Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

 
Wote tunazaliwa Waislam. Baada ya hapo wazazi wsio na akili wanakutowa kwenye Uislam na kukutia imani zingine, wale wenye akili timamu wanakuwacha uendelee na Uislam wako ukikuwa utajiamulia mwenyewe.

Labda huelewi maana ya Uislam ni nini.

Hii ni kwa mujibu wa ulivyolishwa

Waislam mnadanganyana sana na hizo story za kutunga na Mohammed
Dini kaianzisha yeye lakini bado anadai hata wakina Adam na Moses walikua waislam
 
Hawezi vipi ? Unajua maana ya swali la uongo ? Ushaambiwa hakuna kinachozidi uwezo wake, wewe unakuja kuuliza je anaweza kuumba kitu kinachozidi uwezo wake ? Hii akili au wendawazimu ?

Maana yake wewe unae uliza swali hili huna akili.
Nina swali jibu
Kiti Cha Allah
1. Ni kikubwa kuliko Allah
2. Kipo sawa na Allah
3. Kidogo kuliko Allah
 
Soma katika Qur'an, ushahidi uko mwingi sana.
 
Nimeshasoma Sana , na nimekuta kiti Cha Allah ni kikubwa kuliko Allah
Hujasoma nakujua vizuri, hujawahi kuweka andiko linalohusu Uislamu ukapatia katika kulinukuu wala katika maana iliyo kusudiwa.

Nasema tena nenda kasome tena, nasema haya sababu umekosea katika maneno yako.
 
Mmempa character ya mtu, wivu, hasira, upendo, tamaa, uwoga etc.. bac Allah anaweza?
Uwoga wa nguchiro ni sawa na uoga wako ? Hasira za Mbwa ni sawa na hasira zako ? Wivu wa nyegere ni sawa na wivu wako ?

Sasa vipi Allah awe na sifa hizo halafu zifanane na za mwanadamu ? Allah hafanani na kiumbe chochote katika sifa zake, sifa zake ni kamili.

Sasa usimlinganishe Allah na mwanadamu, Allah ana Mikono miwili yote ipo upande wa kulia, lakini Mikono yake haifanani na chochote. Hata birika Lina mkono kijana, je mkono wa birika ni sawa na mkono wako ?

Sasa ukijadili mambo ya elimu jadili kielimu.

Nasubiri unipe ushahidi wa kuwa Jua haliombo ruhusa, jua halisujudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…