SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Unaweza thibitisha kwamba kaumbwaUnaweza kuthibitisha kwamba Binadamu hajatokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza thibitisha kwamba kaumbwaUnaweza kuthibitisha kwamba Binadamu hajatokea?
Mimi naamini kuhusu Mungu,Akijibu hajui we utakuwa na jibu?
Welcome to jamii forums, jamii intelligence where we dare to talk openly...😄 And question everything.Duh!
Siwezi kujadili jambo na mtu wa aina yako, Maana majibu yako na hata maswali yemekaa kwenye mfumo usioeleweka kabisa.Welcome to jamii forums, jamii intelligence where we dare to talk openly...[emoji1] And question everything.
In reality mi nataka Mungu awepo, someone who can answer my questions, someone who can answer my prayers, someone who can provide purpose, wote tunatamani unlimited life in heaven...🤣Ila hatulazimishi emotions zetu za tamaa na ujinga zitutawale...Kuna watu wameunda uwongo to the point they believed in their own lies...that's religion. Asa Kama hamna evidence siwezi tu kuamini eti nijiskie furahaYes ni kweli, umeongea kilekile nilicho ongea but kwa kutumia maneno mengine.
Imani ni kubahatisha sawa, lakini je maisha haya si ni kubahatisha tuu?
Unalala usiku Huna uhakika kama utaamka asubuhi but you hope kwamba mambo yataenda sawa na utaamka asubuhi, maisha ni kama ku-bet kuna mambo tunafanya hatujui yataleta matunda gani but we do it anyway, si ndio? We are not sure of anything.
Maisha yetu yanaweza kuondoka muda wowote lakini bado tunapambana kila siku kuboresha yetu kwa sababu tuna imani we will live but we are not sure.
SHIDA YA KIBADANAMU SIO KWAMBA ANATAKA KUJUA MUNGU YUPO AU HAYUPO, SHIDA YA BINADAMU HATAKI MUNGU AWEPO KWA SABABU KAMA MUNGU KWELI YUPO, MAANA YAKE YEYE SIO MKUU TENA, KUJUA KWAMBA KUNA AMBAYE NI MKUU ZAIDI YAKE SIO KITU AMBACHO BINADAMU ATAFURAHI KUGUNDUA.
BINADAMU ANA TAMANI YEYE NDO AWE MUNGU ILI AWE FREE KUFANYA ANACHOTAKA NA ANACHOPENDA NDO MAANA ANAPOTEZA MUDA BUILDING LOGIC AND CRAFTING SCIENTIFIC FACTS ILI APPROVE KWAMBA MUNGU AYUPO ILI YEYE AWE MUNGU.
Amini, Omba, utamuona Mungu alivyo.In reality mi nataka Mungu awepo, someone who can answer my questions, someone who can answer my prayers, someone who can provide purpose, wote tunatamani unlimited life in heaven...[emoji1787]Ila hatulazimishi emotions zetu za tamaa na ujinga zitutawale...Kuna watu wameunda uwongo to the point they believed in their own lies...that's religion. Asa Kama hamna evidence siwezi tu kuamini eti nijiskie furaha
🤣🤣🤣🤣Mbona inakimbilia binadamu wote kila saa... nimeanza mfano wa family because it's in father's control kuhakikisha watoto wote wanakuwa cared for just as it would've been in an all powerful all knowing all loving father of the universe. Asa the inverse tunaona coz huyo father hayupo.. unless proven otherwise. Ukiendelea kukimbilia dunia nzima wakati nimekupa thought experiment ya uwezo wako in a family nakuignoreKwa hiyo ulitaka binadamu wote wawe sawa🤣🤣logic ya Mungu haipo hivyo matabaka ndio mfumo kaweka .
Nimekupa mfano wa binadamu ila Mungu hayupo hivyo na wala huwezi kufananisha kwa matamanio ya mwanadamu anayejipendelea ,hata binadamu angekuwa anatoa riziki angependelea hata viongozi tunaona wanavyojilimbikizia mali wakati wengine wanapata tabu.
Logic ya Mungu kwa mifano ya binadamu haviendani kabisa jaribu kutumia akili then uliza tena!?
.
Kama hitchens alivyosema "created sick and commanded to be well by a celestial dictator"Kama kitu hukielewi huna justification ya kuita utapeli.
Mungu hajakuumba ukosee lakini ili akuangamize ndio maana kuna room ya kuomba msamaha, Pia Mungu asingeweza kutuumba kama Maroboti tuwe tu tunamtii, Ni sawa na wale wanawake wanaowatengeneza wake au waume zao kiuchawi, hapo ndoa inakuwa na raha gani? Unaishi na lijitu ndani kama ndondocha,
Mungu ametupa uhuru tuchague mema tuishi milele au tuchague mabaya atuangamize.
Unahitaji kuomba ndio upewe, hii ni kanuni ya Dynasties zote Duniani, hata kwa Mungu iko hivo.
Mbona maswali ni mepesi sana mkuu,Siwezi kujadili jambo na mtu wa aina yako, Maana majibu yako na hata maswali yemekaa kwenye mfumo usioeleweka kabisa.
Huyo Mungu mwanzo wake ni niniHakuna kisichokuwa na mwanzo wala mwisho, wala hakuna kitu kinachoweza kujiumba. Hapa ndio Shetani anawadeceive ili awapate.
Lemme ignore u coz umeshindwa kutoa any satisfying solution naweza kuomba kwa lord Shiva je atakuwa true God kwako...na wapo wanaomuomba in the billionsAmini, Omba, utamuona Mungu alivyo.
Mungu alitokea wapiHujajibu swali, Au unakwepa swali
Binadamu wa kwanza alizaliwa na nani ?
Yani alikuwepo kutokea wapi ?
Wanaomuomba wanafanikiwa ? ( huyo god shiva )Lemme ignore u coz umeshindwa kutoa any satisfying solution naweza kuomba kwa lord Shiva je atakuwa true God kwako...na wapo wanaomuomba in the billions
Ndio...hata nikiomba kwa mbwa afu nikafanikiwa je utasema mbwa ndo Mungu. Prayer has no real positive effect zaidi ya illusion tu..mtu uombe usiombe hard work and luck plays a better part katika maisha ya watu. Kina Elon musk na bill gates ni ma atheists lakini Wana hela kuliko wauza mchicha wanaoenda kwa mwamposa kupewa udongo na mafuta. Ndo ujue wajinga ndo waliwaoWanaomuomba wanafanikiwa ?
Jibu swali langu kwanza, Binadamu wa kwanza alitokea wapi ?Mungu alitokea wapi
Mbona unajichanganya mwenyewe ? Okay umesema ukiomba kwa god shiva jibu ni ndio unafanikiwaNdio...hata nikiomba kwa mbwa afu nikafanikiwa je utasema mbwa ndo Mungu. Prayer has no real positive effect zaidi ya illusion tu..mtu uombe usiombe hard work and luck plays a better part katika maisha ya watu. Kina Elon musk na bill gates ni ma atheists lakini Wana hela kuliko wauza mchicha wanaoenda kwa mwamposa kupewa udongo na mafuta. Ndo ujue wajinga ndo waliwao
Kama Hakuna "Kitu" kisichokuwa na mwanzo wala mwisho,Hakuna kisichokuwa na mwanzo wala mwisho,
Including "Mungu"wala hakuna kitu kinachoweza kujiumba.
Hapa ndio Shetani anawadeceive ili awapate.
nimeshajibiwa huko juu usijaliKaribu
Mungu hawezi kufanana na binadamu maana yeye ni mkuu na wakipekee 😁🤣🤣🤣🤣Mbona inakimbilia binadamu wote kila saa... nimeanza mfano wa family because it's in father's control kuhakikisha watoto wote wanakuwa cared for just as it would've been in an all powerful all knowing all loving father of the universe. Asa the inverse tunaona coz huyo father hayupo.. unless proven otherwise. Ukiendelea kukimbilia dunia nzima wakati nimekupa thought experiment ya uwezo wako in a family nakuignore
Upo sahihi, kwann tuamini vitu visivyo kuwa na evidence??In reality mi nataka Mungu awepo, someone who can answer my questions, someone who can answer my prayers, someone who can provide purpose, wote tunatamani unlimited life in heaven...🤣Ila hatulazimishi emotions zetu za tamaa na ujinga zitutawale...Kuna watu wameunda uwongo to the point they believed in their own lies...that's religion. Asa Kama hamna evidence siwezi tu kuamini eti nijiskie furaha