kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na hufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) ambapo kila msanii wa Africa ana haki ya kutuma nyimbo zake ambapo baada hapo kuna Academy inakaa chini na kupitisha nyimbo ambapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kupitia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu..
Lakini cha ajabu na kusikitisha ni kuona Mr Coming soon Ali Kiba kuwadanganya AFRIMA kuwa ametoa album inaitwa Mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati hizi nyimbo ni za album ya Cinderela.