Uongo uliowahi kutokea JF: Kila mtu kujifanya tajiri na ana maisha mazuri

Unachobisha ni nini wakati umeishaambiwa humu kila mtu ana digrii ya mambo yake anayoyajua?
 
We mwenyewe muongo, Acha ujuwajii.
 
Kwanini ulifunga mapema hivyo?

Hakukuwa na kitu cha maana kukipata PM halafu ninachokikosa jukwaani mchumba

Lakini kama kuna jambo muhimu inayohitaji faragha, then mlango huwa unaachwa wazi kwa mtu yeyote...
 
Hakukuwa na kitu cha maana kukipata PM halafu ninachokikosa jukwaani mchumba

Lakini kama kuna jambo muhimu inayohitaji faragha, then mlango huwa unaachwa wazi kwa mtu yeyote...
Hapo nimeelewa, wasalimie watoto
 
Kuna member mmoja WA kike humu alianzisha Uzi wa "Sandakalawe mwenye kupata apate mwenye kukosa akose" yaani vocha za bure🤣

Kwenye huo Uzi niliona members ambao kila siku hututambishia maisha Yao ya kishua na Aina za ndinga wanazosukuma nao wako kugombea vocha za bure🤣🤣
 
Mimi nakaa Buguruni mkuu, uswahilini haswa.
Sijawahibkujigamba kama wafanyavyo member wengine kwamba wanaishi maisha ya 5 star
nakukubali fundi. tuliongea nkirudi dar nifikie buguruni unitafutie chumba maeneo hayo lakn nlibadili mawazo kaka.
 
kuna mmoja anajiita Shimba bunyeze, anasema Ana miaka 78 kila mwaka
ni kweli, huyo ni miaka yake kabisa, nimesoma nae, hata la kwanza alianza na hiyo hiyo, mwaka 1978
😂😂😂😂😂😂😂 muache babu yangu aisee sasa hivi ana 83
Ngosha the don huyu anasema miaka yako ipo pale pale kama ya sepetu
Manfried na kundi lako mnanionea tu. Sijawahi kudanganya kuhusu umri wangu; na miaka yangu haipo pale pale kama ya Wema Sepetu. Mshindweeeee!




 
Hata binadamu wanajiita nyani
 
Shimba ya Buyenze na Grahams ni wazee sasa🤣🤣🤣
Mimi kweli ni mzee ila huyo mwenzangu huyo mh! Huwa wanamwita mzee/babu wa mchongo sijui kwa nini 😂😂😂




➡️➡️➡️ Halafu we kijana kuna tuhuma dhidi yako nzito tu nimekutana nazo mahali. Ngoja tu 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Naombeni mnisaidie gereji nzurii ya kuipeleka gari yangu NISSAN note 13c🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu,
Mimi nipo kundi la wazee sasa. 🤣Kuna tuhuma gani dhidi yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…