KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Field ipi unaiongelea wewe?.Jamaa anaamini namba ndio kila kitu, wakati hali halisi field iko hovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Field ipi unaiongelea wewe?.Jamaa anaamini namba ndio kila kitu, wakati hali halisi field iko hovyo kabisa.
Huyu jamaa anafikiri watz wote ni mazuzu hajui tumeshazibukaga akili sikuhizi. Mtu anafanya uchawi mchana na tunamuona yeye akihisi hatuelewi kituHalafu anazungumzia kampuni moja tu Songas ambayo aipo kwenye control ya TANESCO.
Nyingine zote zinazozalisha umeme chini ya TANESCO mbona hakuna mahala wamezuiwa kufanya schedule maintance.
Si ajabu Songas ataki kupoteza hela anasubiri low season ya vyanzo vya maji ndio aombe maintance akijua atakataliwa, na mara ngapi kwa mwaka aliomba kufanya hizo maintance akanyimwa, sitoshangaa kama ni collusion tu.
Watu inabidi wawe makini na hawa mafisadi na hizi report za CAG sio kumeza nzima lazima tuulize pia to what extent pia walitaka ufafanuzi kutoka kwa mkonge wa taifa na time frame kabla ya kupewa majibu.
Sijaona sehemu ambayo taasisi ya TANESCO imezuiwa kufanya schedule maintance katika hadithi yake iliyotukuka.
Usimamizi thabiti na nia njema. Alifariki kabla dhamira haijatimia tu. Ila kwa uwezo na ari aliokuwa nayo lazma SGR na Umeme vingesimama imara.Aliongeza MW ngapi kwenye grid ya taifa kama kweli alifanya mambo ya kipekee?.
Yeah na pia hela za gesi wanazokusanya nyingi zinaenda kwa mabeberu ndio maana Magufuli hakuona tija tokana na mkataba mbovu aliopitisha chief jakaya..ila za JNHPP asilimia 80 au zaidi zitakuwa zetu humu endapo mradi ukikamilika. Tukinunua umeme hela zote zinabakia ndani.Kitu cha msingi ni kuwa wakati wa magu kulikuwa hakuna kitu kama hicho cha mgao na kuhusu matengenezo mbona magufuli kachukua nchi kutoka kwa kikwete hali ya umeme ilikuwa mbaya siku zote sasa kati ya kikwete na magufuli ni nani aliyekuwa dhaifu ? Pia tukisema mitambo iliburuzwa kufanya kazi bila ya matengenezo hiyo wanataka kutuaminisha kuwa jpm alikuwa anakwenda kujiujumu yeye mwenyewe kwa kuaribu sekta ya umeme tena ukizingatia alikuwa anajenga sgr ya umeme ? Hapo utagundua ni big no ,jpm ndiye aliye liwezesha shirika la umeme tz kupata mapato makubwa kwa mara ya kwanza tena pasipo kuongeza gharama ya umeme kwa miaka yote aliyekuwa ikulu ,ukitazama kwa makini utagundua magufuli alichukua uamuzi wa akili sana kujenga bwawa la umeme wa maji ambao ni nafuu kwa zaidi ya mara tatu ya umeme wa gesi kwa sababu mradi wa gesi tulisha pigwa kimikataba ndiyo maana tunauziwa gesi kwa bei kubwa mara mbili ya iliyostaili tununue
Tatizo hayo manamba ame copy & paste from huko anakopaamini hivyo kaamua kuya-defend no matter what.Sio number tu ukimuuliza alete ushahidi wa week na tarehe ndani miezi 8 kama Songas imefanya maintance to justify current power cut sidhani kama anao.
Pale Temeke Kwa Mkapa.Field ipi unaiongelea wewe?.
Tatizo lenyewe anaweka extracts tu za numbers na paragraphs anazotaka yeye to justify his position na kusema alipotoa hizo info bila ya link (ili iwe rahisi na wengine kupitia).Tatizo hayo manamba ame copy & paste from huko anakopaamini hivyo kaamua kuya-defend no matter what.
Mambo kwa ground ni different! Ndio yale yale ya tupo uchumi wa kati ilihali kuna watu kupata milo miwili tu ni shidaJamaa anaamini namba ndio kila kitu, wakati hali halisi field iko hovyo kabisa.
February hana uwezo wa kupanga hoja kama huu wa mleta uzi Chige .Huu uzi umeletwa na February?
Kinachojadiliwa ni umeme.Usimamizi thabiti na nia njema. Alifariki kabla dhamira haijatimia tu. Ila kwa uwezo na ari aliokuwa nayo lazma SGR na Umeme vingesimama imara.
Sasa si umeuliza alifanya nini? Ulitaka nikujibu majibu ya uongo ama! We lini ulisikia umeme unakatika kwa sababu za hovyo kama anazotoa marope katika utawala wa Magufuli?Kinachojadiliwa ni umeme.
Je,unakubali kuwa JPM katika suala la umeme kutokatika Mara kwa mara alitengenezewa mazingira hayo na JK kupitia Kinyerezi I iliyoanza kuchangia zaidi ya MW 200 kwenye grid ya taifa mwezi oktoba 2015?Usimamizi thabiti na nia njema. Alifariki kabla dhamira haijatimia tu. Ila kwa uwezo na ari aliokuwa nayo lazma SGR na Umeme vingesimama imara.
Kuna kipi kinafanyika na kwa ushahidi upi?.Pale Temeke Kwa Mkapa.
Waimba mapambio hao.Hivi umesoma kilichoandikwa?!
Kisha hizo maintainance kama zilikuwa ni problem kwanini hawakumwacha aliyehusika na hilo kosa, mtoto afe mkononi mwake ili awajibike vizuri?Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
Kwa mwendo wa “humu kila mtu ni mtu mzima tufanye majukumu yetu hamna haja ya kutumbuana”Mkuu naunga hoja..
Yani kuna mengi sana ya kubadilisha! Ubunge uwe wito sio kichaka cha kujitengenezea utajiri waharaka haraka.Kamba tu ndio dawa...
Mahakama pia ziwe mhimili..
Mkuu tuongeze na ile raisi akitoka madarakani kama ana tuhuma za ufisadi, wizi, jela imhusu, amalize awamu zake lakini kichwani anajua kabisa akizingua atajibu muda wake ukiisha...
Wabunge watumie probox, gari ya mil 400 ya nini kwenye nchi masikini kama hii?
Hilo gari la mil 400 linamfaidisha nini mwananchi?
Eeh iwe compulsory kama kutumia TTCLKabisa mkuu...
Tusisahau pia watoto wa viongozi wasomee government schools, hii itasaidia waweze kujituma kuhakikisha wanaboresha elimu...
Inakuwa ukishaingia tu madarakani, watoto ni government school, hio haina mjadala...