Hospitali ya wilaya mpimbwe stahiki za watumishi hazilipwi kabisa sio oncall allowance,extraduty wala, posho wakati hospitali inakusanya pesa za wagonjwa lakini pesa hizo zinatumiwa kumalizia miradi ambayo serikali kuu ilishaleta fedha za hiyo miradi na fedha zikatumika kwa maslahi ya baadhi ya viongozi, waliojaribu kumhoji mganga mfawidhi wengine wamepewa makosa yasiyo na ukweli na mmoja amesimamishwa kazi na mkurugenzi mtendaji wa halmashari ya mpimbwe kwa kuhoji matumizi ya pesa, tusaidie kupaza sauti.