Uongo wa Ali Kiba

Uongo wa Ali Kiba

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na hufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) ambapo kila msanii wa Africa ana haki ya kutuma nyimbo zake ambapo baada hapo kuna Academy inakaa chini na kupitisha nyimbo ambapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kupitia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu..

Lakini cha ajabu na kusikitisha ni kuona Mr Coming soon Ali Kiba kuwadanganya AFRIMA kuwa ametoa album inaitwa Mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati hizi nyimbo ni za album ya Cinderela.
 
Na wewe wafanganye, utumr albaum yenye picha zako.
 
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na ufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) amabapo kila msanii wa africa ana haki ya kutuma nyimbo zke amabapo baada hapo kuna academy inakaa chini na kupitisha nyimbo amabapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kuptia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu lakini cha ajabu na kusikitisha na kuona Mr Coming soon Ali kiba kuwadanganya afrima kuwa ametoa album inaitwa mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati izi nyimbo ni za album ya cinderela.

Waswahili wanasema ukisikia mamaaaa ujue limempata mtu.

Huyu waliemtukana na kumuita majina mabaya mengi mara msanii local leo hii kawa ni jinamizi linalowatesa mashabiki wa msanii wa kimataifa.

Tuzo za watu na Kill awards walilamika wamehujumiwa na fulani kabebwa tena wakafika mbali kuwa Eti kuna mpango wa kumshusha msanii wao kwa hila na fitina.

Baada ya kupigwa kwa tuzo 6-2 kwenye KTMA wakasema kwa jeur eti hizo ni tuzo local hivyo ndio hadhi ya kiba so kiba ataishia tuzo local za ndani tu huko nje hamjui.

Heeeh! Mambo yamegeuka sasa msanii local kiba kawapandia hadi huko huko kila tuzo ya kimataifa kiba yupo sasa wameanza kulia tena juna hujuma zinafanyika hadi huko nje hahahhaha
 
Utaelewa tu, jiandae kisaikolojia week hii nomination za tuzo 2 za kimataifa zinatoka tena, kiba naye yumo hahahhaha

Nomination hata khadija kopa kapata za kimataifa mbona peter mschesu alipata nomination kabla ya kiba hadi Ben Paul alipata haaaah nyie mnatoa km breaking news
 
Nomination hata khadija kopa kapata za kimataifa mbona peter mschesu alipata nomination kabla ya kiba hadi Ben Paul alipata haaaah nyie mnatoa km breaking news

Katika hili hatupo pamoja😡😡😡
 
nyimbo ni zake wala hamna shida yoyote kwani ulitakaje acha roho mbaya.
 
Nomination hata khadija kopa kapata za kimataifa mbona peter mschesu alipata nomination kabla ya kiba hadi Ben Paul alipata haaaah nyie mnatoa km breaking news

nina wasiwasi na wewe
 
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na ufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) amabapo kila msanii wa africa ana haki ya kutuma nyimbo zke amabapo baada hapo kuna academy inakaa chini na kupitisha nyimbo amabapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kuptia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu lakini cha ajabu na kusikitisha na kuona Mr Coming soon Ali kiba kuwadanganya afrima kuwa ametoa album inaitwa mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati izi nyimbo ni za album ya cinderela.

Wewe jamaa unamatatizo sanaaa si bure kwa kweli...ni bora ungekuwa mmoja wa waandaaji wa TUZO HIZO labda ungeaminika usemayo mbali nahapo fanya utuletee "DIGITAL APPLICANTS DETAILS ZA KIBA" ili tuamini venginevyo hayo ni maneno ya mkosaji tu na ata kwenye kanga yapo pia.No evidence No right to be believed!
 
Back
Top Bottom