imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
WHO sasa hivi ina ukata mkubwa baada ya Marekani kujitoa sasa nchi za Ulaya ndio zinachangia pakubwa pamoja na kuwa hawana wagonjwa wa Ukimwi kama sisiHilo linashugulikiwa na WHO. Pamoja nahayo, siyosababu ya kuwagawia tawala, na pia hats sisi tunachangia dawaa hizooo. Waaaaambieni mabeberu wanaotaka madini hawatapata ata kijiko cha makinikia cha bureee.
Acheni kuwachokoza wakizuia mashudu ndio mwisho wetu
Ni yeye✌