Watu mnatoa view tofauti tofauti, ila something great is "God exist with super power"
Utauliza how "Lord exist naturally" i mean kutegemeana na mazingira husika kwa wakati uliopo, kuna baadhi ya theory ni assumptions tu za binaadamu, ambazo zinapandikiza hofu, imani n.k katika nafsi zetu ambazo logically hazipo.
God is a natural, if that so you have believe mazingira yako, watu wako, shughuli zako na huyo ndio mungu.
Pia ukija kwenye witchcraft ni suala ambalo lipo, ushirikina ni dark power ambayo pia ni individual characteristic i mean kwa watu wachache, kwaiyo kila imani ina sheria zake na mipaka ambayo hutakiwi kwenda tofauti, na ikitokea ukaenda basi utaonekana wa hovyo.
Mazingira ni jumla ya mambo yote yanayomzunguka kiumbe hai na hiyo ndio natural na huyo ndio Mungu.