Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Hiyo ya pili NAKATAAAAAUkoo mzima hamna kazi za kufanya mnazozana na bikra ya mtu kweli!
Jambo muhim ni mahusiano mema.
Basi tu bado kuna jamii zinaamin mwanamke ni bidhaa na mtu daraja la 2!
Bikra zina tafsir 2.
1. Bikra ya utando (membrane) hasa kwa wasichana wadogo.
2. Bikra ya kutoingiliwa na mwanaume.
Ina maana msichana anaweza kuwa hana utando na hajawai kuguswa. Hata baiskeli huzitoa nyavu. Au kubakwa na ndugu.
Katika zote hizo hakuna ya maana kuwa na mke bora!
Sijajua alijuaje alishaonja au bado, maana sijawauliza mwaswali wazee.Lkn si alishaonja ndipo akajua kuwa bi harusi hana bikra!! Kwahiyo naye hana tena hiyo bikra ya kiume.
Ingekuwa kama wewe wangewashauri Nini hao, vijana 2Lkn si alishaonja ndipo akajua kuwa bi harusi hana bikra!! Kwahiyo naye hana tena hiyo bikra ya kiume.
Ningeshauri waachane kwasabb ya uwongo wa bi harusi, (lkn siyo kwasabb bi harusi hana bikra).Ingekuwa kama wewe wangewashauri Nini hao, vijana 2
Inawezekana. Kanisa katoliki linabatilisha. Kama kuna jambo zito ulimficha mwenzako na ushahidi ukawepo inabatilishwa. Nimeshuhudia.Haivunji ndoa hio ila , labda waamue tuu kuvunja
Tumekusikia Mkurugenzi wa BAKITA....Hakuna Neno Uhongo
Usahihi Wake Uongo
Zinavunjika tu kiongozi....Kukiwa na sababu ya msingi kama hiyo pia....Ndoa za kanisani sasa itakuwaje?
Angejitunza miaka yote hiyo wakiwa chuo mbunye ingebana tu .... Tatizo alikuwa anapigwa na masela halafu Kwa jamaa anakaza haijawahi kuchakatwa.... Mbunye iliyochakatwa inaonyesha tu hata kama haujaingiza dushe.....Labda alivyochomeka ikapita tuu.
Ila mambo ya aibu sana hasa kwa Bibie sijajua anahali gani. Daaaa
Kama anajua hivyo.....Maana yake ni mzoefu huyo Mwanaume.....Ameshazitoboa...Kwasababu mwamba hajui yenye kofuli ikoje au sio 😁😁
Labda alipo ingiza mzigo ulizama wote ghafla kama umemezwa kwenye ndoo1. Binti alikosea kusema UONGO, kama alijijua si bikra angekataa hyo ndoa kwa sababu nyengine zozote tu na haitakiwi kumwambia mtu siri zako si mume/mke si wazazi haifai kabisa kabisa yaliyopita yamepita ni wewe na Mungu wako bassss.
2. Huyo jamaa hajawahi kusex vipi ajue kwamba binti si BIKRA? Na wakati bikra si lazima iwe na hymen .
Karibu kilingeni tukusaidie namna nzuri ya kumaliza hilo na ndoa ikaendelea kwa furahaHabari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.
Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee walikuwa wanajua muda tuu ila mimi nimeambiwa last week. Iko hivi.
Yule kijana ni mtu ambaye alijitunza maisha Yake yote, Yani ni wale watu wa mimi se*y mpaka ndoa, Yani hakugusa KE yoyote kipindi Cha maisha yake ya usingle.
Sasa kwa taarifa nilizopata ni kuwa kipindi Cha uchumba, Bibie aliulizwa kuwa bikira ipo?
Ndugu yetu akajibu yeye anayo. Kijana inasemekana alisisitiza sana, akapewa majibu hayo.
Sasa baada ya ndoa kifungwa Tena ya kanisani, shemeji akakuta hakuna kitu. Ulibuka mgogoro baina Yao.
Mimi kwa kipindi chote nilikuwa sijui kwamba Kuna hio ishu. Hata wazee wameambiwa na baba mdogo mwezi wa 6 mwaka huu. Maana baada ya mgogoro kuibuka, Baada ya wao kuangaikia sana swala Hilo.
Bibie alimwambia kuwa yeye aliipoteza kipindi yupo secondary na baada ya hapo yeye Kawa kiumbe kipya baada ya kuachana na Tabia hiyo, majibu ambayo kijana aliyakataa.
Sasa ugomvi ulifika mpaka kwa mchungaji , na wazee wa kanisani kwao ila ilishindikana kusolve.
Sasa wakaamua kuita wazazi pande zote mbili ila still ulishindikana. Akaitwa mpk mchungaji aliyefungisha ndoa, ila wapi, Na kwa kipindi hicho Bibie yeye analia, Hana Cha kufanya , sasa nafikili kuwa anaona aibu.
Sijajua muhimu upo wapi kusolve hio ishu.
Mimi nimeambiwa last week na wazee nimeshangaa sana, sasa sijajua Bibie anahali gani mpka sasa maana kusolve imeshindikana.
Soma Pia: Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu
Jamaa alitaka mwezie aliyefanana naye. Sasa nimeambiwa wachungaji wakamwambie tuu Bibie kuwa kama ulishaipoteza maana yake ilishaondoka Yani haipo Tena , kurudi kwa BWANA anakusamehe ila ishatoa kurudi hairudi so haukupaswa kumwambia uhongo.
Na kingine bibie anasema yeye alifikili anamtania tu(utani).
Nikipata mrejesho zaidi nitaleta wakuu.
Soma na hii piaHabari Wana JF.

Kukosa ubikira haimaanishi kuwa alishafanya tendo. Ni wanawake wengi tu bikira zinakatika kwenye harakati za maisha kama michezo nk. Hivyo basi mwanamke bikra ni yule ambaye hajakutana na mwanaume waka-sex na siyo mwenye ule utepe. Nasema hivyo kwa sababu siku hizi hospital wanaweza ''wakashona'' na kuweka ule utepe hata kwa wanawake waliozaa. Kwa hiyo unaweza kukutana na unayedhani umevunja bikra kumbe ali-repair hospitali.Labda alivyochomeka ikapita tuu.
Ila mambo ya aibu sana hasa kwa Bibie sijajua anahali gani. Daaaa
hata huyo bwana harusi si wa kumuamina sana aiseeLabda alipo ingiza mzigo ulizama wote ghafla kama umemezwa kwenye ndoo
Hata kama hana utepe ila kuna vitu vidogo dogo tu utajua huyu ni bikra (kwa wale wazoefu) ila kwa jamaa kujinasibu hajawahi kupiga mzigo halafu akagundua tu chap kwamba binti si bikra hii bado ngumu kumeza jamaa naye anatia shaka.Kukosa ubikira haimaanishi kuwa alishafanya tendo. Ni wanawake wengi tu bikira zinakatika kwenye harakati za maisha kama michezo nk. Hivyo basi mwanamke bikra ni yule ambaye hajakutana na mwanaume waka-sex na siyo mwenye ule utepe. Nasema hivyo kwa sababu siku hizi hospital wanaweza ''wakashona'' na kuweka ule utepe hata kwa wanawake waliozaa. Kwa hiyo unaweza kukutana na unayedhani umevunja bikra kumbe ali-repair hospitali.
Akiokoka anaiokoa roho yake mwenyewe na sio ili huyo mume amkubali.Si akaokoke ili arudi mpya na bikra yake s mnavosemaga wakristo na huyo kijana mbona sio mkristo safi mchungaji keshaungama yy anakataa nn inaonesha mafunzo na uhalisia ni interchengiability