Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Ligi kma hizi wakristo na waislamu wana ungana ila ukiwaacha wenyewe wanatoana macho.
 
Mnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja

Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
Kuna vitu viwili nikusaidie.

Wewe uko muathirima wa vita inayoendelea kwa sasa duniani. Vita vya fikra. Uko brainwashed.

Kila mmoja yuko brainwashed lkn je tu nani aliyechongwa na akatengezwa usahihi.

Computer zimetengezwa marekani, Lkn ili uweze tuzitumia na kutengeneza wanatoa kitu kinachoitwa manual.

Hivyo hivyo kwa Mwenyezi Mungu. Alipomiumba mwanadamu kampa Manual. Ambayo ndio Quran.

Bahati mbaya kuwa wapinga Quran. Na tishio zaidi wanafamika kama Orientalism.

Wewe ni miongoni mwa waliochukua mafunzo yao. Hivyo huwezi kuelewa upande wa pili wa Quran hadi pale kwanza uuache moyo wako huru ili uweze kuijua hii manual kwa usahihi.

Quran ni kama dawa yyt ile ukiweza isivyo sahihi itakudhuru.

Nimalizie kwa kukupa baadhi ya maana halisi ya maneno ambayo kwasasa yamebadilishwa maana.

Concept ya ibada au kuabudu.

Kwa asili mwanadamu kaumbwa kuwa submitted na kitu. Hivyo kama hutoweza kumsujudia muamba wako utasujudia other creatures or non creatures. Mf. Bangi, Pombe nk

Kitu chochote unakifanya kwa mazoezi ndio Mungu wako. Bila shaka hata wewe pamoja na kukataa lkn kuna kitu unachokiangukia. Huyo ndio Mungu wako.

Kwani kuna tofauti kati ya Mungu na Mwenyezi Mungu. Haya ni maneno mawili yanayopingana.

Mungu ana uwingi kwa maana Miungu.

Mwenyezimungu hana uwingi.

Wakati Mungu wako wengi waweza kuwa chchte, akowemo huyo shetani,
Sanamu, ng'ombe, miti, uchi nk.

MwenyeziMungu ni mmoja na wa pekee. Ambae ni Eloi au Allah kwa kiarabu.

Kwa mfano waTEC wanapoimba Mungu ibariki wanamaanisha Yesu ndie Mungu wao. Tofauti na mabaniani wakiamuni Ng'ombe.

Kama utakuwa na swali lolote kuhusu Mwenyezi Mungu niukuze.
 
Kwanza hakuna source of the universe, universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Ukianza kuhoji source of the universe kwamba lazima iwepo na kila kitu kilichopo lazima kiwe na source, Hata hiyo source ya "Source the universe" lazima iwe na source yake.

Hapa sasa kutakuwa na endless sources (Vyanzo visivyo na mwisho) ili kanuni hiyo ya kila kitu lazima kiwe na source iweze ku make sense.

Kuuliza source ya Universe ni ipi,
Ni sawa na kuuliza,
What is the North of the north pole?

Einstein relativity inasema kwamba "The rate at which time passes Depends on your frame of reference"

Kuuliza source ya Universe ni ipi Unauliza kutoka kwa frame ya reference ipi?
That's according to your Standing point of view ila kwa mimi nitakuambia kwa mujibu wa imani (Hakika ya Yatarajiwayo mbeleni) naamini kwamba kuna source ya Vyote ambavyo ndio huyo Mungu (Supernatural). Hoja kuhusu kwamba nathibitishaje uwepo wake (kumuona, kumshika ama kumhisi) hapo ndio unarefer hapo juu (hakika ya visivyoonekana na pia yatarajiwayo). Binafsi siamini kwamba ili kuprove uwepo wa kitu ni lazima nikione (kwakuwa naamini macho yangu siyo perfect na yanaweza kunidanganya pia) kumbuka kuna Optical illusion, Lazima nikishike (vingapi hatuwezi kuvishika na bado vipo mfano mzuri ndio hizo gases mbali mbali?, Lazima nikifeel (nop, what abt mind??? coz you can't see, touch or rather feel it but it's there!)

So Hoja hizi zote bado ni dhaifu tu kuna limitations nyingi zinatufanya tusi rely kwenye hizi hoja kuprove uwepo wa vitu ktk huu Ulimwengu!
 
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Kitu kikiwepo hakuna haja ya imani kujua kwamba kitu hicho kipo.

Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kusikika, au kushikika.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile Haonekani, Hasikiki, Hashikiki ,Haisiki Zaidi Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.

Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika. Illusion.
 
Ebu angalia idadi yenu unaweza kucheka kwa kweli ....Kaangalie dini gani inakuwa kwa kasi maana unaweka kuwa unabisha kumbe ration ni 1:100000
😂😂😂😂Inakuwa kwa kasi kwa kuzalisha watoto wa miaka 9 na kuoa wake wanne...haikuwi coz Ina ushawishi mkubwa..
 
Kuna vitu viwili nikusaidie.

Wewe uko muathirima wa vita inayoendelea kwa sasa duniani. Vita vya fikra. Uko brainwashed.

Kila mmoja yuko brainwashed lkn je tu nani aliyechongwa na akatengezwa usahihi.

Computer zimetengezwa marekani, Lkn ili uweze tuzitumia na kutengeneza wanatoa kitu kinachoitwa manual.

Hivyo hivyo kwa Mwenyezi Mungu. Alipomiumba mwanadamu kampa Manual. Ambayo ndio Quran.

Bahati mbaya kuwa wapinga Quran. Na tishio zaidi wanafamika kama Orientalism.

Wewe ni miongoni mwa waliochukua mafunzo yao. Hivyo huwezi kuelewa upande wa pili wa Quran hadi pale kwanza uuache moyo wako huru ili uweze kuijua hii manual kwa usahihi.

Quran ni kama dawa yyt ile ukiweza isivyo sahihi itakudhuru.

Nimalizie kwa kukupa baadhi ya maana halisi ya maneno ambayo kwasasa yamebadilishwa maana.

Concept ya ibada au kuabudu.

Kwa asili mwanadamu kaumbwa kuwa submitted na kitu. Hivyo kama hutoweza kumsujudia muamba wako utasujudia other creatures or non creatures. Mf. Bangi, Pombe nk

Kitu chochote unakifanya kwa mazoezi ndio Mungu wako. Bila shaka hata wewe pamoja na kukataa lkn kuna kitu unachokiangukia. Huyo ndio Mungu wako.

Kwani kuna tofauti kati ya Mungu na Mwenyezi Mungu. Haya ni maneno mawili yanayopingana.

Mungu ana uwingi kwa maana Miungu.

Mwenyezimungu hana uwingi.

Wakati Mungu wako wengi waweza kuwa chchte, akowemo huyo shetani,
Sanamu, ng'ombe, miti, uchi nk.

MwenyeziMungu ni mmoja na wa pekee. Ambae ni Eloi au Allah kwa kiarabu.

Kwa mfano waTEC wanapoimba Mungu ibariki wanamaanisha Yesu ndie Mungu wao. Tofauti na mabaniani wakiamuni Ng'ombe.

Kama utakuwa na swali lolote kuhusu Mwenyezi Mungu niukuze.
Imagine umeokota TV afu watu wanakuja na manual tofauti wote wanasema ni manual ya TV hio uliyookota..kila mmoja na sheria zake za kutumia hio tv na wote wanasema manual zinatoka kwa aliyetengeneza TV. We utamwamini nani..so far umenionyesha utaamini ambae baba Ako anamwamini kuwa ndo ana manual ya kweli ya tv uliyoiokota
 
Kuna vitu viwili nikusaidie.

Wewe uko muathirima wa vita inayoendelea kwa sasa duniani. Vita vya fikra. Uko brainwashed.

Kila mmoja yuko brainwashed lkn je tu nani aliyechongwa na akatengezwa usahihi.

Computer zimetengezwa marekani, Lkn ili uweze tuzitumia na kutengeneza wanatoa kitu kinachoitwa manual.

Hivyo hivyo kwa Mwenyezi Mungu. Alipomiumba mwanadamu kampa Manual. Ambayo ndio Quran.

Bahati mbaya kuwa wapinga Quran. Na tishio zaidi wanafamika kama Orientalism.

Wewe ni miongoni mwa waliochukua mafunzo yao. Hivyo huwezi kuelewa upande wa pili wa Quran hadi pale kwanza uuache moyo wako huru ili uweze kuijua hii manual kwa usahihi.

Quran ni kama dawa yyt ile ukiweza isivyo sahihi itakudhuru.

Nimalizie kwa kukupa baadhi ya maana halisi ya maneno ambayo kwasasa yamebadilishwa maana.

Concept ya ibada au kuabudu.

Kwa asili mwanadamu kaumbwa kuwa submitted na kitu. Hivyo kama hutoweza kumsujudia muamba wako utasujudia other creatures or non creatures. Mf. Bangi, Pombe nk

Kitu chochote unakifanya kwa mazoezi ndio Mungu wako. Bila shaka hata wewe pamoja na kukataa lkn kuna kitu unachokiangukia. Huyo ndio Mungu wako.

Kwani kuna tofauti kati ya Mungu na Mwenyezi Mungu. Haya ni maneno mawili yanayopingana.

Mungu ana uwingi kwa maana Miungu.

Mwenyezimungu hana uwingi.

Wakati Mungu wako wengi waweza kuwa chchte, akowemo huyo shetani,
Sanamu, ng'ombe, miti, uchi nk.

MwenyeziMungu ni mmoja na wa pekee. Ambae ni Eloi au Allah kwa kiarabu.

Kwa mfano waTEC wanapoimba Mungu ibariki wanamaanisha Yesu ndie Mungu wao. Tofauti na mabaniani wakiamuni Ng'ombe.

Kama utakuwa na swali lolote kuhusu Mwenyezi Mungu niukuze.
😴Mshaanza na Mambo yenu ya hole in the heart cjui unafill na bangi pombe...wat if Kuna watu hawaamini Mungu na hawatumii bangi pombe Wala ngono...utasema wanasujudia Nini upepo au..maana hamkosi la kusema
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Unajikuta unajua sana au sio? Dharau ata shetani amekuzidi.
 
That's according to your Standing point of view ila kwa mimi nitakuambia kwa mujibu wa imani (Hakika ya Yatarajiwayo mbeleni) naamini kwamba kuna source ya Vyote ambavyo ndio huyo Mungu (Supernatural). Hoja kuhusu kwamba nathibitishaje uwepo wake (kumuona, kumshika ama kumhisi) hapo ndio unarefer hapo juu (hakika ya visivyoonekana na pia yatarajiwayo). Binafsi siamini kwamba ili kuprove uwepo wa kitu ni lazima nikione (kwakuwa naamini macho yangu siyo perfect na yanaweza kunidanganya pia) kumbuka kuna Optical illusion, Lazima nikishike (vingapi hatuwezi kuvishika na bado vipo mfano mzuri ndio hizo gases mbali mbali?, Lazima nikifeel (nop, what abt mind??? coz you can't see, touch or rather feel it but it's there!)

So Hoja hizi zote bado ni dhaifu tu kuna limitations nyingi zinatufanya tusi rely kwenye hizi hoja kuprove uwepo wa vitu ktk huu Ulimwengu!
Lakini oxygen si umeambiwa zipo mahospitalini
 
Mungu anamajukumu mengi.

Mengine hadi yanamzidi uwezo.

Japo alipaswa kuzuia tetemeko lisitokee Morroco, naungana nawewe kumshauri Mungu apambane kumuongoza huyu anayemkufuru
Tetemeko ni sehemu ya WARNING SIGNS na ALAMA za uwepo wake....

Likitokea mwanadamu huhisi powerless na hutambua uwepo wa SUPREME POWER [SLMIGHTY GOD].....

Mwenyewezimu zna majesho mbinguni ns ardhini....

Tunatakiwa tutubie na kumrejea YEYE
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Mkuu umeona mbaali sana na una akili kubwa mno,ubarikiwe na hii ni bonge la scam kubwa kuliko zote!!
 
😂😂😂😂Inakuwa kwa kasi kwa kuzalisha watoto wa miaka 9 na kuoa wake wanne...haikuwi coz Ina ushawishi mkubwa..
Sawa tunazalisha 😂😂unaumia nn kila mtu ashinde mechi zake...Sijaona hoja zako maana unapambana kiuchumi ila bado uko chini ,unatamani kuwa kama bill gates ila ndio hiyo Mungu hajakupangia.

Hata takwimu umeleta mwenyewe na hujui kosoma.
 
Back
Top Bottom