Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Huyu jamaa anafikiri watz wote ni mazuzu hajui tumeshazibukaga akili sikuhizi. Mtu anafanya uchawi mchana na tunamuona yeye akihisi hatuelewi kitu
 
Aliongeza MW ngapi kwenye grid ya taifa kama kweli alifanya mambo ya kipekee?.
Usimamizi thabiti na nia njema. Alifariki kabla dhamira haijatimia tu. Ila kwa uwezo na ari aliokuwa nayo lazma SGR na Umeme vingesimama imara.
 
Yeah na pia hela za gesi wanazokusanya nyingi zinaenda kwa mabeberu ndio maana Magufuli hakuona tija tokana na mkataba mbovu aliopitisha chief jakaya..ila za JNHPP asilimia 80 au zaidi zitakuwa zetu humu endapo mradi ukikamilika. Tukinunua umeme hela zote zinabakia ndani.

Kinachowaboa kina Marope ni kuwa kule JNHPP mkataba haujachezewa ili kuwanufaisha wao ama CCM vigogo. Ndio maana wakageuka anti-magufulification. Hawakumpenda kabisa sababu hakuwapa chance ya kutengeneza michongo ya 10%
 
Sio number tu ukimuuliza alete ushahidi wa week na tarehe ndani miezi 8 kama Songas imefanya maintance to justify current power cut sidhani kama anao.
Tatizo hayo manamba ame copy & paste from huko anakopaamini hivyo kaamua kuya-defend no matter what.
 
Tatizo hayo manamba ame copy & paste from huko anakopaamini hivyo kaamua kuya-defend no matter what.
Tatizo lenyewe anaweka extracts tu za numbers na paragraphs anazotaka yeye to justify his position na kusema alipotoa hizo info bila ya link (ili iwe rahisi na wengine kupitia).

Sasa kwa JF wachangiaji wenyewe siku zingine baada ya shughuli zao za dunia halisi kichwa kinakuwa hoi. Kufanya google search ya hizo info zake mtihani mwingine so inabidi uende na perpective yake, which is still flawed ukiangalia kwa makini.
 
Jamaa anaamini namba ndio kila kitu, wakati hali halisi field iko hovyo kabisa.
Mambo kwa ground ni different! Ndio yale yale ya tupo uchumi wa kati ilihali kuna watu kupata milo miwili tu ni shida
 
Kinachojadiliwa ni umeme.
Sasa si umeuliza alifanya nini? Ulitaka nikujibu majibu ya uongo ama! We lini ulisikia umeme unakatika kwa sababu za hovyo kama anazotoa marope katika utawala wa Magufuli?
 
Usimamizi thabiti na nia njema. Alifariki kabla dhamira haijatimia tu. Ila kwa uwezo na ari aliokuwa nayo lazma SGR na Umeme vingesimama imara.
Je,unakubali kuwa JPM katika suala la umeme kutokatika Mara kwa mara alitengenezewa mazingira hayo na JK kupitia Kinyerezi I iliyoanza kuchangia zaidi ya MW 200 kwenye grid ya taifa mwezi oktoba 2015?
 
Bajeti ya kinyerezi III na IV ni kiasi Gani.Hata hivyo tatizo la umeme nadhan pia Lina maslahi kisiasakwa watu flani.Maana zile kelele tuliambiwa baada ya ugunduzi wa gesi kuwa itabaki historia umeme kukatika zimeyeyuka
 
Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
Kisha hizo maintainance kama zilikuwa ni problem kwanini hawakumwacha aliyehusika na hilo kosa, mtoto afe mkononi mwake ili awajibike vizuri?
 
Yani kuna mengi sana ya kubadilisha! Ubunge uwe wito sio kichaka cha kujitengenezea utajiri waharaka haraka.

Wabunge wakianza kutumia suzuki escudo tutaheshimiana!

Rais awajibishwe
 
Tunajua IPTL mpya is loading.... Please wait!!

Tuna Wasomi Wa Kila Aina::-

  1. Darasa La Saba

  2. Kidato Cha Nne

  3. Kidato Cha Sita

  4. Cheti

  5. Astashahada

  6. Shahada

  7. Uzamivu


Lakini Bado Ufumbuzi Hauonekani Zaidi Sound​

 
Kabisa mkuu...

Tusisahau pia watoto wa viongozi wasomee government schools, hii itasaidia waweze kujituma kuhakikisha wanaboresha elimu...

Inakuwa ukishaingia tu madarakani, watoto ni government school, hio haina mjadala...
Eeh iwe compulsory kama kutumia TTCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…