Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Ni kweli,Kaleman katolewa tu huyu mpya kuja na mgao unaanza,kawekwa hapo kimkakati huyuMuhimu ni kuwa wakati wa Magufuli na Kalemani hakukuwa na mgao wa umeme!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli,Kaleman katolewa tu huyu mpya kuja na mgao unaanza,kawekwa hapo kimkakati huyuMuhimu ni kuwa wakati wa Magufuli na Kalemani hakukuwa na mgao wa umeme!
Sawa kabisa...Muhimu ni kuwa wakati wa Magufuli na Kalemani hakukuwa na mgao wa umeme!
Wekeni data zote kuhalalisha upigaji,lakini Magufuli kawa prove wrong within a short time,najua mna nguvu kubwa ya propaganda,mtafanikiwa kwa muda tu ,si daimaKama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:-
View attachment 2015968
Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019.
Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema hadi kufikia mwishoni mwa 2019, tulikuwa tunazalisha ONLY 1,565.72 MW... ni takribani 33% TU ya malengo!!
View attachment 2015977
Kutofikiwa huko kwa malengo kulitokana na kuhamishia nguvu ZOTE kwenye Bwawa la Nyerere, na hata zile Kinyerezi III na Kinyerezi IV, zikatekelezwa!!!
Of course, labda waliamini kwamba 1,602.32 zingetosha kutufikisha hadi kuanza kutumia Bwawa la Nyerere!! Sasa sijui walizingatia kila siku kuna wateja wapya wa umeme, na kwamba kuna kuharibika kwa mitambo... only God knows!!!
Tuje kwenye Ubungo II ambayo tunaambiwa ni mbovu, huku wengine wakihoji ikiwa ubovu umeanza baada ya JPM kufariki!!! Au ni janja janja tu ya kutaka kuhujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!!!
Je, maintance ilikuwa inafanyika?! Jibu lipo kwenye ripoti kwamba:-
View attachment 2015999
Utaona hapo, Mashine #1 na #2 zilipitisha zaidi ya saa 10,000 tangu siku zilipotakiwa kufanyiwa maintanance!! Yaani Machine #1 iliendelea kuburuzwa kwa mwaka 1 na miezi tangu ilipotakiwa kufanyiwa ukarabati, huku Mashine #2 ikiburuzwa kwa zaidi ya miezi 18 bila kufanyiwa maintanance tangi siku ilipotakiwa kufanyika!!
Je, ikiwa hiyo ni ripoti iliyoandikwa kutoka kwenye takwimu za 2018, je maintance ilifanyika? Na kama ilifanyika, ilifanyika lini?
TANESCO wenyewe, hawa hapa chini:-
View attachment 2016022
Kumbe, hata baada ya miaka 3 baadae, bado Ubungo II ilikuwa haisomeki!!!
Sasa ikiwa tatizo lililopo miaka na miaka, ni mjinga tu ndie anaweza kuamini kwamba hivi sasa Ubungo II ipo operational, lakini sie wapiga deal za kuuza majenereta tunafahamu mambo bado si shwari!!!
Ina maana shida ni kukosekana kwa vifaa peke yake ndo maana haya mambo ya maintanance yanachelewa namna hii?!
Again, CAG's Performance Audit Report iliyotolewa March 2019 inasema:-
Kumbe, jamaa ilikuwa wakitaka kufanya maintanance, wanapigwa STOP, na matoke yake mitambo ikawa inaburuzwa tu hivyo hivyo!!!
View attachment 2016037
Wadau walipozungumzia hilo suala, wakaitwa majina yote ya ovyo ili mradi tu....!!
Ndipo tunarudi pale pale, mbona hilo tatizo la upungufu wa umeme halikuwepo wakati wa JPM!!!
Swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaotoa hiyo hoja ni kwamba nyie wenzetu mlikuwa mnaishi Tanzania ipi ambayo haikuwa na matatizo ya umeme!!
Anyway, inawezekana wenzetu ni watoto wa kishua mnaoishi kwenye viunga vya Ikulu... lakini sie tulio huku Ushenzini, hususani kwenye miji na vitongoji vikongwe vyenye uchakavu wa miundombinu, kwetu tatizo liliendelea kuwepo muda wote!!
But on top of that, ripoti hapo inaonesha, TANESCO walikuwa wanapigwa STOP kufanya maintenance pale Ubungo II kwa sababu hatukuwa na hifadhi ya kutosha ya umeme kwenye Grid ya Taifa.
Hofu ikawa kwamba, kutokana na kutokuwa na hifadhi ya kutosha, kama mitambo ingezimwa kwa ajili ya maintenance, basi huenda tungelazimika kuingia kwenye mgao!!
Sasa kama tulikuwa tunaogopa kuzima Ubungo II ambayo umeme unaotoka pale is ONLY 105MW, nini kinaweza kutokea kukiwa na upungufu wa maji ambapo, total power generated from hydro, ni 574MW?!
View attachment 2016047
Kama unakataa nchi haipo kwenye ukame, basi tatizo hili la sasa ni la kutegenezwa na mafisadi na wapinzani wa Bwawa la Nyerere, huku sie vibaraka wao tukikesha kuwapanga watu!
Akili za kuambiwa, changanya na zako!
Lakini itoshe tu kusema kwamba, ushabikiwa kijinga unaliangamiza taifa!!!
Hapana, serikali igawe majenereta na mafuta bure kwa kila kaya!So unashauri tuwashe Mitanbo ya kukodi ya Symbion na IPTL?
Huwa najadili hoja, na sio viroja...Wekeni data zote kuhalalisha upigaji,lakini Magufuli kawa prove wrong within a short time,najua mna nguvu kubwa ya propaganda,mtafanikiwa kwa muda tu ,si daima
Yaani waseme tu matengenezo yanahitaji miezi 3, baada ya hapo shwari.Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
Halafu basi, bado ipo gesi ya kutosha ya kuzalisha maradufu ya hiyo 57% lakini...Gesi inachangia 57.02% ya umeme wote wa taifa, halafu mtu anaropoka kuwa gesi yetu hatuna faida nayo..!!!????
Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:-
View attachment 2015968
Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019.
Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema hadi kufikia mwishoni mwa 2019, tulikuwa tunazalisha ONLY 1,565.72 MW... ni takribani 33% TU ya malengo!!
View attachment 2015977
Kutofikiwa huko kwa malengo kulitokana na kuhamishia nguvu ZOTE kwenye Bwawa la Nyerere, na hata zile Kinyerezi III na Kinyerezi IV, zikatekelezwa!!!
Of course, labda waliamini kwamba 1,602.32 zingetosha kutufikisha hadi kuanza kutumia Bwawa la Nyerere!! Sasa sijui walizingatia kila siku kuna wateja wapya wa umeme, na kwamba kuna kuharibika kwa mitambo... only God knows!!!
Tuje kwenye Ubungo II ambayo tunaambiwa ni mbovu, huku wengine wakihoji ikiwa ubovu umeanza baada ya JPM kufariki!!! Au ni janja janja tu ya kutaka kuhujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!!!
Je, maintance ilikuwa inafanyika?! Jibu lipo kwenye ripoti kwamba:-
View attachment 2015999
Utaona hapo, Mashine #1 na #2 zilipitisha zaidi ya saa 10,000 tangu siku zilipotakiwa kufanyiwa maintanance!! Yaani Machine #1 iliendelea kuburuzwa kwa mwaka 1 na miezi tangu ilipotakiwa kufanyiwa ukarabati, huku Mashine #2 ikiburuzwa kwa zaidi ya miezi 18 bila kufanyiwa maintanance tangi siku ilipotakiwa kufanyika!!
Je, ikiwa hiyo ni ripoti iliyoandikwa kutoka kwenye takwimu za 2018, je maintance ilifanyika? Na kama ilifanyika, ilifanyika lini?
TANESCO wenyewe, hawa hapa chini:-
View attachment 2016022
Kumbe, hata baada ya miaka 3 baadae, bado Ubungo II ilikuwa haisomeki!!!
Sasa ikiwa tatizo lililopo miaka na miaka, ni mjinga tu ndie anaweza kuamini kwamba hivi sasa Ubungo II ipo operational, lakini sie wapiga deal za kuuza majenereta tunafahamu mambo bado si shwari!!!
Ina maana shida ni kukosekana kwa vifaa peke yake ndo maana haya mambo ya maintanance yanachelewa namna hii?!
Again, CAG's Performance Audit Report iliyotolewa March 2019 inasema:-
Kumbe, jamaa ilikuwa wakitaka kufanya maintanance, wanapigwa STOP, na matoke yake mitambo ikawa inaburuzwa tu hivyo hivyo!!!
View attachment 2016037
Wadau walipozungumzia hilo suala, wakaitwa majina yote ya ovyo ili mradi tu....!!
Ndipo tunarudi pale pale, mbona hilo tatizo la upungufu wa umeme halikuwepo wakati wa JPM!!!
Swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaotoa hiyo hoja ni kwamba nyie wenzetu mlikuwa mnaishi Tanzania ipi ambayo haikuwa na matatizo ya umeme!!
Anyway, inawezekana wenzetu ni watoto wa kishua mnaoishi kwenye viunga vya Ikulu... lakini sie tulio huku Ushenzini, hususani kwenye miji na vitongoji vikongwe vyenye uchakavu wa miundombinu, kwetu tatizo liliendelea kuwepo muda wote!!
But on top of that, ripoti hapo inaonesha, TANESCO walikuwa wanapigwa STOP kufanya maintenance pale Ubungo II kwa sababu hatukuwa na hifadhi ya kutosha ya umeme kwenye Grid ya Taifa.
Hofu ikawa kwamba, kutokana na kutokuwa na hifadhi ya kutosha, kama mitambo ingezimwa kwa ajili ya maintenance, basi huenda tungelazimika kuingia kwenye mgao!!
Sasa kama tulikuwa tunaogopa kuzima Ubungo II ambayo umeme unaotoka pale is ONLY 105MW, nini kinaweza kutokea kukiwa na upungufu wa maji ambapo, total power generated from hydro, ni 574MW?!
View attachment 2016047
Kama unakataa nchi haipo kwenye ukame, basi tatizo hili la sasa ni la kutegenezwa na mafisadi na wapinzani wa Bwawa la Nyerere, huku sie vibaraka wao tukikesha kuwapanga watu!
Akili za kuambiwa, changanya na zako!
Lakini itoshe tu kusema kwamba, ushabikiwa kijinga unaliangamiza taifa!!!
Kwahiyo CAG ndo anahusika na hizo propaganda, au?!Chief usiwasikilize hawa,hizi ni propaganda tu za kuwasha mitambo ya emergency ya akina Symbion na IPTL ili upigaji wa raslimali za taifa uendelee,time will tell
If you don't mind, please let me ignore you!!Makamba bhana...
Hapa tu inatumika kwa kuichoma kama petroli, si kwa ggas turbine kama maji kwenye hydro power plant... Yaani wangeweka gas turbine, gesi ikishayazungusha kuzalisha umeme iende hukoinakokwenda sasa kama TBL na Twiga CementHalafu basi, bado ipo gesi ya kutosha ya kuzalisha maradufu ya hiyo 57% lakini...
Hivi unaweza kutuambia hapa ni mradi upi mpya ulioingiza umeme kwenye grid ya taifa from 2016 to 2021?!Huyu ni moja ya wataalamu wanaowesha upigaji.
Watakupa kila data kuhalalisha uongo wao ili waibe.
Tuambie enzi za JK mpaka anaondoka mgao ulikuwepo,je nguvu zilikuwa zinaelekezwa wapi?
Pole sana Mheshimiwa....Unajua mkiongea hivi mnawatesa sana timu Msoga,mama hana shida kwa kuwa hajui hata nchi inataka nini
I wish watu wangeacha ushabiki na kujiongeza ili wafahamu tunavyo underutilize gas resources wakati nchi bado ipo kwenye changamoto kubwa ya nishati ya uhakika!!Hapa tu inatumika kwa kuichoma kama petroli, si kwa ggas turbine kama maji kwenye hydro power plant... Yaani wangeweka gas turbine, gesi ikishayazungusha kuzalisha umeme iende hukoinakokwenda sasa kama TBL na Twiga Cement
Kitaalam hayo matengenezo yanamaliza wiki ngapi?Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:-
View attachment 2015968
Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019.
Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema hadi kufikia mwishoni mwa 2019, tulikuwa tunazalisha ONLY 1,565.72 MW... ni takribani 33% TU ya malengo!!
View attachment 2015977
Kutofikiwa huko kwa malengo kulitokana na kuhamishia nguvu ZOTE kwenye Bwawa la Nyerere, na hata zile Kinyerezi III na Kinyerezi IV, zikatekelezwa!!!
Of course, labda waliamini kwamba 1,602.32 zingetosha kutufikisha hadi kuanza kutumia Bwawa la Nyerere!! Sasa sijui walizingatia kila siku kuna wateja wapya wa umeme, na kwamba kuna kuharibika kwa mitambo... only God knows!!!
Tuje kwenye Ubungo II ambayo tunaambiwa ni mbovu, huku wengine wakihoji ikiwa ubovu umeanza baada ya JPM kufariki!!! Au ni janja janja tu ya kutaka kuhujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!!!
Je, maintance ilikuwa inafanyika?! Jibu lipo kwenye ripoti kwamba:-
View attachment 2015999
Utaona hapo, Mashine #1 na #2 zilipitisha zaidi ya saa 10,000 tangu siku zilipotakiwa kufanyiwa maintanance!! Yaani Machine #1 iliendelea kuburuzwa kwa mwaka 1 na miezi tangu ilipotakiwa kufanyiwa ukarabati, huku Mashine #2 ikiburuzwa kwa zaidi ya miezi 18 bila kufanyiwa maintanance tangi siku ilipotakiwa kufanyika!!
Je, ikiwa hiyo ni ripoti iliyoandikwa kutoka kwenye takwimu za 2018, je maintance ilifanyika? Na kama ilifanyika, ilifanyika lini?
TANESCO wenyewe, hawa hapa chini:-
View attachment 2016022
Kumbe, hata baada ya miaka 3 baadae, bado Ubungo II ilikuwa haisomeki!!!
Sasa ikiwa tatizo lililopo miaka na miaka, ni mjinga tu ndie anaweza kuamini kwamba hivi sasa Ubungo II ipo operational, lakini sie wapiga deal za kuuza majenereta tunafahamu mambo bado si shwari!!!
Ina maana shida ni kukosekana kwa vifaa peke yake ndo maana haya mambo ya maintanance yanachelewa namna hii?!
Again, CAG's Performance Audit Report iliyotolewa March 2019 inasema:-
Kumbe, jamaa ilikuwa wakitaka kufanya maintanance, wanapigwa STOP, na matoke yake mitambo ikawa inaburuzwa tu hivyo hivyo!!!
View attachment 2016037
Wadau walipozungumzia hilo suala, wakaitwa majina yote ya ovyo ili mradi tu....!!
Ndipo tunarudi pale pale, mbona hilo tatizo la upungufu wa umeme halikuwepo wakati wa JPM!!!
Swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaotoa hiyo hoja ni kwamba nyie wenzetu mlikuwa mnaishi Tanzania ipi ambayo haikuwa na matatizo ya umeme!!
Anyway, inawezekana wenzetu ni watoto wa kishua mnaoishi kwenye viunga vya Ikulu... lakini sie tulio huku Ushenzini, hususani kwenye miji na vitongoji vikongwe vyenye uchakavu wa miundombinu, kwetu tatizo liliendelea kuwepo muda wote!!
But on top of that, ripoti hapo inaonesha, TANESCO walikuwa wanapigwa STOP kufanya maintenance pale Ubungo II kwa sababu hatukuwa na hifadhi ya kutosha ya umeme kwenye Grid ya Taifa.
Hofu ikawa kwamba, kutokana na kutokuwa na hifadhi ya kutosha, kama mitambo ingezimwa kwa ajili ya maintenance, basi huenda tungelazimika kuingia kwenye mgao!!
Sasa kama tulikuwa tunaogopa kuzima Ubungo II ambayo umeme unaotoka pale is ONLY 105MW, nini kinaweza kutokea kukiwa na upungufu wa maji ambapo, total power generated from hydro, ni 574MW?!
View attachment 2016047
Kama unakataa nchi haipo kwenye ukame, basi tatizo hili la sasa ni la kutegenezwa na mafisadi na wapinzani wa Bwawa la Nyerere, huku sie vibaraka wao tukikesha kuwapanga watu!
Akili za kuambiwa, changanya na zako!
Lakini itoshe tu kusema kwamba, ushabikiwa kijinga unaliangamiza taifa!!!
Mwendazake alifanikiwa sana kuwageuza mazezeta hawa wajane wake.Sawa kabisa...
Zimetajwa at least 3 factors ambazo zinachangia kuchelewa kufanyika kwa matengenezo:-Kitaalam hayo matengenezo yanamaliza wiki ngapi?
Hapa umeniacha... unazungumzia mkataba upi?2 kwa nini makamba anaingia mkataba wa mabilioni na wahindi kwa ajili ya ufaninsi wa kiutendaji wakati umeme hautoshi, hao wahindi watafanya ufanisi gani wakati umeme haupo wa kutosha?
Huoni huo ni uhalibisfu zaidi wa pesa za watanzania badala ya kupeleka hapo kinyerezi iii yeye anawapa ofa wahindi?
Je hapo mnamteteaje huyo wazili?
Mosi, hizo 1606 MW ni TOTAL POWER Generated... uliopo kwenye grid ya taifa na ulio off-grid!!!Kama maelezo yao ni mw 1606 na matumizi ni mw 1200 na mapungufu kwa ajili ya maji ni 370 je kwa nini pawe na uhaba?