Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Welcome to jamii forums, jamii intelligence where we dare to talk openly...[emoji1] And question everything.
Siwezi kujadili jambo na mtu wa aina yako, Maana majibu yako na hata maswali yemekaa kwenye mfumo usioeleweka kabisa.
 
Yes ni kweli, umeongea kilekile nilicho ongea but kwa kutumia maneno mengine.
Imani ni kubahatisha sawa, lakini je maisha haya si ni kubahatisha tuu?
Unalala usiku Huna uhakika kama utaamka asubuhi but you hope kwamba mambo yataenda sawa na utaamka asubuhi, maisha ni kama ku-bet kuna mambo tunafanya hatujui yataleta matunda gani but we do it anyway, si ndio? We are not sure of anything.
Maisha yetu yanaweza kuondoka muda wowote lakini bado tunapambana kila siku kuboresha yetu kwa sababu tuna imani we will live but we are not sure.

SHIDA YA KIBADANAMU SIO KWAMBA ANATAKA KUJUA MUNGU YUPO AU HAYUPO, SHIDA YA BINADAMU HATAKI MUNGU AWEPO KWA SABABU KAMA MUNGU KWELI YUPO, MAANA YAKE YEYE SIO MKUU TENA, KUJUA KWAMBA KUNA AMBAYE NI MKUU ZAIDI YAKE SIO KITU AMBACHO BINADAMU ATAFURAHI KUGUNDUA.
BINADAMU ANA TAMANI YEYE NDO AWE MUNGU ILI AWE FREE KUFANYA ANACHOTAKA NA ANACHOPENDA NDO MAANA ANAPOTEZA MUDA BUILDING LOGIC AND CRAFTING SCIENTIFIC FACTS ILI APPROVE KWAMBA MUNGU AYUPO ILI YEYE AWE MUNGU.
In reality mi nataka Mungu awepo, someone who can answer my questions, someone who can answer my prayers, someone who can provide purpose, wote tunatamani unlimited life in heaven...🤣Ila hatulazimishi emotions zetu za tamaa na ujinga zitutawale...Kuna watu wameunda uwongo to the point they believed in their own lies...that's religion. Asa Kama hamna evidence siwezi tu kuamini eti nijiskie furaha
 
In reality mi nataka Mungu awepo, someone who can answer my questions, someone who can answer my prayers, someone who can provide purpose, wote tunatamani unlimited life in heaven...[emoji1787]Ila hatulazimishi emotions zetu za tamaa na ujinga zitutawale...Kuna watu wameunda uwongo to the point they believed in their own lies...that's religion. Asa Kama hamna evidence siwezi tu kuamini eti nijiskie furaha
Amini, Omba, utamuona Mungu alivyo.
 
Kwa hiyo ulitaka binadamu wote wawe sawa🤣🤣logic ya Mungu haipo hivyo matabaka ndio mfumo kaweka .

Nimekupa mfano wa binadamu ila Mungu hayupo hivyo na wala huwezi kufananisha kwa matamanio ya mwanadamu anayejipendelea ,hata binadamu angekuwa anatoa riziki angependelea hata viongozi tunaona wanavyojilimbikizia mali wakati wengine wanapata tabu.

Logic ya Mungu kwa mifano ya binadamu haviendani kabisa jaribu kutumia akili then uliza tena!?
.
🤣🤣🤣🤣Mbona inakimbilia binadamu wote kila saa... nimeanza mfano wa family because it's in father's control kuhakikisha watoto wote wanakuwa cared for just as it would've been in an all powerful all knowing all loving father of the universe. Asa the inverse tunaona coz huyo father hayupo.. unless proven otherwise. Ukiendelea kukimbilia dunia nzima wakati nimekupa thought experiment ya uwezo wako in a family nakuignore
 
Kama kitu hukielewi huna justification ya kuita utapeli.

Mungu hajakuumba ukosee lakini ili akuangamize ndio maana kuna room ya kuomba msamaha, Pia Mungu asingeweza kutuumba kama Maroboti tuwe tu tunamtii, Ni sawa na wale wanawake wanaowatengeneza wake au waume zao kiuchawi, hapo ndoa inakuwa na raha gani? Unaishi na lijitu ndani kama ndondocha,

Mungu ametupa uhuru tuchague mema tuishi milele au tuchague mabaya atuangamize.

Unahitaji kuomba ndio upewe, hii ni kanuni ya Dynasties zote Duniani, hata kwa Mungu iko hivo.
Kama hitchens alivyosema "created sick and commanded to be well by a celestial dictator"
 
Siwezi kujadili jambo na mtu wa aina yako, Maana majibu yako na hata maswali yemekaa kwenye mfumo usioeleweka kabisa.
Mbona maswali ni mepesi sana mkuu,

Kama unaweza kuamini Mungu usiyemjua Hana chanzo, Unashindwaje kuamini Dunia haina chanzo?

Kwa nini una amini, ulimwengu una chanzo ila Mungu hana chanzo?

Maswali marahisi kabisa haya😃😃
 
Wanaomuomba wanafanikiwa ?
Ndio...hata nikiomba kwa mbwa afu nikafanikiwa je utasema mbwa ndo Mungu. Prayer has no real positive effect zaidi ya illusion tu..mtu uombe usiombe hard work and luck plays a better part katika maisha ya watu. Kina Elon musk na bill gates ni ma atheists lakini Wana hela kuliko wauza mchicha wanaoenda kwa mwamposa kupewa udongo na mafuta. Ndo ujue wajinga ndo waliwao
 
Mbona unajichanganya mwenyewe ? Okay umesema ukiomba kwa god shiva jibu ni ndio unafanikiwa

Swali kwako, Ina maana unaamini kwenye nguvu zisizo za kibinadamu zinazoweza kufanya kazi ?
 
Hakuna kisichokuwa na mwanzo wala mwisho,
Kama Hakuna "Kitu" kisichokuwa na mwanzo wala mwisho,
Basi Mungu SI KITU na HAYUPO.

Maana kila kilichopo "kitu" lazima kiwe na mwanzo na mwisho.
wala hakuna kitu kinachoweza kujiumba.
Including "Mungu"

Kama hakuna "kitu" kinachoweza kujiumba ,Then Mungu SI KITU na HAYUPO.

Kama ni "kitu" lazima na Mungu huyo awe ameumbwa, Maana unakiri wazi hakuna kitu kinachoweza kujiumba.
Hapa ndio Shetani anawadeceive ili awapate.
 
🤣🤣🤣🤣Mbona inakimbilia binadamu wote kila saa... nimeanza mfano wa family because it's in father's control kuhakikisha watoto wote wanakuwa cared for just as it would've been in an all powerful all knowing all loving father of the universe. Asa the inverse tunaona coz huyo father hayupo.. unless proven otherwise. Ukiendelea kukimbilia dunia nzima wakati nimekupa thought experiment ya uwezo wako in a family nakuignore
Mungu hawezi kufanana na binadamu maana yeye ni mkuu na wakipekee 😁
 
In reality mi nataka Mungu awepo, someone who can answer my questions, someone who can answer my prayers, someone who can provide purpose, wote tunatamani unlimited life in heaven...🤣Ila hatulazimishi emotions zetu za tamaa na ujinga zitutawale...Kuna watu wameunda uwongo to the point they believed in their own lies...that's religion. Asa Kama hamna evidence siwezi tu kuamini eti nijiskie furaha
Upo sahihi, kwann tuamini vitu visivyo kuwa na evidence??
Kwann tunang'ang'ania the fact kwamba tumeumbwa na mungu? Is it because we want to feel special? Maybe the answer is "YES"
Maybe we are so weak to the point that to entertain the idea that we were created by a powerful being feels good in our heads?
Maybe we want reassure ourselves that we are not alone and we have a powerful protector? Maybe ndo sababu tumeamua kujitengenezea ideology ya mungu.
Yote yanaweza kuwa majibu, because majority of humans are desperate and they want answers, niamini hata mm mwenyew nina maswali mengi tuu kuhusu dini na kuhusu huu ulimwengu lakini hamna wa kunijibu bali ni yeye tuu ninae amini kwamba katuumba.

Lakini kwa yote hayo nikushauri tuu broo, kama unataka uwe evidence za kutosha kuhusu uwepo wa mungu na historia yake, ndo uamue sasa kukubali kwamba mungu yupo, broo unapoteza tuu muda, we endelea kufamikamia hizo nguruwe na kuishi maisha unayotaka kwa sababu hutapata majibu unayotafuta ww.
Wewe unataka physical evidence, there is no physical evidence broo ndo maana ya imani, JUST TAKE A LEAP OF FAITH.
 
Back
Top Bottom