Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Kwa chuki hizi ulizozianika hadharani leo ni dalili nyeupe unakaribia kuwa 'no more' soon
 
Huko
Huko store zilipelekwa mwaka gani na ilikuwaje hazikuwahi kujulikana kama zipo kwa kiwango hicho?
 

umekwama kwenye maisha, umekwama kumuwaza JPM!!!

hapa unajifariji na loosers wenzako

alikata mirija na haijarudi, this is what you can do
 
Hahahaaaaaaaa!
Mkuu umewakaba na hii kitu.........huwapi hata pumziko kidogo. Makamanda wanaipita hii kama hawaioni vilee na kukimbilia kujadili 'distance' walioiona kati ya mzungu muandaa kipindi cha Royal tour na rais samia. Au kujadili jacket alilolivaa raisi samia. Hatari sana.
 
Waliojindikisha kupiga kura wapo 29m+ huku watanzania tukikaribia 60m. Ina maana kila watu wawili, mmoja alijiandikisha kupiga kura. Halafu cha ajabu hakukuwa na misururu ya kujiandikisha wala kupiga kura. Kisha toka lini idadi ya watu wenye miaka 18+ ikalingana na watoto? Jamaa alikuwa ni mpika data wa kutisha.
 
Huyu mzee wetu alikua mwongo haijawahi tokea na ilikua kilakitu aki vurugwe kupinga kupigwa @utoaji data kumbuka takwimu alivyoikunja kunja

Sijui mama yetu alishi nae vipi huyu mzee ,mana daaa

Kamba kamba kwelikweli

Mungu tushamsamehe tunaomba umsamehe pia mana sidhani hata nyerere kama watakaua wanaelewana huko ,mana bingwa wa fixation fix

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Toa ushahidi tuamue wenyewe usitufanye mataahira. Umetoa madai yasiyo na ushahidi wala uthibitisho. Hayo unayosema umeyapata wapi? Je ni reliable sources? Au una lako. Sie ni watu wazima na akili zetu usituletee utoto na ujinga mwanangu
 
Uongo ni wako. Serikali haijawahi sema Inakusanya Trillioni 2 bali ilikuwa 1.03 hadi 1.3
 
Iweje maraisi wateseke akiwepo huyo Samia ilhali anajua hayo yote ni uongo?
 
Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo[emoji23]
 
Madaraja ,meli,SGR, vituo vya afya nazo Ni takwimu za kupika ? Roho yako mbaya Sana!! Kwamba tukutukuze we we mtoa post!!
Kwa gharama ipi kiasi cha CAG kuzuiwa kuikagua? Hiyo miradi huwa ya maana pale inapotekelezwa kwa kuzingatia vipaumbele vya taifa, uwazi kwenye matumizi na kigezo cha value for money.

Kinyume cha hapo ni ufisadi mkubwa. Ni aina ya miradi inayotumika kuiba pesa kubwa isipofuatiliwa.
 
Mwamba kalewa faru Mbowe kadondoka kadanganya kakanyagwa na wanaume watatu.
 
Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo[emoji23]
Haha 😂 Mzee alituona Maboya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…