Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

BBC swahili hamna kitu Walipofika kueleza sera ya madini ya Chadema witoroka kueleza kile kipengele cha kusema Chadema ikishika madaraka ikikopa taaisi za kimataifa itaweka rehani ardhi yenye madini kama dhamana!!!

Hilo BBC wamelikwepa baada ya kuuona moto wetu CCM kukataa wakaona ni kaa la moto la kuua Chadema hawakuongelea

CCM chama tawala sera zote za vyama tunazo tena kichwani
Tuna safari ndefu.
 
Kwakuwa wewe wasema umefuatilia na kujua kuliko wengi hebu niambie:

1) Kati ya zile trilioni 400 na ushee, hadi sasa tumelipwa Sh. ngapi?
2) Yale makinikia yapo wapi na yanafanya nini hadi sasa?
3) Mashine ya kuchanjua makinikia imefungwa wapi hapa nchini?
4) Katika mkataba husika, bila kujali mwaka wa kutiwa saini, Tanzania inapata nini ambacho unadhani ni mafanikio makubwa ya kupigiwa mfano Afrika kwa uzalendo wa JPM na uhodari wa Prof. Kabudi?
5) Licha ya tofauti ya mwaka wa kutiwa saini mkataba au mikataba, ni .smbo gani BBC wamepotosha na ukweli wake ni upi, kwa ushahidi wa kuaminika pasipo shaka yoyote?

Hata njaa haiwezi kuubadili ukweli.
 
Wanabodi,

Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, ni BBC London. Sasa inapotokea chombo kama BBC London, Wakaripoti, kitu cha uongo, kwa upotoshaji kwa kukosa weledi, nani atakuwa mkweli?

Angalizo: Kutokana na umaarufu na heshima ya BBC, akitokea mwandishi tuu wa kawaida kama mimi kuikosoa BBC, wengi bado wataamini BBC is always right, na mimi ndie niko wrong, hawaamini kama BBC BBC inaweza kusema uongo, inaweza kupotosha, na inaweza kuripoti jambo fulani bila kufuata weledi wa kihabari.

Naomba kuwathibitishia kuwa japo ni kweli BBC ni weledi, lakini katika vita ya Kiuchumi na kutishiwa kwa Maslahi ya mabeberu, hata BBC huwa inaweka weledi pembeni, kutangaza uongo, upotoshaji kwa Maslahi ya mabeberu.

Huko nyuma mifano ipo ya BBC kusema uongo na kupotosha, imeshitakiwa mahakamani, imehukumiwa na kukutwa na hatia, imeomba radhi, na kulipishwa faini, hivyo katika upotoshaji wa jambo hili, BBC iombe radhi, vinginevyo sisi Tanzania tusikae kimya, tukanushe na kuinyoosha habari yenyewe.

Upotoshaji wenyewe ni huu
Uchaguzi 2020 - BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa.

Nimemsikiliza Zuhura Yunus, BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tu, ule uliosainiwa Ikulu 2019! Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tu. BBC Swahili Iache Uongo!

NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa mwanasiasa fulani, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa!, BBC nao wakaingia kichwa kichwa na kuamini mkataba umesainiwa!, wanaweza kuandika makala ndefu namna hiyo bila ku double-check na ku cross-check kuibalance makala yao na wahusika wa wizara husika? Huku ni kukosa weledi! Sasa kama BBC London inaweza kukosa weledi wa kiwango hiki, nani atakuwa mweledi?

Sio kwamba najidai, lakini kwenye mgogoro wa makinikia ya Acacia, hakuna mwana JF aliyeandika na kufuatilia kama mimi, na kwa jinsi nilivyomsikia Waziri Prof. Kabudi na Rais Magufuli, kuna maeneo ninaamini, ninayafahamu vizuri zaidi kuliko hata wahusika wenyewe wa kwetu, kwasababu issues nyingine ni issue ndogo tuu za lugha za watu, na watu wanaingizwa chaka, kama ilivyoelezwa kuwa tutagawana economic benefits pasu kwa pasu, tukaelezwa tutagawana faida, profits 50/50 kitu ambacho sii kweli.

Wito kwa serikali yetu
Naiomba serikali yetu ikanushe uongo huu wa BBC London kuihusu Tanzania haswa kipindi hiki cha kampeni.

Waelezeni BBC London na dunia ielewe kuwa hakuna makubaliano mawili kati ya serikali yetu na Barrick, makubaliano ni mamoja tuu na mkataba ni mmoja tuu, ambapo, japo tumepigwa fulani, lakini Tanzania ndio wafaidika wakubwa wa mkataba huo!

Namalizia kwa hili swali, Je, uongo na upotoshaji huu wa BBC London, kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni, ni wa kawaida tuu kwenye media, au una maana gani?

Tukitafuta kitu kinachoitwa the motive behind, haiwezi kuwa ni mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa Ki-BBC?

Paskali

CCM ni waongo na BBC ni waongo, tatizo hapa ni herufi C na mbili dabali CC na BB, sasa wapi shida and they all believe they are always right!
Ushauri serikali iweke wazi mikataba wabunge wote waweze kuiona hata kama kuna kile cha chini ya kigoda kwani huo ndiyo mchezo wa CCM badala ya kukanusha tena kwa kiswahili.
 
Kuandika kitu tofauti na kile unachokiamini
Kile kilichopo akilini mwako au rohoni mwako
au kupindisha habari...., nayo pia inahitaji ujasiri fulani...
Ujasiri wa kuishi huku roho inakusuta....., ila kama roho haikusuti either ushapotea kabisa (point of no return), au unajifariji kwamba its all good... all in all kiafya haishauriwi
 
Nchi zilichogundua ni kuwa serikali ni wakweli kwenye issue ya Corona kuwa Lisu na chadema ni waongo na hiyo ina impact kubwa sana kuwa they are not reliable and trustworthy.

Imemjengea credit Magufuli na kumbomoa Lisu kwenye international community
Wakamgarimu na mama wa watu yule barozi wa magaribiiiii. Hovyo kabisaaa.
 
BBC swahili hamna kitu Walipofika kueleza sera ya madini ya Chadema witoroka kueleza kile kipengele cha kusema Chadema ikishika madaraka ikikopa taaissi za kimataifa itaweka rehani ardhi yenye madini kama dhamana!

Hilo BBC wamelikwepa baada ya kuuona moto wetu CCM kukataa wakaona ni kaa la moto la kuua Chadema hawakuongelea

CCM chama tawala sera zote za vyama tunazo tena kichwani
Tafuta pesa
 
Sasa hapo BBC kosa lake ni nini? Mtu anakwambia kwenye huu mkataba umepigwa harafu wewe unasema Niko sahihi sijapgwa . yaan kwa akiri ya haraka hapo mtetezi wako ni BBC ila wewe unamkatalia kuwa sinyonywi Mimi.
 
Wanabodi,

Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, ni BBC London. Sasa inapotokea chombo kama BBC London, Wakaripoti, kitu cha uongo, kwa upotoshaji kwa kukosa weledi, nani atakuwa mkweli?

Angalizo: Kutokana na umaarufu na heshima ya BBC, akitokea mwandishi tuu wa kawaida kama mimi kuikosoa BBC, wengi bado wataamini BBC is always right, na mimi ndie niko wrong, hawaamini kama BBC BBC inaweza kuwa biased kama kwenye story hii, kusema uongo, inaweza kupotosha, na inaweza kuripoti jambo fulani bila kufuata weledi wa kihabari.

Naomba kuwathibitishia kuwa japo ni kweli BBC ni weledi, lakini katika vita ya Kiuchumi na kutishiwa kwa Maslahi ya mabeberu, hata BBC huwa inaweka weledi pembeni, kutangaza uongo, upotoshaji kwa Maslahi ya mabeberu.

Huko nyuma mifano ipo ya BBC kusema uongo na kupotosha, imeshitakiwa mahakamani, imehukumiwa na kukutwa na hatia, imeomba radhi, na kulipishwa faini, hivyo katika upotoshaji wa jambo hili, BBC iombe radhi, vinginevyo sisi Tanzania tusikae kimya, tukanushe na kuinyoosha habari yenyewe.

Upotoshaji wenyewe ni huu
Uchaguzi 2020 - BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa.

Nimemsikiliza Zuhura Yunus, kwanza makala yenyewe ni biased kwa kujadili baadhi tuu ilani za baadhi ya vyama, na kuviacha vyama vingine. Huwezi kufanya analysis ya ilani za vyama, ukaiepuka ilani ya CCM!.

Pili BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tu, ule uliosainiwa Ikulu 2019! Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tu. BBC Swahili Iache Uongo!

NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa mwanasiasa fulani, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa!, BBC nao wakaingia kichwa kichwa na kuamini mkataba umesainiwa!, wanaweza kuandika makala ndefu namna hiyo bila ku double-check na ku cross-check kuibalance makala yao na wahusika wa wizara husika? Huku ni kukosa weledi! Sasa kama BBC London inaweza kukosa weledi wa kiwango hiki, nani atakuwa mweledi?

Sio kwamba najidai, lakini kwenye mgogoro wa makinikia ya Acacia, hakuna mwana JF aliyeandika na kufuatilia kama mimi, na kwa jinsi nilivyomsikia Waziri Prof. Kabudi na Rais Magufuli, kuna maeneo ninaamini, ninayafahamu vizuri zaidi kuliko hata wahusika wenyewe wa kwetu, kwasababu issues nyingine ni issue ndogo tuu za lugha za watu, na watu wanaingizwa chaka, kama ilivyoelezwa kuwa tutagawana economic benefits pasu kwa pasu, tukaelezwa tutagawana faida, profits 50/50 kitu ambacho sii kweli.

Wito kwa serikali yetu
Naiomba serikali yetu ikanushe uongo huu wa BBC London kuihusu Tanzania haswa kipindi hiki cha kampeni. Dr. Abbas, hili usilinyamazie. Tukinyamaza, dunia itawaamini BBC wataonekana ni wa kweli.

Waelezeni BBC London na dunia ielewe kuwa hakuna makubaliano mawili kati ya serikali yetu na Barrick, makubaliano ni mamoja tuu na mkataba ni mmoja tuu, ambapo, japo tumepigwa fulani, lakini Tanzania ndio wafaidika wakubwa wa mkataba huo!

Namalizia kwa hili swali, Je, uongo na upotoshaji huu wa BBC London, kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni, ni wa kawaida tuu kwenye media, au una maana gani?

Tukitafuta kitu kinachoitwa the motive behind, haiwezi kuwa ni mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa Ki-BBC?

Paskali
Uko vr sana mkuu nimesikia hawa jamaa hawako makini kabisa hii ni Vita ya kiuchumi watanzania tuko macho naunga mkono hoja dct Abasi ni jukumu lako kuisafisha serekali na hawa waandishi uchwara na kwa nn hawa jamaa wasifungiwe kurusha matangazo yao ya propa hapa kwetu?
 
Wewe si iendelee kusikiliza ukweli na uhakika kutoka TBC au ianzishe ya kwako kwakuwa unajiona ni nguli kuliko nguli wa BBC. Umejitahidi sana baada ya nec kumtangaza mshindi aliyeshindwa kwa kura, ufikiliwe japo u dc ikizingatiwa wewe ni msukuma
 
Leta ukweli, kama tulipata zile noah kila mtu au hata mgao wa balimi haujatoka! Uzalendo ni kutetea uongo?
 
Naomba kuuliza hivi ni lini huyu Pascal Mayalla atajifunza kuandika in brief and precise? Yeye ni kuandikaga tu pages and pages lakini pumba tupu. Aibu see kwa mtu anayejiita mwandishi wa habari kuwa na uandishi wa namna hii.

Inapokua ni insha ndio anawapata wa kuwachanganya! Muulize tumelipwa kiasi gani, lini na kupitia bank ipi?
 
Wanabodi,

Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, ni BBC London. Sasa inapotokea chombo kama BBC London, Wakaripoti, kitu cha uongo, kwa upotoshaji kwa kukosa weledi, nani atakuwa mkweli?

Angalizo: Kutokana na umaarufu na heshima ya BBC, akitokea mwandishi tuu wa kawaida kama mimi kuikosoa BBC, wengi bado wataamini BBC is always right, na mimi ndie niko wrong, hawaamini kama BBC BBC inaweza kuwa biased kama kwenye story hii, kusema uongo, inaweza kupotosha, na inaweza kuripoti jambo fulani bila kufuata weledi wa kihabari.

Naomba kuwathibitishia kuwa japo ni kweli BBC ni weledi, lakini katika vita ya Kiuchumi na kutishiwa kwa Maslahi ya mabeberu, hata BBC huwa inaweka weledi pembeni, kutangaza uongo, upotoshaji kwa Maslahi ya mabeberu.

Huko nyuma mifano ipo ya BBC kusema uongo na kupotosha, imeshitakiwa mahakamani, imehukumiwa na kukutwa na hatia, imeomba radhi, na kulipishwa faini, hivyo katika upotoshaji wa jambo hili, BBC iombe radhi, vinginevyo sisi Tanzania tusikae kimya, tukanushe na kuinyoosha habari yenyewe.

Upotoshaji wenyewe ni huu
Uchaguzi 2020 - BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa.

Nimemsikiliza Zuhura Yunus, kwanza makala yenyewe ni biased kwa kujadili baadhi tuu ilani za baadhi ya vyama, na kuviacha vyama vingine. Huwezi kufanya analysis ya ilani za vyama, ukaiepuka ilani ya CCM!.

Pili BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tu, ule uliosainiwa Ikulu 2019! Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tu. BBC Swahili Iache Uongo!

NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa mwanasiasa fulani, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa!, BBC nao wakaingia kichwa kichwa na kuamini mkataba umesainiwa!, wanaweza kuandika makala ndefu namna hiyo bila ku double-check na ku cross-check kuibalance makala yao na wahusika wa wizara husika? Huku ni kukosa weledi! Sasa kama BBC London inaweza kukosa weledi wa kiwango hiki, nani atakuwa mweledi?

Sio kwamba najidai, lakini kwenye mgogoro wa makinikia ya Acacia, hakuna mwana JF aliyeandika na kufuatilia kama mimi, na kwa jinsi nilivyomsikia Waziri Prof. Kabudi na Rais Magufuli, kuna maeneo ninaamini, ninayafahamu vizuri zaidi kuliko hata wahusika wenyewe wa kwetu, kwasababu issues nyingine ni issue ndogo tuu za lugha za watu, na watu wanaingizwa chaka, kama ilivyoelezwa kuwa tutagawana economic benefits pasu kwa pasu, tukaelezwa tutagawana faida, profits 50/50 kitu ambacho sii kweli.

Wito kwa serikali yetu
Naiomba serikali yetu ikanushe uongo huu wa BBC London kuihusu Tanzania haswa kipindi hiki cha kampeni. Dr. Abbas, hili usilinyamazie. Tukinyamaza, dunia itawaamini BBC wataonekana ni wa kweli.

Waelezeni BBC London na dunia ielewe kuwa hakuna makubaliano mawili kati ya serikali yetu na Barrick, makubaliano ni mamoja tuu na mkataba ni mmoja tuu, ambapo, japo tumepigwa fulani, lakini Tanzania ndio wafaidika wakubwa wa mkataba huo!

Namalizia kwa hili swali, Je, uongo na upotoshaji huu wa BBC London, kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni, ni wa kawaida tuu kwenye media, au una maana gani?

Tukitafuta kitu kinachoitwa the motive behind, haiwezi kuwa ni mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa Ki-BBC?

Paskali

Paschally nje ya identity yako unajua kabisa from dola 192 billion tukanegotiate hadi 300m si tumepigwa?
 
Me nashindwa kuelewa, kwa Tanzania hii ni mtu gani au inchi gani ya dunia ya kwanza iwe na wivu wa kiuchumi na Tanzania?

Yan for what, kwa uchumii huuu wetu wa kutokuwa hata na umeme au uchumi gani?

Tuache hizo propaganda
 
Vyombo vya kibeberu ni mwiba kwa ustawi wa taifa Kama Tanzania, MAGUFULI na serikali kwa ujumla inamadui wengi bada ya kuwaminya kidogo.

Hakuna bwana huu ni uongo na propaganda tu

Kwamba UK wana wivu na Tanzania? Na ww na akili zako unaamini?
 
Back
Top Bottom