A
Anonymous
Guest
Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida tungeendelea kutibiwa kule pa zamani na kuepusha kupata magonjwa ya mlipuko yakitokea, lakini pia hakuna mhudumu wa kufanya triage kwa wagonjwa hao na jengo la emergency wamelifanya wodi na hakuna mpangilio mzuri wa huduma
Kumekuwepo na utaratibu usiofaa wa kutea viongozi wa kiuguzi yaani muuguzi (mfawidhi wa hospitali ) bila kufuata miongozo ya kielimu ambapo kwa sasa muuguzi kiongozi ana diploma ya uuguzi na kuna wauguzi wengi tu wenye bachelor degree za uuguzi na wanafanya kazi wodini huku walitakiwa ndo wae viongozi na inapelekea kuzorotesha huduma na kuwepo ma malamiko mengi kwao.
Malalamiko hayo ni pamoja na muuguzi kiongozi kutokufuata taratibu za kiuguzi bali anafuata matakwa ya mganga mfawidhi aliyempekendeza na kushindwa kusikiliza wauguzi wenzie.
Kwa muujibu wa muongozo wa kimadaraka wa mwaka 2020 umebainisha namna ya kupata muuguzi kiongozi kwa ngazi ya zanahati mpaka hospitali za wilaya lakini hakuna anayelifanyia kazi bali wanapeana madaraka kishikaji.
Pia inadhorotesha utoaji wa huduma na motisha kwa walioenda shule kusoma na waotamani kwenda shule.