Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Wewe neno Mungu mpakw ukaandikq uxi umejuaji kama kuna kitu kinaitwa Mungu..

Binadamu umbile lake (roho) ni dhahiri rahisi kujua uwepo wa Mungu ndio maana ilikuwa rahisi watu kuacha kuabudu mizimu na kumfuata Mungu wa kweli kutokana na sifa za Mungu ...


Uwepo wa Mungu ni asilia watu wanapinga dini Kutokana maelezo ya baadhi ya dini yanaenda nje na sifa za huyo Mungu kwa uhalisia ,ila Mungu yupo.
 
Mtoa mada una akili sana, I second the motion. Mungu wa kweli ni upendo, period. Nothing more, nothing less.

Na sitaki mtu aniulize lile swali "kama Mungu hayupo, nani aliumba dunia na vilivyomo ndani yake?", mimi na wewe wote hatujui kitu.
 
Kinachosikitisha zaidi

Hao Waliotuletea hizi dini ndo hao hao

1.walowatesa Babu zetu kwa vipigo Kisha kuwauza utumwani Kama bidhaa[emoji26]

2. wanaosema sisi waafrika chimbuko letu Ni nyani
kwani wazungu wao hawaamini mungu... Au makanisa hayapo
 
...Hivi mtu ambae haendag kanisan na sio mchawi... Hawezi akakemea pepo?
 
...kifo na jehanum inayosadikika ndio inawafanya watu waamini na kumwogopa MUNGU... Na ni bora ukawa na imani kuliko kutoamini uwepo wa MUNGU
 
Kwa andiko hili naona Kiranga anatafuna Karanga taratiibu huku anatabasamu.
 
...Imani ya mtu iheshimike... Unaposema hakuna mungu na unaamin uchawi... Wewe ndio bogus... Asieamin uchawi au mungu anahitaji msaada haraka iwezekanavyo... Ukiona imani yako ndio kila kitu... Focus na unachoamini... Usikalie kuponda imani ya wengine
 
...kwani Mshana Jr wewe Unalizungumziaje hili s u a l a . . . l e n y e . . . U t a t a . . .
 
Umeumbwa na kupewa akili timamu kuliko viumbe wengine wote

Akakuletea manabii na vitabu Ili vikupe muongozo jinsi gani uishi Dunia na Baada ya kuondoka duniani

Sasa wewe kama umesoma vitu vyote Yani
TAURATI
ZABURI
INJILI
QURANI

Kisha bado usijue au kuamini kama Mungu yupo basi kupelekwa Jahannam kuchomwa moto ni halali yako

Broo Jahannam inakusubiri
 
Mungu mwenye upendo na huruma, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na majanga kama haya...

Kila siku watu husema, Mungu anatupenda sana.

Je ni kweli?

Tunaposema kwamba Mungu huyo Hayupo muwe mna elewa.
 
Jitahidi kusoma neno la Mungu vizuri, na roho Mtakatifu akuongoze ili uelewe.
 

Wewe ni katika wale wana amini MUNGU kwasababu ya vitisho vya moto wa jehanamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jitahidi kusoma neno la Mungu vizuri, na roho Mtakatifu akuongoze ili uelewe.

Mungu hajawahi kuandika maneno yoyote kwasababu hayupo

Hayo ni maandiko ya watu kama wewe
 
Sitakuwa upande wako ktk kufuru hii.
 
Kisichokuwepo hakipo...!! hata kukitamka au kukifikiria haiwezekani maana hakipo...huwezi ukasema Mungu halafu ukasema hayupo....umejuaje Hayupo halafu ukamtamka....!
 
😂Waache waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…