Uongo uliowahi kutokea JF: Kila mtu kujifanya tajiri na ana maisha mazuri

Kuna maelfu ya nyuzi humu watu wanatafuta kazi hata za kulipwa 200,000. Zipo nyuzi nyingi watu wakieleza kero au vituko vya daladala na mwendokasi. Halafu mtu akiona uzi mtu anaomba ushauri kuhusu gari yake, au akapiga stori akizungumzia gari yake eti anacomment JF kila mtu ana gari!

Anyway. Nataka nibadilishe gari. Kwa sasa natumia Subaru Forester. Nafikiria kununua Mazda CX 5 au Harrier. Naomba ushauri, nichukue ipi kati ya hizo mbili?
 
Shida ya binadamu wanapenda tu kusikia mabaya ya mtu. Mtu akieleza mazuri yake wanasema anajisifia.
 
Broo mdogo una papers?
 
Samaleykum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…