Alijua kuwa zimefeli, na alikuwa anaweza kupiga U turn lakini alisema hageuki nyuma kwa mantiki hiyo Nyerere alikuwa Mtawala mbovu.nyerere hakua mtawala mbovu isipokua sera za kijamaa ndo zilimuangusha.
Kwa sauti yangu.Kwa sauti ya Faiza Foxy
Waziri wa hazina ni mwigulu mchumi namba moja na hatupaswi kumtilia Shaka, raslimali za nchi zinatoroshwa yeye amekazia tozo,Ukame, tusubiri mvua labda! (Jokes)...
utoto raha sana.Alijua kuwa zimefeli, na alikuwa anaweza kupiga U turn lakini alisema hageuki nyuma kwa mantiki hiyo Nyerere alikuwa Mtawala mbovu.
MkamaP ilivyo ni kwamba kila anayepata urais anaingia na kujaribu kufanya mambo kwa namna ile ile na kwenye mazingira yale yale ila tu anatumia wapambe tofauti. Yes, anatumia wapambe na siyo wasaidizi. Bila kumpata rais mwenye busara, atakayekubali kuacha ubinafsi na kubadili system nzima ya mfumo wetu wa uongozi hakuna kitakachobadilika.Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
Ni kuwa hali imerudi na kuwa mbaya zaidi. Watu wanataka kulipizia miaka mitano waliyobanwa.Yamerudi yaleyale ya zamani, ukitaka huduma kwenye maofisi haya ya serikali utasumbuliwa weee, hadi makatibu wakuu wa hizi wizara ni ovyo tu, mama awe mkali aoneshe mfano kwa kuwasikiliza watu na kutatua kero zao siyo kusafirisafiri tu.Badala ya kutatua kero za watu yeye hukusanya mabango aache hiyo tabia
Nyerere tangu astaafu ni muda mrefu sana. Tena sasa hivi tuna matatizo makubwa kuliko ya kipindi chake. Tuache visingizio.Alijua kuwa zimefeli, na alikuwa anaweza kupiga U turn lakini alisema hageuki nyuma kwa mantiki hiyo Nyerere alikuwa Mtawala mbovu.
Ndiyo kidemokrasia ni pamoja na movement vuguvugu zake za kidemokrasia. Ni pamoja na kukataa kuogozwa na asiyekuwa na tija kama masilahi ya wananchi wengi hayazingatiwi.Hiyo demokrasia labda unaiongelea taifa la Ghana siyo bongo
Mmeshawasifia wanaupiga mwingi na wanafungua nchi, ndio tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini.Hilo lipo wazi na haliihitaji kuwa na degree kulitambua na bado watawala hawana muda nalo.
Wapo busy na mikutano na misafara wanayo iona ni bora kwao.
Jikite kwenye hojautoto raha sana.
Mkuu Kwa nilipo Malawi naona kuna kaunafuu kiasi kuliko home tz ingawa ni Malawi ni poor sana.huku sukari 1 kg Kwa hela ya bongo ni 1400 na ni super sembe 5 kg ni 2700 mfano Tu la muhimu serikali huko ikubali kuingiza washindani HATA wa kigeni isizuie Kila kinachoingizwa borders la muhimu kiwe salama.Naomba kuuliza, ni sababu gani ambazo zimesababisha kupanda kwa bei ya vitu mbalimbali hapa Tanzania? (Mfano, vifaa vya ujenzi, mafuta ya kupikia nk)
Pia, naomba kufahamu, kupanda huku kwa bei ya vitu na maisha kuwa magumu ni hapa Tanzania tu au hata nchi nyingine za Kiafrika?
Kwa wale wenye exposure ya kutembelea nchi za Kiafrika hali ikoje huko? (Usitolee mifano ya nchi za Ulaya)
Nahitaji kujua kama huu ugumu wa maisha ni kawaida kwa nchi nyingine za Kiafrika au kuna sehemu Tanzania tumeishakosea, tujiandae kisaikolojia!
Kipindi Cha Magufuli kwa vile alikuwa anawachukia mabeberu tulikuwa na wasiwasi kwamba nchi inaweza kuwekewa vikwazo hali ikawa mbaya Kama Zimbabwe.Hilo lipo wazi na haliihitaji kuwa na degree kulitambua na bado watawala hawana muda nalo.
Wapo busy na mikutano na misafara wanayo iona ni bora kwao.
Aisee kila mtu anashangaa ila naona ni kujichukulia maamuzi ya kupandisha bei kwa tamaa za wafanyabiashara.Kipindi Cha Magufuli kwa vile alikuwa anawachukia mabeberu tulikuwa na wasiwasi kwamba nchi inaweza kuwekewa vikwazo hali ikawa mbaya Kama Zimbabwe...