Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Anajua akili zake ndio maana anampa mitihani kwa vile kampa akili[emoji1787].Hilo ndio jibu .!!

Sasa nijibu mara ngapi na hakuna hata swali langu moja umejibu...

Swali nalijibu unarudia
Basi Mungu huyo ni sawa na kujitekenya na kujicheka mwenyewe.
 
Basi Mungu huyo ni sawa na kujitekenya na kujicheka mwenyewe.
"God does not burden a soul beyond it can bear"

Mfumo huo basi pasingekuwa na mitihani hata duniani🤣🤣..Akili yako ni hii uje duniani ukae tu ulale tu ,usiwe na njaa basi huu sio mfumo wala kusudio la Mungu .
 
"God does not burden a soul beyond it can bear"

Mfumo huo basi pasingekuwa na mitihani hata duniani🤣🤣..Akili yako ni hii uje duniani ukae tu ulale tu ,usiwe na njaa basi huu sio mfumo wala kusudio la Mungu .
Kwani huko mnakosema mbinguni wana ishije wao?

Mfumo uleule wa maisha ya huko mbinguni, Alishindwaje ku apply hapa duniani?

Na yeye Mungu huyo huko mbinguni

Anakaa tu?

Analala tu?

Mfumo wa huko mbinguni kwani upoje? Na Alishindwaje ku apply hapa duniani, Mpaka atupe hiyo akili ya kuishi hapa duniani?
 
Kwani huko mnakosema mbinguni wana ishije wao?

Mfumo uleule wa maisha ya huko mbinguni, Alishindwaje ku apply hapa duniani?

Na yeye Mungu huyo huko mbinguni

Anakaa tu?

Analala tu?

Mfumo wa huko mbinguni kwani upoje? Na Alishindwaje ku apply hapa duniani, Mpaka atupe hiyo akili ya kuishi hapa duniani?
Tunaongelea Mungu usikimbilie sijui mbinguni ...sikujakuambia kuhusu mbinguni hapa tunaongelea uwepo wa Mungu duniani katika hisia za binadamu.
 
Tunaongelea Mungu usikimbilie sijui mbinguni ...sikujakuambia kuhusu mbinguni hapa tunaongelea uwepo wa Mungu duniani katika hisia za binadamu.
Kwamba Mungu huyo sasa anaishi tena duniani?

Usha anza changanya mafaili...

Ehee..!! Mungu huyo yupo duniani wapi huko?
 
Kwamba Mungu huyo sasa anaishi tena duniani?

Usha anza changanya mafaili...

Ehee..!! Mungu huyo yupo duniani wapi huko?
Wapi nimeongelea kuhusu mbinguni au nimekuambia mtu akifa anaenda mbinguni?

Kwa nn unajitungua maswali😁😁.

Mungu yupo popote pale .!!
 
Kufa ni adhabu? Kifo sio adhabu wala majanga sio adhabu ndio maana kifo unaweza kupata kwa style yeyote ile sio lazima uumwe au upate ajali...Kifo ni mfumo tu kama kuzaliwa yaani kunq kuzaliwa na kufa na wala hamna guarantee ya kuishi miaka fulani kila mtu span of time ya kuishi dunia.
Logical non sequitur

Wapi nmesema kifo ni adhabu?
 
🤣🤣🤣Vitu vipo vingi, tofauti na kiumbe ndio maana hata shule unapewa mtihani kulingana syllabus yaani kitu mlichosoma na kipo ndani ya uwezo wenu, ila bado wengine wanafeli.
Sasa hapo unajibu madude gani

Huwezi kujibu maswali kulingana na yalivyoulizwa!?

Your communication skills is below average
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bac bible inasema Yahweh ndo Mungu wa ukweli na ilitangaza manabii feki ambaye ndo alikuja Muhammad
Njoo uthibitishe wapi imesema Muhammad ni nabii feki ?

Kingine, hakuna kitabu kinachoitwa "Bible" kinachotoka kwa Allah.

Vitabu vya Allah ni :

1. Zaburi
2. Taurati
3. Injili
4. Qur'an

Kwahiyo ili tujadili hilo, njoo uonyeshe ukweli wa Biblia kwanza, kuanzia kwa waandishi wake mpaka leo hii.
 
🤣Ushaambiwa binadamu hahitaji Mungu ila Mungu anahitaji binadamu kuexist...ndio maana vitabu vyote ni binadamu wameandika, makanisa misikiti hekalu zote ni binadamu wapo sio Mungu sio malaika ni binadamu ndo ujiulize 🤣 man created god in his own image
Amesema nani hayo ? Mwanadamu alipewa kazi ya kufikisha ujumbe kwa wanaadamu wenzake.

Sasa unaposema hivyo inaonyesha wazi humjui Mungu. Kuandika mwanadamu vitabu hii si hoja.
 
Jaribu kufuatilia maswali yangu kwa mtiririko kisha uniambie kama sikumtaja mzazi.

Nimeyaquote hapo chini kama nilivyo kuuliza na kubold neno mzazi pale nilipo litumia.
Rejea pale nilipo kujibu ulimtaja mzazi wapi ?
 
Jaribu kufuatilia maswali yangu kwa mtiririko kisha uniambie kama sikumtaja mzazi.

Nimeyaquote hapo chini kama nilivyo kuuliza na kubold neno mzazi pale nilipo litumia.






Anyway. Pengine hukuona. Pengine hukuelewa. Tusipoteze muda.
Naandika maswali yangu tena hapa chini.

Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?
Je, kitakua cha huruma au kitakua cha chuki?
Je, kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii?


Majibu tafadhali.
Haya maswali nilishakujibu na hapa nakujibu tena.

Kwa mzazi sababu ni mwanadamu atakuwa amefanya kosa kutumia moto kumuadhibu mwanae, hii ni kwa sababu jambo hilo lipo kwa Mola pekee.

Lakini, kama alikusudia kumuonya na si kumuua, tutasema alikuwa na nia njema kwa mwanae na mapenzi ila alitumia njia ambayo si sahihi. Sababu Kuna adabu za kuadhibu na kumpiga mtoto.

Suala la ndugu au rafiki kuwa na furaha au huzuni hili si swali la msingi, lakini jalia ni jambo la msingi hawataangaliwa hao ndugu na jamaa.
 
Wewe huwezi kujenga hoja.

Kwa vile una egemea upande mmoja tu wa imani yako na kutetea dini yako ya uislamu.

Unapingana na Biblia ila unataka Quran yako hiyo ionekane ndio ya kweli?

Vivyo hivyo unge zaliwa na kufunzwa mafundisho ya kikristo na Biblia tangu utotoni mwako, Ungekuwa unasema Biblia ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Yaani wewe unatumia, Quran kuhalalisha mawazo yako na kuita Quran hiyo eti ndio uthibitisho.

Huwezi kufikiri kabisa wewe.

Achana na Quran na vitabu vya kidini fikiria kwa uhalisia kwa kichwa chako na ufahamu wako.

Maandiko ya kidini yote Biblia na Quran ni fictions stories na Haziwezi kuwa uthibitisho.

Quran hiyo ni kitabu kama vitabu vingine.
Sawa Sina hoja ili uonekane uko sahihi kosoa Nina chokiandika.

Subiri Sasa nizaliwa Mkristo ndio uje kuuliza swali au kujenga swali hilo. Hatuishi kwa kubahatisha kijana. Hizi njia ndio zimewafanya muwe wajinga na wavivu wa kufikiria.

Sasa kosoa ninacho kiandika, usiseme tu Qur'an. Kijana unasema Mimi Sina hoja ila wewe unalalama mwanzo mwisho.

Kijana Qur'an yenyewe ni uhalisia unataka nifikirie vipi ? Unataka nikosee katika kufikiri nini ?

Qur'an si kitabu kama vitabu vingine, utakuwa huijui Qur'an unaisikia tu ndio maana unaandika. Katika miujiza aliyo kuja nayo Mtume Muhammad ni hii Qur'an.
 
Nakutaka usirudie kudanganya umma , unadanganya eti mtoto atafika peponi atakuzwa awe mkubwa ajaribiwe ,
Allah ameweka wazi kaumba wa motoni na WA peponi kabla hawajazaliwa na hakuna kitu unaweza Fanya kubadili ata uswali kwa sarakasi kama moto ni moto tu
Huwa nacheka sana unapo nukuu nususi zetu sis Waislamu.

Nataka uje na hoja.
 
Logical non sequitur fallacy

Tatzo sio kujibu,

Je jibu hilo lina akili?

Angalia mfano huu.

Smotor : Kisai Kwanini unalia?
@Kisai :Naelekea sokoni kununua mboga

Ila mtu huyo nae atadai kajibu

Je jibu hilo ni sahihi hapo?

Hicho ndicho unachokifanya hapo.

Kujibu si tatzo je jibu lako linamantiki ya kuendana na ulichoulizwa!?
Kwanini unatoa mfano ambao hauwezi kuiweka katika hiki tunachokijadili ?

Ukiambiwa huna akili utasemaje ? Jenga hoja kwa hoja ninazo simama nazo Mimi.

Huu utoto usiandike tena.
 
Huwezi kunijibu kama inavyotakiwa kwasababu hyo ni contradiction tu na huwezi kuitatua.

Naomba nrudie tena

Mungu mjuzi wa yote

Maana yake alijua kabisa kuwa kuna Smotor huyu nkimuumba hataniabudu.

Kwanini amuumbe Smotor ili aje kumchoma moto!?

Je Mungu huyu ni wa upendo wote kama anataka kuona kiumbe chake kikiteketea wakati alijua kitaenda tofauti nayeye!?

Kama lengo la kuumba ni ili watu wamuabudu, Kwanini asingeumba wale tu watiifu akina kisai na akaachana na akina Smotor!?

Unadhani hata hizi akili za kutokumuabudu zimetoka wapi kama sio kwake?

Kama Mungu ni wa upendo wote kwanini asi_edit akili zetu sisi tusiomuabudu ili tumuabudu yeye asituchome moto?

Unafahamu kwamba ukileta kigezo cha kutupa free will halafu aje kutuchoma moto tyari anakiwa sio wa upendo wote, anakuwa Mungu katili sana asiye na huruma?

Kwanza sahihisha unachokiandika. Mola ameumba watu ili wamuabudu na si ili awachome.

Hii lugha rahisi sana, hapa Kuna lengo na Kuna matokeo kwa maana hatima.

Anajua ya kuwa wewe hutamuabudu sababu amekupa uhuru, akili, matashi, na uwezo kufanya wema na kuacha uovu na kufanya uovu na kuacha wema. Kwa maana kujua kwake hakukuzuii wewe kufanya unalitaka. Hapa nakupa mfano, Leo hii Mimi kwa kumjua mwanangu vilivyo naweza kumpa hela mfano shilingi 100, nikajua kabisa huyu mtoto wangu lazima hii hela ataenda kununua pipi, na kweli baada ya muda anakuja na pipi. Sasa hii ni kwako wewe mwanadamu, lakini kwa Allah ni zaidi kwa maana ya uhakika kabisa. Kuna vitu tunapo waeleza mnatakiwa muwe mnavifikiria kwa undani sana.

Mola ni mwenye upendo kamili, ndio maana wewe unae mkana na humuabudu anakupa pumzi, inatafuta rizki na mambo mengine, anakuletea wajumbe na mengine.

Ameumba wema na ubaya ili mtu achague anapo pataka, tunaita uhuru. Si ndio nyinyi kila uchwao mnataka uhuru na kuulilia, Sasa mmepewa uhuru lakini mnalalama. Wanadamu mnashida sana.
 
Unafahamu kwamba ukileta kigezo cha kutupa free will halafu aje kutuchoma moto tyari anakiwa sio wa upendo wote, anakuwa Mungu katili sana asiye na huruma?

Aisee nimecheka sana, hivi hiki ulichokiandika umekisoma ukakielewa ?

Unajua maana ya free will ? Sasa unapopewa uhuru na ukaambiwa ukifanya ovu utaingia motoni na ukifanya mema utaingia peponi, peponi ukaachagua uovu ? Ukichomwa utalaumu nini na kwanini uchague uovu ?

Kijana narudia tena una matatizo ya akili. Mnaandika vitu dhaifu kushinda nyumba ya bui bui.
 
Haya kuwa katika uhalisia, ili tuelewane

Hivi kwamfano nkakuuliza-

Unajua hapo juu ya kichwa chako kuna filimbi ya dhahabu ambayo inaongoza mawimbi yote ya sauti duniani.

ukweli kwamba filimbi hiyo haipo na haiwezekani kuwepo.

Nawe ukanijibu kabisa kuwa filimbi hiyo haipo

Sasa nkwambie thibitisha kuwa haipo!!

Utasemaje hapo!?

Ndio maana niliacha kusoma Falsafa na logic kama fani. Yaani unaandika utoto. Nani ambaye haijui filimbi kijana ? Filimbi ni maarufu, mpaka nakwambia haipo ujue kwamba filimbi naijua.

Sasa tukirudi kwenu nyinyi, mnakosea sifa ya kumjua Mola halafu mnasema hayupo, hii akili matope ? Hili swali la wewe kutuambia Mola hayupo, unatakiwa kwanza umjue huyo Mola ni nani ? Lakini humjui, halafu unakuja kuleta mfano wa kitu ambacho kinajulikana kilivyo. Nyinyi wakupigwa makofi.


Kwahiyo usikimbie hili swali, msitiletee utoto wa kijina. Ukija uje na uthibitisho ya kuwa Mungu hayupo.

Na Mimi nakwambia hivi, hakuna kitu chenye ushahidi mkubwa wa kuwepo kwake kushinda Mungu, hata ushahidi wa kuwepo kwako wewe ni mdogo sana kushinda ushahidi wa uwepo wa Allah mtukufu.

Sasa usilete stori.

Thibitisha ya kuwa Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom