asingeumba wale tu watiifu akina kisai na akaachana na akina Smotor!?
Unadhani hata hizi akili za kutokumuabudu zimetoka wapi kama sio kwake?
Kama Mungu ni wa upendo wote kwanini asi_edit akili zetu sisi tusiomuabudu ili tumuabudu yeye asituchome moto?
Unafahamu kwamba ukileta kigezo cha kutupa free will halafu aje kutuchoma moto tyari anakiwa sio wa upendo wote, anakuwa Mungu katili sana asiye na huruma?
Unafahamu kwamba ukileta kigezo cha kutupa free will halafu aje kutuchoma moto tyari anakiwa sio wa upendo wote, anakuwa Mungu katili sana asiye na huruma?
Haya kuwa katika uhalisia, ili tuelewane
Hivi kwamfano nkakuuliza-
Unajua hapo juu ya kichwa chako kuna filimbi ya dhahabu ambayo inaongoza mawimbi yote ya sauti duniani.
ukweli kwamba filimbi hiyo haipo na haiwezekani kuwepo.
Nawe ukanijibu kabisa kuwa filimbi hiyo haipo
Sasa nkwambie thibitisha kuwa haipo!!
Utasemaje hapo!?