Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Wekeni data zote kuhalalisha upigaji,lakini Magufuli kawa prove wrong within a short time,najua mna nguvu kubwa ya propaganda,mtafanikiwa kwa muda tu ,si daima
 
Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
Yaani waseme tu matengenezo yanahitaji miezi 3, baada ya hapo shwari.
Na vipi kuhusu mashine za Dawasa nazo hazijafanyiwa matengenezo?
 
Makamba bhana...
 
Chief usiwasikilize hawa,hizi ni propaganda tu za kuwasha mitambo ya emergency ya akina Symbion na IPTL ili upigaji wa raslimali za taifa uendelee,time will tell
Kwahiyo CAG ndo anahusika na hizo propaganda, au?!
 
Halafu basi, bado ipo gesi ya kutosha ya kuzalisha maradufu ya hiyo 57% lakini...
Hapa tu inatumika kwa kuichoma kama petroli, si kwa ggas turbine kama maji kwenye hydro power plant... Yaani wangeweka gas turbine, gesi ikishayazungusha kuzalisha umeme iende hukoinakokwenda sasa kama TBL na Twiga Cement
 
Huyu ni moja ya wataalamu wanaowesha upigaji.
Watakupa kila data kuhalalisha uongo wao ili waibe.

Tuambie enzi za JK mpaka anaondoka mgao ulikuwepo,je nguvu zilikuwa zinaelekezwa wapi?
Hivi unaweza kutuambia hapa ni mradi upi mpya ulioingiza umeme kwenye grid ya taifa from 2016 to 2021?!
 
Unajua mkiongea hivi mnawatesa sana timu Msoga,mama hana shida kwa kuwa hajui hata nchi inataka nini
Pole sana Mheshimiwa....

Lakini hiyo ripoti haijaandikwa na Timu Msoga bali na CAG, na nyingine ni Ripoti ya Wizara ya Nishati!!

Narudia, pole sana!!
 
Hapa tu inatumika kwa kuichoma kama petroli, si kwa ggas turbine kama maji kwenye hydro power plant... Yaani wangeweka gas turbine, gesi ikishayazungusha kuzalisha umeme iende hukoinakokwenda sasa kama TBL na Twiga Cement
I wish watu wangeacha ushabiki na kujiongeza ili wafahamu tunavyo underutilize gas resources wakati nchi bado ipo kwenye changamoto kubwa ya nishati ya uhakika!!
 
Kitaalam hayo matengenezo yanamaliza wiki ngapi?

2 kwa nini makamba anaingia mkataba wa mabilioni na wahindi kwa ajili ya ufaninsi wa kiutendaji wakati umeme hautoshi, hao wahindi watafanya ufanisi gani wakati umeme haupo wa kutosha?

Huoni huo ni uhalibisfu zaidi wa pesa za watanzania badala ya kupeleka hapo kinyerezi iii yeye anawapa ofa wahindi?

Je hapo mnamteteaje huyo wazili?

Kama maelezo yao ni mw 1606 na matumizi ni mw 1200 na mapungufu kwa ajili ya maji ni 370 je kwa nini pawe na uhaba?
 
Kitaalam hayo matengenezo yanamaliza wiki ngapi?
Zimetajwa at least 3 factors ambazo zinachangia kuchelewa kufanyika kwa matengenezo:-
1. Spare Parts
2. Wataalamu,
3. Kupigwa STOP kutokana na kutokuwa na hifadhi ya kutosha ya umeme kwenye gridi ya taifa!!

So, suala la muda gani inaweza kukamilisha matengenezo itagemeana na hizo factors!! Unaweza kusema "fine, zima mitambo hata kama itasababisha mgao, kisha jikiteni kwenye kazi moja tu: MATENGENEZO"

Well and good lakini je, kuna spare parts za kutosha! Je, yale matengenezo yanayohitaji some specialization, tunao hao mafundi walio-specialize au itabidi tu-contract?
Hapa umeniacha... unazungumzia mkataba upi?
Kama maelezo yao ni mw 1606 na matumizi ni mw 1200 na mapungufu kwa ajili ya maji ni 370 je kwa nini pawe na uhaba?
Mosi, hizo 1606 MW ni TOTAL POWER Generated... uliopo kwenye grid ya taifa na ulio off-grid!!!

Kwa maenezo ambayo hayatumii umeme wa grid ya taifa, wao watakosa umeme kwa sababu nyingine tu lakini sio sababu inayohusu wale wanaotumia umeme wa grid!!

Pili, hizo aprox za kutumika units 1200 ni za almost 3 years ago, wakati kila siku wateja wapya wanaingia kwenye system wakati kiwango cha umeme kipo pale pale!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…