Bendera Esq
Member
- Dec 16, 2024
- 17
- 64
Kuna maelfu ya nyuzi humu watu wanatafuta kazi hata za kulipwa 200,000. Zipo nyuzi nyingi watu wakieleza kero au vituko vya daladala na mwendokasi. Halafu mtu akiona uzi mtu anaomba ushauri kuhusu gari yake, au akapiga stori akizungumzia gari yake eti anacomment JF kila mtu ana gari!
Anyway. Nataka nibadilishe gari. Kwa sasa natumia Subaru Forester. Nafikiria kununua Mazda CX 5 au Harrier. Naomba ushauri, nichukue ipi kati ya hizo mbili?
Anyway. Nataka nibadilishe gari. Kwa sasa natumia Subaru Forester. Nafikiria kununua Mazda CX 5 au Harrier. Naomba ushauri, nichukue ipi kati ya hizo mbili?