WHO sasa hivi ina ukata mkubwa baada ya Marekani kujitoa sasa nchi za Ulaya ndio zinachangia pakubwa pamoja na kuwa hawana wagonjwa wa Ukimwi kama sisiHilo linashugulikiwa na WHO. Pamoja nahayo, siyosababu ya kuwagawia tawala, na pia hats sisi tunachangia dawaa hizooo. Waaaaambieni mabeberu wanaotaka madini hawatapata ata kijiko cha makinikia cha bureee.
Sikiliza wewe mgombea wa upinzani ambaye wazungu walimkubali toka Tanzania ipate uhuru na akapata support kubwa kuanzia financng and everything alichotaka ni Lowasa tu huyo aliungwa mkono hadi na mabilionea wa ndani na marekaniHakuna inchi iko nyuma ya Lisu,
Kama wazungu waliweza kumtoa gadafi ndio watashimdwa magufuli?
Tuacheni hizi mambo jaman,
Kubali kataa, Wazungu wana nguvu Sana Tena Sana,
Nenda Zimbabwe Leo ukaone nguvu ya wazungu
Marekani hajajitoa rasmi mwaka huuuu, mpaka mwaka kesho na kwa vyote vile mabeberu pelekeni huko. Nakama mumekula hela zao ili wawasaidie zitawatokea puaniii. Pia watanzania hawako tayariii kupereka kiwanda cha matusi ikuluuuWHO sasa hivi ina ukata mkubwa baada ya Marekani kujitoa sasa nchi za Ulaya ndio zinachangia pakubwa pamoja na kuwa hawana wagonjwa wa Ukimwi kama sisi
Acheni kuwachokoza wakizuia mashudu ndio mwisho wetu
Ni yeye✌
Wanaotoa pesa sio mabeberu,Wakiwapa hela mnawaita wahisani wasipowapa mabeberu
Haaaaa haaaaa. Hizi kiki mlikuwa mnazifanya, mnapeleka mabalua kule halafu mnawanongoneza watoe matamko, kumbe nyinyi ndo mlikuwa maagent wa hizo taarifa. Sasa mumeumbuka mumeanza kimbilia matusiiii.Hapo sasa. Labda hawara ya bibi yako mzaa babu yako anaweza kutufafanulia
Bila mabeberu si tungekuwa juu ya miti mpaka leoMarekani hajajitoa rasmi mwaka huuuu, mpaka mwaka kesho na kwa vyote vile mabeberu pelekeni huko. Nakama mumekula hela zao ili wawasaidie zitawatokea puaniii. Pia watanzania hawako tayariii kupereka kiwanda cha matusi ikuluuu
Mpinge kwa hojaHuna sifa ya kuwa mwandishi wa habari labda uwe mfanyakazi wa ndani wa ndugai au wa bashiru.
Njaa imeharibu taaluma yako hivyo hufai!
Maovu yanayotendwa na serikali yako na ufisadi wanaoufanya mbona hukemei?
It's was just a storyUlishaambiwa Barick hahitaji Tanzania kama Tanzania inavyohitaji Barick,
unajua baada ya Acassia saga nani mwingine alitaka kunivest? Hukumbuki story ya yule professor alivyotaka kujiuzulu baada ya kukosa kabisa would be investors? Unasahahu?