Toa ushauri nini kifanyike basi mzeeTatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
Toa ushauri nini kifanyike basi mzee
Madaraka yalivyokuwa mazuri ataacha nani kwa hiari?Wasimamie ipasavyo ama serikali iondoshwe iingie nyingine. Watu hawawezi teseka kisa watu wachache wanapendwa sana ama pretext sijui awamu ya tano. Ndiyo maana akawepo hapo ili atatue hayo matatizo, kama matatizo ya awamu iliyopita huwezi tatua, sasa upo hapo kama kiongozi kufanya nini sasa, pisha waaingie wengine wayatatue bila kulalamika.
Madaraka yalivyokuwa mazuri ataacha nani kwa hiari?
Aliweza baba wa taifa tu
Kilichopita hatuwezi rekebisha kilishapita, tunachoweza kufanya ni ku deal nahiki kilichopo sahivi ili kibadili maisha ya sasa na yajayo.Kwasisi Wahenga,utawala mbovu ulianzia kipindi cha Nyerere.
Hiyo demokrasia labda unaiongelea taifa la Ghana siyo bongo"Madaraka matamu" ndo kosa la msingi linalosababisha uongozi legelege . Mtu akishindwa kusimamia ipasavyo na akagoma kuachia kuna namna nyingi za kidemokrasia za kumuondosha na kuweka wataosimamia.
Mfumuko wa bei ni mkubwa sana mbaya zaidi bidhaa hazishuki Kuna tatizo kubwa sehemu!Toa ushauri nini kifanyike basi mzee
Hilo lipo wazi na haliihitaji kuwa na degree kulitambua na bado watawala hawana muda nalo.Mfumuko wa bei ni mkubwa sana mbaya zaidi bidhaa hazishuki Kuna tatizo kubwa sehemu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakupe urais weweToa ushauri nini kifanyike basi mzee
Na humsikii kiongozi yeyote analiongelea hilo wapo kimyaaa kama hawasikiiNauli zimepanda sana!! Wapinzani walituchelewesha sana!!
Kwa sauti ya Faiza FoxyKwasisi Wahenga,utawala mbovu ulianzia kipindi cha Nyerere.
ni bora zingepanda kwa awamu, yaani bidhaa zote zinapanda ghafla wala humsikii kiongozi akitoa neno, nadhani hii ndo serikali yenye dharau zaidh kuliko zote zilizopita.Mfumuko wa bei ni mkubwa sana mbaya zaidi bidhaa hazishuki Kuna tatizo kubwa sehemu!
Sent using Jamii Forums mobile app
nyerere hakua mtawala mbovu isipokua sera za kijamaa ndo zilimuangusha.Kwasisi Wahenga,utawala mbovu ulianzia kipindi cha Nyerere.
Ukame, tusubiri mvua labda! (Jokes)Mfumuko wa bei ni mkubwa sana mbaya zaidi bidhaa hazishuki Kuna tatizo kubwa sehemu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka nini? Utafanya nini, mwenzako kafulila unamwona anavyonenepa? Mashati ya upinzani yote hayamtoshi! Inabidi uwe mpinzani mkubwa kupata kibarua serikalini!ni bora zingepanda kwa awamu, yaani bidhaa zote zinapanda ghafla wala humsikii kiongozi akitoa neno, nadhani hii ndo serikali yenye dharau zaidh kuliko zote zilizopita.