ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Shimba ya Buyenze na Grahams ni wazee sasa🤣🤣🤣kuna mmoja anajiita Shimba bunyeze, anasema Ana miaka 78 kila mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shimba ya Buyenze na Grahams ni wazee sasa🤣🤣🤣kuna mmoja anajiita Shimba bunyeze, anasema Ana miaka 78 kila mwaka
Huku wengi ni majobles, sema tunajifariji tuu na kujidai tuna akili mingiKwamba, kila mtu ni tajiri…
Kila mtu ana gari/ magari.
Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba.
Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume.
Kila mdada ana umri chini ya miaka 20.
Kila mtu hivi. Kila mtu vile.
Ili mradi tu ni ‘kila mtu’.
Huo ni uongo. Ni uzushi.
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo ‘kila’ mtu anasema alivyo na/au alichonacho.
JF ina wanachama mamia ya maelfu.
Kusema kwamba kila mmoja wao hao watu huwa anasema hayo yanayosemwa, ni uzushi mkubwa.
Mliozoea kutunga uongo acheni mara moja.
Hamjawahesabu wanachama wote wa JF, wa kwanza hadi wa. mwisho, na kupata mitazamo yao juu ya mambo mbalimbali.
Kukaribisha uzushi kama huo kichwani mwako kunaonyesha jinsi mtu alivyo goigoi wa kufikiri.
And with that, I yield the balance of my time for others to chime in.
Happy hump day 😉.
Kweli kabisa, walitutesa sana aisee, hadi leo hii!Wewe nyani ngabu na wenzako enzi hizo mlikuwa mnaringa sana kujipost mpo ughaibuni location nzuri nzuri na ndinga kali kali na mkija bongo mnatembelea classic locations sio uswazi kwa hela za kusukuma box.
Ulitegemea na sisi tukae kinyonge sio tuwaache mtuchukulie mademu zetu kisa nyie ni wabeba box?
Ilikuwa lazima na sisi tujimwambafai ili angalau ku mantain status zetu.
Kwani hapa tunazungumzia nini?Hizo ni assumptions tu mnazokuwa nazo. Shida mkiona members wawili au watatu wamesema wapo Marekani mnaassume ni kila mtu.
Wanasema wanakula ngano tu😂Jf watu Ugali wanauita Mateso.
Na ndio umewalea leo wanajifanya unadumaza akili.
Yupo unamjua @kidukulilo weweHizo ni assumes mnazozifanya kwenye vichwa vyenu sijawahi kuona member wa Jf anajitangaza eti ana gari na nyumba kali labda Chief Godlove .
kuna mmoja anajiita Shimba bunyeze, anasema Ana miaka 78 kila mwaka
Umeandika kwa kiingereza WATASEMA kila mtu mzungu.Kwamba, kila mtu ni tajiri…
Kila mtu ana gari/ magari.
Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba.
Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume.
Kila mdada ana umri chini ya miaka 20.
Kila mtu hivi. Kila mtu vile.
Ili mradi tu ni ‘kila mtu’.
Huo ni uongo. Ni uzushi.
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo ‘kila’ mtu anasema alivyo na/au alichonacho.
JF ina wanachama mamia ya maelfu.
Kusema kwamba kila mmoja wao hao watu huwa anasema hayo yanayosemwa, ni uzushi mkubwa.
Mliozoea kutunga uongo acheni mara moja.
Hamjawahesabu wanachama wote wa JF, wa kwanza hadi wa. mwisho, na kupata mitazamo yao juu ya mambo mbalimbali.
Kukaribisha uzushi kama huo kichwani mwako kunaonyesha jinsi mtu alivyo goigoi wa kufikiri.
And with that, I yield the balance of my time for others to chime in.
Happy hump day 😉.
Umemaliza kila kitu legendaryKwamba, kila mtu ni tajiri…

Hahahaha humu Kuna watu Wana matatizo ya akiliMimi sijui niko tofauti, mtu hata awe na nini aseme nini huwa hainisumbui kabisa. Ila nimeona kuna baadhi ya watu humu, inawasumbua na mbaya zaidi ni Fake ID.
Mtu akianza kusema gari, nyumba, biashara, kusafiri nje si ni vitu vya kawaida? Ila mtu akigusia kati ya hivyo na vingine, ataandamwa, tumeshajua una gari, una nyumba!!!
Tutafute pesa, tuache makasiriko, mtu hata kama anadanganya, ni anajidanganya mwenyewe, mwisho wa siku anabaki kwenye ulimwengu wa kuishi maisha mazuri kimtandaoni, kiuhalisia yuko vilevile.
Tuache watu wajifariji na kufurahia anachofanya, ili mradi hakugusi wewe moja kwa moja. Wivu ni ugonjwa tafuta dawa kama ukiona unaumia mafanikio ya mwingine.
HahahahaWewe nyani ngabu na wenzako enzi hizo mlikuwa mnaringa sana kujipost mpo ughaibuni location nzuri nzuri na ndinga kali kali na mkija bongo mnatembelea classic locations sio uswazi kwa hela za kusukuma box.
Ulitegemea na sisi tukae kinyonge sio tuwaache mtuchukulie mademu zetu kisa nyie ni wabeba box?
Ilikuwa lazima na sisi tujimwambafai ili angalau ku mantain status zetu.
Dar na ArushaJF karibu wote mnaishi nje ya nchi. Waliopo kijijini wapo Dar
🚮🚮Kwamba, kila mtu ni tajiri…