Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Watu mnatoa view tofauti tofauti, ila something great is "God exist with super power"
Utauliza how "Lord exist naturally" i mean kutegemeana na mazingira husika kwa wakati uliopo, kuna baadhi ya theory ni assumptions tu za binaadamu, ambazo zinapandikiza hofu, imani n.k katika nafsi zetu ambazo logically hazipo.
God is a natural, if that so you have believe mazingira yako, watu wako, shughuli zako na huyo ndio mungu.
Pia ukija kwenye witchcraft ni suala ambalo lipo, ushirikina ni dark power ambayo pia ni individual characteristic i mean kwa watu wachache, kwaiyo kila imani ina sheria zake na mipaka ambayo hutakiwi kwenda tofauti, na ikitokea ukaenda basi utaonekana wa hovyo.
Mazingira ni jumla ya mambo yote yanayomzunguka kiumbe hai na hiyo ndio natural na huyo ndio Mungu.
 
Wote tunazaliwa Waislam. Baada ya hapo wazazi wsio na akili wanakutowa kwenye Uislam na kukutia imani zingine, wale wenye akili timamu wanakuwacha uendelee na Uislam wako ukikuwa utajiamulia mwenyewe.

Labda huelewi maana ya Uislam ni nini.

Hii ni kwa mujibu wa ulivyolishwa

Waislam mnadanganyana sana na hizo story za kutunga na Mohammed
Dini kaianzisha yeye lakini bado anadai hata wakina Adam na Moses walikua waislam
 
Hawezi vipi ? Unajua maana ya swali la uongo ? Ushaambiwa hakuna kinachozidi uwezo wake, wewe unakuja kuuliza je anaweza kuumba kitu kinachozidi uwezo wake ? Hii akili au wendawazimu ?

Maana yake wewe unae uliza swali hili huna akili.
Nina swali jibu
Kiti Cha Allah
1. Ni kikubwa kuliko Allah
2. Kipo sawa na Allah
3. Kidogo kuliko Allah
 
Kwa hiyo Kwa wakati huo uislamu ulikuwa sio kusimamisha swala Tena Bali kumtii Mungu tu [emoji1]
Leta reference ya haya uliyosema, unabii ni ufunuo anaopewa mtu Ili afikishe ujumbe Kwa hadhira iliyopo(Kwa mujibu wa vitabu) Unabii sio maelekezo binafsi lazima ishirikishwe hadhira huo ndo Unabii. Leta reference kwamba Adam alikuwa anapewa maelekezo Moja Kwa moja
Soma katika Qur'an, ushahidi uko mwingi sana.
 
Nimeshasoma Sana , na nimekuta kiti Cha Allah ni kikubwa kuliko Allah
Hujasoma nakujua vizuri, hujawahi kuweka andiko linalohusu Uislamu ukapatia katika kulinukuu wala katika maana iliyo kusudiwa.

Nasema tena nenda kasome tena, nasema haya sababu umekosea katika maneno yako.
 
Mmempa character ya mtu, wivu, hasira, upendo, tamaa, uwoga etc.. bac Allah anaweza?
Uwoga wa nguchiro ni sawa na uoga wako ? Hasira za Mbwa ni sawa na hasira zako ? Wivu wa nyegere ni sawa na wivu wako ?

Sasa vipi Allah awe na sifa hizo halafu zifanane na za mwanadamu ? Allah hafanani na kiumbe chochote katika sifa zake, sifa zake ni kamili.

Sasa usimlinganishe Allah na mwanadamu, Allah ana Mikono miwili yote ipo upande wa kulia, lakini Mikono yake haifanani na chochote. Hata birika Lina mkono kijana, je mkono wa birika ni sawa na mkono wako ?

Sasa ukijadili mambo ya elimu jadili kielimu.

Nasubiri unipe ushahidi wa kuwa Jua haliombo ruhusa, jua halisujudu.
 
Back
Top Bottom