kamandaMzeemkavu
Member
- Jul 29, 2021
- 21
- 78
Unajidanganya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhKama hakuna Mungu imani ya BIBILIA(maneno ya Mungu) itatoka wapi sasa?
Nimezaliwa na kulelewa mazingira ya uislam kwa mama na ukristo kwa baba, nazijua jua vizuri hizi dini
Toka utoto wangu naaminishwa habari za Mungu lakini kadiri ninavyozidi kukua concept nzima ya Mungu ikaanza kukosa maana kabisa
Na sasa nimejiridhisha pasi na shaka ya ziada huu ni uongo mtakatifu
Ningejua mapema nisingepoteza muda wangu kwa huu uongo
Tulishakataa kutuletea hoja kwa kunakili kutoka kwenye kitabu chenu hicho cha kitapeli .Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible
Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
Wanao pinga kwamba eti Mungu hayupo. Lakini kiukweli, hajui hata wanae mtafuta, ndicho nilicho gundua wengi wamtafuta kamavile ni ni mtu wakati Mungu si mtu. Pili njia mnayo itumia kumtafuta tatu mnachokitafuta kwake hamkijui ndiyo maana itimisho. Mnaishia kusema hakuna Mungu, namakejeli mengi Mimi huwa naishia kuanglia.
Walikuwa wanaabudu na angalia jamii zote ,ukitaka kujua hili hata wazungu wanapotray jamii za msituni kweny movies zao au jamii ya zamani ,wanaonyesha mila zao za kuabdu kama ni miti ,masanamu.Unauhakika gani katika hili?
Unauhakika Australopithecus walikuwa wanaabudu?
Mungu hawezi kuwa katili kwa vile ana samehe...Kama ni hivyo basi hata uovu,mabaya, dhambi, mateso na ukatili wote hapa duniani Ulipangwa na huyo huyo Mungu.
Mungu huyo pia atakuwa mkatili sana, Kwa kupanga Dunia yenye kila aina ya uovu na mateso.
Hakuna kipo kinachosemwa hakipo ,binadamu hawezi kufikria zaidi nje ya mazigira ila anaweza kuendeleza mazingira yake.Hata Uongo upo pia.
Kitu kuwepo si lazima kiwe ni ukweli kipo, Hata kwa uongo kinaweza kuwepo.
Mungu kuwepo ni Uongo.
Mimi nikiamua kufikirikaHakuna kipo kinachosemwa hakipo ,binadamu hawezi kufikria zaidi nje ya mazigira ila anaweza kuendeleza mazingira yake.
Unaposikiw hata Alliens basi wapo ila wanaopinga wapo pia..
Ndio maana huwezi kuota mtu usiyemjua ..
Duara la mraba umeongelea vitu viwili ...Iqe duara halafu mraba😂😂😂litakuwa na jina lingine..Mimi nikiamua kufikirika
"Duara la mraba" ( A square circle) halafu nikasema lipo.
Je Utakubali kuwa Duara lenye umbo la mraba lipo, kwa vile umesikia nikisema lipo?
Sio kila lisemwalo lipo au linaweza kuwepo, kwa vile tu limesemwa lipo.
Lazima uwepo uthibitisho wa kuthibitisha uwepo wa kitu hicho.
Wewe ni mtu mwenye roho mbaya sana.Sayansi hakuna ilichogundua kipya...maana hakuna kipya ila imefanya yasiyofahamika vema kwa binadam yafahamike...mfano: viumbe hai na mifumo yake, hewa, umeme, anga na sayari zake ipo tangu hapo... sayansi hijagundua isipokuwa imeleta utambuzi wa kujua jinsi inavyofanya kazi, ambapo hata hivyo hajajulikana kabisa ndio maana bado changamoto zake ni nyingi....tukija kwenye technology ni copy, replicate and paste....mfano, gari ,ndegeni copy ya movement ya viumbe wengine, memoy copy ya ubongo, camera copy ya jicho na vingine vingi....hiyo sayansi isiwadanganye mkajaa kiburi cha uzima...
Unauhakika haina majibu au wewe ndo hujayasoma tu!?wakati hata majibu ya ulimwengu ulitokeaje na ikawaje tufe kubwa kama dunia na mengine mengi kuelea pasipo kushikwa na chochote mpaka leo hakuna majibu.
Umeona sasa unakataa uwepo wa duara hilo la mraba kwamba halipo, Kwa vile hujawahi kuliona.Duara la mraba umeongelea vitu viwili ...Iqe duara halafu mraba😂😂😂litakuwa na jina lingine..
Ndio maana hakuna Dume -jike ukiwa ni mwanaume na sifa za kike ni shoga ndio jina jipya.
Kwa nini unadhani Dunia ina mwanzo?Bro Mayu hivi hata kama huamini katika uwepo wa Mungu, vipi unahisi hii dunia ilianzaje anzaje tuanzie hapo kwanza!
Bogus huyu mnyiramba wa kinampundu na wewe wa butundwe ni bogus mara mbiliJenga hoja kuonesha na kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Pia jenga hoja kuonesha kwamba uchawi upo.
Ukishindwa wewe ndio Bogus na huna akili kabisa.
Wewe sasa ndio useme kwa upande wako (As Atheist) chanzo cha dunia hii ni kipi? Wenzako Wanasayansi wameumiza kichwa sana na mwisho wa siku wa kaishia kutoa hoja ambazo pia Zina madhaifu makubwa mno... Tuanzie hapo what is your Conclusion on the source of the Universe??Kwa nini unadhani Dunia ina mwanzo?
Kama unaweza kuamini Mungu usiyemjua Hana mwanzo, unashindwaje kuamini pia Dunia haina mwanzo?
Kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo, Hata Mungu lazima awe na mwanzo vilevile, Hawezi kuwepo kwa kutokea tu from nothing.
Umeshindwa kujenga hoja za kuonesha uwepo wa huyo Mungu.Bogus huyu mnyiramba wa kinampundu na wewe wa butundwe ni bogus mara mbili
Usikotiwe wewe nani? hakuna mada hapa kuna maushubwada tu na kwa taarifa yako tu kwenye battles za kidini hunigusi hata chembeUmeshindwa kujenga hoja za kuonesha uwepo wa huyo Mungu.
Una tukana matusi.
Yani uko nje ya mada kabisa.
Don't quote me, if you're not mentally enough to argue with me.
😂Again nikikuambia spiderman kaweka utabisha...utakuwa na proof against me... haya muabudu spiderman or else atakung'ataOna sasa science ndio imeweka huo utaratibu na wao wametafuta sababu ya huo utaratibu
.
Nan kaweka huo utaratibu 😂😂😂?mtu kuzaliwa mpaka kufa?
Okay naweza jifunza pia kutengeneza gari coz Kuna viwanda vya gari..Kuna watu wanatengeneza magari tunawaona... plus Mimi sio gari. So mfano wako ni mfuNan kafanya kiumbe awe hivyo ,mbona watu wanatengeneza magari na kuweka mifupo mpaka inatembea.!
Hata kuendesha gari kuna mechanism kutokana na utaratibu wa gari lilivyotengenezwa ,unaweza usijtengeneza gari ila ukajua kwa kusoma jinsi linachanya mpaka litembee.